trc

The AN/TRC-97 Radio Set, or TRC-97, is a radio set that has 12 multiplex channels and 16 telegraph channels connected to an analog radio. The radio set is a mobile terminal that can transmit up to 40 miles (64 km) straight line-of-sight at up to 1 watt, using a traveling wave tube amplifier, or 96 miles (154 km) in tropospheric scatter at up to 1 kilowatt, using a tunable klystron amplifier, at a frequency range of 4.4 to 5 gigahertz and 1.2 to 2.2 gigahertz. The set has been manufactured by RCA, Camden, N.J.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa JF mnafujo sana hapa Dar ikija swala la magari! Ndio maana serikali inadhani wote tuna hela hawashushi bei za mafuta!

    Imagine Porsche 911, Ferrari Spyder, Lamborgini Urus, Mercedes Benz AMG G63, Bentley Bentayga na vichenji chenji kina VXR vikicruise mtaani kwa pamoja, mnaenda ChitChat meeting Coco. Sisi tupo around.
  2. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yaingiza Ford Rangers zenye teknolojia ya Laser kukagua Reli ya SGR

    Ununuzi wa magari ya Ford Ranger yanayotumia teknolojia ya laser uliofanywa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) unaashiria hatua kubwa katika kuimarisha usalama wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR). Magari hayo, yaliyoboreshwa kuwa magari maalum ya Hi-Rail, yatatumika kukagua na kufuatilia reli...
  3. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yanunua magari maalumu yatakayotumika katika ukaguzi wa njia ya reli ya SGR kipande cha 1 na 2

    ======= Shirika la Reli Tanzania (TRC) limenunua magari mawili maalumu ya kisasa ili yatumike katika ukaguzi na upimaji wa reli mpya ya mwendokasi (SGR) kwa upande wa kipande cha kwanza na cha pili (Lot 1 & Lot 2). Magari hayo yana uwezo wa kipekee wa kutembea juu ya reli kwa kutumia...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC yaanza kuunda vichwa vya treni za MGR nchini, yawa nchi ya kwanza katika Ukanda wa Afrika Mashariki kufanya hivyo

    Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, imelitolea wito Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuwajengea uwezo vijana wa Kitanzania wanaounda na kukarabati vichwa vya treni za MGR, kwa kuwapa mafunzo thabiti ndani na nje ya nchi ili kuongeza maarifa, stadi na ubunifu katika utendaji wao...
  5. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yaanza kuunda vichwa vya treni za mgr nchini, yawa nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kufanya hivyo, bunge lakoshwa

    Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, imelitolea wito Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuwajengea uwezo vijana wa Kitanzania wanaounda na kukarabati vichwa vya treni za MGR, kwa kuwapa mafunzo thabiti ndani na nje ya nchi ili kuongeza maarifa, stadi na ubunifu katika utendaji wao...
  6. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC Yakabidhiwa eneo la isaka kwaajili ya kupokea mizigo kutoka bandari ya dsm kwenda nje ya nchi

    TRC YAKABIDHIWA ENEO LA ISAKA KWAAJILI YA KUPOKEA MIZIGO KUTOKA BANDARI YA DSM KWENDA NJE YA NCHI Shirika la Reli Tanzania (TRC), limekabidhiwa eneo la Isaka, Mkoani Shinyanga, kwaajili ya kupokea na kushushia mizigo kutoka Bandari ya Dsm na kisha kusafirishwa ndani na nje ya nchi. Eneo hilo...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia Imewezesha Mashirika ya Umma Yaliyokuwa yanaleta Hasara Kujiendesha Kwa Faida.Yamo TANESCO na TRC

