manunuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Swahili AI

    Wataalamu wengi wa manunuzi na ugavi ni wezi na wapigaji. Nipingeni kwa hoja

    Katika kada na kazi zinazoigharimu serikali kifedha ni hawa wataalamu wa manunuzi. Akili zao zipo kuwaza asilimia 10 kutoka kwa mzabuni. Hawa wanufaika ndio wanaoingiza serikali kwenye gharama kubwa sana ili hali wao wakiangalia matumbo.
  2. Lady Whistledown

    Kagera: Afisa Manunuzi Muleba ashtakiwa kwa Manunuzi Hewa

    Machi 15, 2024 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 3/2024. Kesi hii ni Jamhuri dhidi ya Bw. Masanja Igolola Afisa Manunuzi VETA, Ndorage pamoja na Denis Rwegalulila Mzabuni. Walishtakiwa kwa kosa la Hongo katika Manunuzi ambapo...
  3. L

    Adobe yasitisha manunuzi ya Figma kwa dola bilioni 20

    Kutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma. Sheria hizi zinazuia kampuni kuwa monopoly. Mimi ni mpenzi wa Figma nadhani kuiacha ijitegemee ni uamuzi sahihi
  4. Mpingamkoloni

    PPRA Kukosa Umakini: Kunahitaji miujiza ili mfumo mpya wa ununuzi NEST, ufanikiwe

    Mfumo wa ununuzi wa TANePS pamoja na changamoto zake, ulikuwa mfumo mwepesi kujisajili na kuutumia. Changamoto zilizoifanya TANePS iondolewe, ni hizo hizo zinaikumba NEST kwa sasa. Mfano ilikuwa inalalamikiwa kwamba mfumo wa TANePs ulipokuwa na hitilafu za kiufundi, ilipaswa kuitafuta kampuni...
  5. dilungathegreat

    SOFTWARE DukaPoint: Imerahisisha utunzaji na upatikanaji wa kumbukumbu za biashara yako(mauzo, manunuzi, matumizi, stock n.k)

    Kuna msemo wa Kiswahili usemao: "mali bila daftari, hupotea bila habari." Mfanyabiashara makini hufahamu hili na ndio maana haachi kutunza kumbukumbu za biashara yake. Utunzaji wa taarifa za mauzo, manunuzi, matumizi, na stoku ni muhimu kwa ukuaji wa biashara, kwani itakusaidia kufahamu...
  6. Mr Lukwaro

    Ni App gani ya manunuzi mtandaoni, naweza kuagiza bidhaa kama vile Flash disk au T-Shirt , na zikawa Printed kwa Jina ninalotaka mimi?

    Najaribu kufanya research ya kuangalia kati ya Aliexpress, Kikuu au Alibaba App ambayo ina uhakika na wanaweza kuniletea bidhaa kwa jina ninalotaka mimi. Naomba msaada.
  7. N

    Jinsi kuchelewa kwa matokeo ya TRA kunavyochelewesha utumishi kuita interview kwa fani za uhasibu na Manunuzi kwa MDAs na LGAs

    Habari wana JF! Kama mnakumbuka mwezi July 2023 utumishi walitoa nafasi za ajira kwa kada mbalimbali zikiwemo za uhasibu na manunuzi kwa MDAs na LGAs. Mwezi huu tarehe 4 kuna kada waliitwa interview isipokua uhasibu na manunuzi, na sababu inasemekana wanasubiri TRA wamalize mchakato ili...
  8. C

    Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

    Habari wakuu, Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI. Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni...
  9. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mhandisi Aisha Ulenge - Sipingi Matumizi ya Force Account Lakini Tusiifinyange Sheria ya Manunuzi ya Umma

