kutambua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Jamani hapa Vipi! Kutambua Cheupe(DAR) Vs Rainbow Gril(DOM), wapi Bomba

    Wale walevi , Leo tupo tena kwenye mchuano Kati ya maeneo haya mawili yanayowika dar es salaam na Dodoma, katika Nyanja za burudani, je Nani ni zaidi, hakuna maelezo mengi, chukua bia yako zimua utoe comment
  2. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania bara, ni lini mtaamka na kutambua kwamba mgogoro wa CCM dhidi ya CHADEMA ni wa kutengenezwa kuwagawa Watanzania bara?

    Nimetafakari sana matukio yanayoendelea Tanzania hivi karibuni. Kuna jambo moja la kutisha sana nimegundua. Ni kwamba haya mambo yanayoendela Tanzania, hususa kinachoonekana kama ni mgogoro wa CCM dhidi ya Chadema na suala la Katiba, ni mambo yalipangwa na yanaratibiwa ili kuwagawa Watanzania...
  3. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe

    Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo. Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha mpina kuteuliwa kuwa majibu Waziri mkuu kivuli ni Ishara ya ACT kutambua serikali ambayo walisema haijacjaguliwa kihalali , tuwaeleweje ?

    Mijadala ya Act wengi walikiri uchaguzi haikuwa huru na haki Hadi Walifikia hatua ya kusema tume ilipodadilisha JINA ilipoteza uhalali kikatiba Sasa wanapoteua mawaziri vivuli Ili wasimamie serikali ipi Mpina amekuaje siku hizi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Njia ya Kwanza ya Kutambua uwezo wa Kiongozi ni watu walio Mzunguka-Machiavelli

    This quote, often attributed to Niccolò Machiavelli in his work The Prince, argues that a leader’s wisdom is directly reflected in their choice of advisors and companions. A capable, honest circle indicates a smart leader, while sycophants suggest a weak one. Key insights from this perspective...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Voice identifier Apps: Ni program zinazotumika kutambua sauti halisi na mtoa sauti hata kama haonekani.

    Sikutegemea kabisa kwa zama hizi kama serikali ingekuja na aina hii ya kuficha shahidi kwenye kiboksi cha plywood. Teknologia imekua sana huwezi kutumia kisanduku cha maboksi kumficha mtu, sauti yake ikirekodiwa inatosha kabisa kumtambua mtu anayeongea. Kuna programu nyingi za kutambua sauti...
  8. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Kutambua Kama mtoto ni wako kwa kutumia Blood Group

    Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying. Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group. Iko hivi. Blood group ziko 4. A au AO B au BO AB (au A na B) O Zinaweza zikawa positives au rare case negative blood group. (Rhesus factor) Kila mtu anabeba...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anatakiwa kutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM

    Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM na vibaka wengine ndugu wa madiwani na wabunge feki wa...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Oktoba 29 inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini

    Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini. Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa hali zote, nime mwaga machozi kwa kutambua kuwa watanzania walikufa kwa kunipigania mimi na wewe...
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Ungependa kujua namna ya kujikinga au kutambua kama kuna uchawi dhidi yako?

    Placebo Effect: Mtu anaweza kupata matokeo kwa sababu anaamini yatatokea, si kwa sababu ya uchawi wenyewe. Self-Fulfilling Prophecy: Imani kwamba umelogwa inaweza kukufanya uwe mgonjwa au mkosa amani—siyo kwa sababu umeathiriwa moja kwa moja, bali kwa msongo wa mawazo. b) Ushawishi wa...
  12. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna ambae anaweza kutambua aina ya mti huu.

  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania SHIDA KUU YA WANAWAKE SIO KUSIKIA N KUTAMBUA

    SHIDA KUU YA WANAWAKE SIYO KUSIKIA — NI KUTOKUJUA KUTAMBUA SAUTI SAHIHI. Wanawake wengi wana sikio la kipekee la kiroho — wanaweza kusikia. Lakini changamoto yao kubwa ni kutotofautisha nani anayeongea. Sauti ya mwanaume ikija kwa upole, kwa maneno matamu na ahadi nyingi, anasikia — lakini...
  14. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi imekuwa nchi ya kwanza kutambua serikali ya Taliban ya Afghanistan

    Urusi imekuwa nchi ya kwanza kuutambua rasmi utawala wa Taliban, huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan Amir Khan Muttaqi akiuita uamuzi wa "ujasiri". Alikutana na balozi wa Urusi nchini Afghanistan, Dmitry Zhirnov, mjini Kabul siku ya Alhamisi, ambapo Bw Zhirnov aliwasilisha rasmi uamuzi...
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Haihitaji Degree kutambua anachofanyiwa Lissu ni kutokana na 'No reforms, No election' Watanzania wangekuwa na akili wangekuwa barabarani muda huu

    Tunaposema Tanzania ni taifa mfu, au Taifa lenye wajinga wengi mno ambao CCM inatumia kama mtaji nadhani sote tunajionea na kushuhudia. Watu kadha wa kadha wametekwa, wamepotea, hakuna aliyewajibika. Si Polisi ambao walionekana mchana kweupe wakimbeba marehemu kwenye basi lenye abiria wala si...
  16. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Je , wakristo wakafundishwa chuki dhidi ya waislamu wote bila ya kutambua?

    Habari wajameni, Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini basi watatukanwa waislamu Dunia nzima ..Mbona maaskofu wanatamka ujinga kama Mwamposa ,kuna Hananja...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania 📶

    Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL. Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769 TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Upo umuhimu wa kutambua washiriki wa mikutano ya CHADEMA kwa sasa inawezekana wamejaa wanaharakati kutoka Kenya

    Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head. Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au wanakuja sana kwenye mikutano inayoendelea. Kamwe wasiruhusiwe kuchafua amani na kumwaga damu Tanzania.
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kutambua genge la wahaini wanaofanya kazi across EAC!

    Ni vyema sana Jumuiya ya Africa Mashariki ikashirikiana kutambua kigenge cha wahaini wanaopokea fedha kutoka ughaibuni kwa nia ya kuleta machafuko na kurudisha nyuma uchumi wa EAC.
  20. magabelab

    JamiiForums Tanzania TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

    TZ Mobile Number Lookup ni aplikesheni inayokuruhusu kutambua papo hapo opereta wa mtandao wa simu anayehusishwa na nambari yoyote ya simu ya Kitanzania. Ingiza tu nambari, na programu itaonyesha opereta. Programu hii ni nyepesi na ya haraka.Ni chombo muhimu kwa mtu yeyote anayehitaji...
Back
Top Bottom