COSCO ya China yasitisha usafirishaji wa meli kwenda Israel

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,996
32,433
Wanaukumbi.

BREAKING:

⚡ 🇮🇱 Pigo jingine kubwa la kiuchumi kwa Israeli

Cosco yasitisha usafirishaji wa Israel huku kukiwa na mvutano wa Bahari Nyekundu.

Cosco, inadhibiti 5.2% ya uwezo wa usafirishaji wa kimataifa.

Hii inajiri baada ya kampuni zingine kama vile MSC, CMA CGM, Maersk, na Hapag-Lloyd kufanya vivyo hivyo.

Hii inaathiri kwa kiasi kikubwa njia za biashara za kimataifa, na ufikiaji wa Israeli kwa bidhaa.

Netanyahu anafikiria kufunga baadhi ya mashirika ya serikali kutumia fedha zao kulipia gharama za kijeshi huko Gaza."

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1743960686969954434?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Marekani alitaka kuwazuga na ulinzi wao usio na logic. Hivi sehemu imeshakuwa declared kama war zone na jamaa wamevurugwa kama Houthi halafu leo unishawishi kwamba kwa kuwa una ma meli yako ya kubeba ndege basi nipitishe meli yangu ya kontena? Kwa aina ya siraha wanazotumia Houthis unawezaje kuzi intercept zote?
 
Marekani analinda huko, wenye meli hawamuamini?.
Screenshot_20231231-153711.png
 
Ka bahari kenyewe kana upana usiozidi 20Km ambayo ni within range ya makombora ya Houthis, hakuna penye utasema napita mbali nisipewe kipondo,
Kibano ipo pale pale.

Najiuliza hivi Houths wanatambua vp kuwa hii meli hii inaenda Eilat port na hii haiendi?
Vp kama wakiamua kubadili bendera au kuongopa destination?
 
Hili lakumilikiwa na israhell ndio najiuliza wanajuaje
Bendera kawaida sababu meli nyingi hua zinapepeusha bebdera ambazo sio zao
Unakuta meli ya marekani ila wanapepeusha bendera ya Senegal ama kongo
Ishu hapa jamaa wanajuaje kama umiliki wa israhell ama destination ni israhell??? Ritz Black Sniper nk msaada hapa
 
Si wanaifatilia ilipotoka tu 😂😂😂
 
Wanaukumbi.

BREAKING:

⚡ 🇮🇱 Pigo jingine kubwa la kiuchumi kwa Israeli

Cosco yasitisha usafirishaji wa Israel huku kukiwa na mvutano wa Bahari Nyekundu.

Cosco, inadhibiti 5.2% ya uwezo wa usafirishaji wa kimataifa.

Hii inajiri baada ya kampuni zingine kama vile MSC, CMA CGM, Maersk, na Hapag-Lloyd kufanya vivyo hivyo.

Hii inaathiri kwa kiasi kikubwa njia za biashara za kimataifa, na ufikiaji wa Israeli kwa bidhaa.

Netanyahu anafikiria kufunga baadhi ya mashirika ya serikali kutumia fedha zao kulipia gharama za kijeshi huko Gaza."

t.me/megatron_ron

View: https://x.com/megatron_ron/status/1743960686969954434?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kwa lugha ya kiuchumi.

Ansar Allah aka Jamaat Ansarullah Houth yaiwekea vikwazo vya kiuchumi Israhell
 
Back
Top Bottom