    "Ibara (75) ya Matumizi ya rasilimali za ndani. Lengo la kupitia sheria ya Manunuzi ya Umma ni ili ziende kuboreshwa. Moja ya kitu ambacho kitakwenda kukinza utekelezaji wa sheria ya Manunuzi ya Umma ni pamoja na kutokufanya tathmini ya kina kwenye miradi iliyojengwa kwa fedha nyingi za Umma" -...
  10. Stephano Mgendanyi

    Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta

    MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zainab Katimba aiomba Serikali kuyajengea uwezo makampuni ya ndani Ili kupata Fursa ya Mikataba ya manunuzi

    "Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum "Ni dhahiri asilimia 70 ya bajeti ya Serikali inaenda kwenye Manunuzi. Ni dhahiri katika kipindi hiki cha hivi karibuni...
  12. S

    TBC wamekata matangazo ya Bunge kuficha Sheria ya Manunuzi inayoruhusu Serikali kununua ndege, treni na meli za mitumba?

    Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo. Sheria hii ikipita iko siku taifa...
  13. Stephano Mgendanyi

    Afisa Manunuzi anaandika kununua Vitu ambavyo Vipo Stoo

    AFISA MANUNUZI ANAANDIKIA KUNUNUA VITU AMBAVYO VIPO STOO "Hospitali ya Wilaya Rorya imejengwa kwa miaka 10, na inashindwa kukamilika kwa sababu ya utaratibu wa manunuzi waliouweka. Na utaratibu huu wanaoufanya Hospitali maana yake ni nini, mtu wa manunuzi ni yuleyule, engineer ni yuleyule ambae...
  14. Mtini

    Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

    Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato. Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
  15. sky soldier

    Wahasibu wasiwe wanahusishwa kesi za wizi wa manunuzi, upigaji huwa unafanywa na maafisa manunuzi, wahasibu huwa wanatoa pesa tu na hawana kosa.

    Afisa manunuzi anaenda kwa muhasibu kuomba kupewa Bilioni 2 amlipe mkandarasi tenda ya ujenzi, hio kazi ya kwenye tenda ni wazi kabisa kiuhalisia haivuki hata milioni 200 lakini muhasibu akijaribu kufungua mdomo ataambiwa afanye kazi yake hayo mambo ya manunuzi hayamhusu, hapo muhasibu anaingia...
  16. McRiyckeel

    Pata Huduma ya Manunuzi ya Containers | Kontena [20 | 40 FT] Hapa

    Hello Wakuu, Kwa wale wote wenye mahitaji ya Kontena ama Makontena kwaajili ya kusafirishia Mizigo , Kutengenezea Fremu , Nyumba etc Karibuni, huu ndiyo uwanja wetu. Utaweza kupata Containers 20 au 40 Feet kuanzia Grade 1 hadi Grade 3. Lifuatalo ni Jedwali likionesha Sifa za Grade husika la...
  17. Lycaon pictus

    Serikali haiwezi kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji na kuitumia kufanya manunuzi ya nje na kulipa madeni?

    Eti wakuu sana. Haiwezekani kwa serikali kuingia mikataba na wauzaji huko na wadeni wetu ili tuwalipe kwa dhahabu? Maana suala la dola ni mtihani, huko wakishindwa kupandisha silingbodi la madeni dola zinapotea dunia nzima. Kwa nini tusinunue mafuta kutoka Saudi Arabia kwa kutumia dhahabu na...
  18. B

    Kodi ya majengo kupitia luku baadhi ya watu wanaumia Kwa kuibiwa

    Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja. Mosi, kukatwa Kodi isiyo halali(kuibiwa),mfano Kuna mteja alinunua umeme mwezi machi, Leo Mei...
  19. R

    Waliotengeneza invoice kubwa siyo watumishi WA umma, NI kampuni iliyopewa dhamana yakutengeneza ndege ya mzigo. Kwanini tunawaogopa kusema ukweli?

    Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai serikali. Kama pia tunakubaliana hapo maana yake aliyepandisha bei ya ndege ikawa mara mbili NI...
Back
Top Bottom