    My Take Samia ataendelea kusalia kama Rais aliyefanikiwa sana kwenye nyanja ya Uchumi na biashara hapa Tanzania. Mageuzi aliyoyafanya kwenye mashirika haya ya Umma yamefaulu ,hatutegemei tena hasara huko tuendko. Bado mashirika machache sana mfano Air Tanzania na TTCL. Pia soma Ojambi...
  8. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yaanza rasmi usafirishaji wa mizigo kwa kutumia container carriers SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza rasmi usafirishaji wa makasha kwa kutumia reli ya Standard Gauge, hatua inayolenga kupanua wigo wa biashara, kupunguza msongamano wa mizigo bandarini na kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwenda mikoa ya kati ya nchi. Akizungumza wakati wa kuanza safari...
  9. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha "mkono wa kwaheri": Kilio cha Wastaafu 600 wa Shirika la Reli (TRC)

    Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) walioajiriwa na kustaafu kati ya mwaka 2012 na 2022 ni ya kuhuzunisha mno. Hoja za...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TRC yatangaza ratiba mpya za SGR kutoka Dar-Dodoma

    SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea...
  11. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa DG wa TRC, Masanja anatakiwa kuwa Mahabusu as we speak

    Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma. Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa kwenye SGR …. amekimbia kukwepa uwajibikaji na kudondokewa na jumba bovu. 1. Baada ya Kifo cha JPM ...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Hongereni TRC kwa kuzingatia Usalama wa wasafiri

    Inajulikana kuwa waovu wanaweza kutumia janga la mvua kuhujumu treni ili kuleta maafa na taharuki. endeleeni kusimamia weledi wa kazi . Sio aibu na wala sio ajabu kwa kuhairishwa safari nyakati za majanga ya asili . Tuendelee kuzilinda roho zenye utu katika safari zenu
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO TRC na SGR Tatizo Nini? Masaa 5 sasa treni haijaondoka DSM

    JF hebu tusaidieni kuhoji… DSM hapa train haijaondoka toka saa 12 asubuhi leo tar 28.12.2025.. Kwanini hakuna accountability kwa kueleza wateja/abiria nini kimejiri na tatizo litatatuliwa baada ya muda gani? Hakuna taarifa ya muda gani train itaondoka. Train za saa 2 na saa 3 asubuhi pia abiria...
  14. issamajid

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za treni ya SGR kwa abiria wa daraja la biashara hazina viwango

    Huduma za SGR za daraja la Biashara, haziendani kabisa. Kuanzia makazi yao pale Dar es salaam na Morogoro sehemu ya kusubiri abiria wa daraja la Biashara haiendani kabisa. Kuna muda abiria wanajazana na hata AC haziwashwi viti vimekaa ovyo kiufupi mazingira hayakidhi kuitwa daraja la...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze TRC kwa uwezo wa kurejesha huduma baada ya ajali

    Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu. Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa...
  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwa wakulima wa Morogoro na Dodoma, TRC wamerahisisha usafirishaji wa mazao yenu kwa kuwaletea Mabehewa ya cold chains

    Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
  17. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC, TCB Wazindua kadi ya malipo ya tiketi usafiri wa SGR

    Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka TRC Bw. Fredrick Masawe (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Bw. Jema Msuya wakionesha kadi ya malipo ya kabla ya tiketi ya SGR iitwayo TRC Prepaid Card wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo yenye lengo la kuongeza ufanisi katika uuzaji...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Shirika La Reli Tanzania (TRC)

    Nimewiwa kutoa pongezi za dhati kwa shirika la reli Tanzania (TRC) kwa huduma nzuri. Kwa wale mliopata bahati kusafiri na tren ya mwendokasi na dhani mmejionea hudumazao. Yani kuanzia kujali muda, mazingira na hata kutoa taarifa. Ukweli mmekidhi viwango vya kimataifa. Kwa mara zote...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndo nchi ya ajabu unakutana na mchungaji anajitapa alikuwa jambazi,ona Sasa TRC Ina hasara Bilioni 234 alafu mkurugenzi wake amepitishwa kugo

    Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka. Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
  20. RRONDO

    JamiiForums Tanzania KERO Hongereni TRC ila zingatieni ustaarabu wa Abiria wanaopiga muziki kwa Spika za Bluetooth, ni kero

    Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi. Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu mnakifumbia macho ila sio ustaarabu na inaondoa starehe ya kupanda treni kwa watu wanaopenda utulivu na...
Back
Top Bottom