BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,377
- 8,121
Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika.
Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa tena.
Hatua hiyo inatokana na tishio la hospitali binafsi kusitisha huduma za matibabu kwa wenye kadi za NHIF na hivyo kulazimu mazungumzo ya mezani na waziri mwenye dhamana ya afya, Ummy Mwalimu.
Desemba 18, 2023 NHIF ilifanya mapitio ya kitita cha mafao kwa mwaka 2023, ambayo kwa mujibu wao yalilenga kuongeza au kupunguza gharama katika baadhi ya huduma, ili kuendana na bei halisi ya soko.
Kutokana na mabadiliko hayo, iliibuka sintofahamu baada ya madaktari bobezi kuyalalamikia wakidai kutoshirikishwa huku wamiliki wa hospitali binafsi wakieleza kutoyaafiki.
On December 18, 2023, NHIF reviewed the benefit package for 2023, aiming to adjust costs for certain services to reflect the real market prices. However, this led to confusion as specialist doctors complained of not being consulted, while private hospital owners expressed disagreement with the changes.
The decision was reached on Thursday, January 4, 2024, following an internal meeting between the Minister of Health, Ummy Mwalimu, and representatives of private hospital owners, including the Christian Social Services Commission (CSSC), the Association of Private Health Facilities Owners in Tanzania (APHFTA), and Bakwata.

Uamuzi huo umefikiwa jana Alhamisi, Januari 4, 2024 baada ya mkutano wa ndani kati ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na wawakilishi wa wamiliki wa hospitali binafsi wakiwamo Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC), Chama cha Wamiliki wa Vituo vya Afya Binafsi Tanzania (APHFTA) na Bakwata.
============For English Audience Only===================
The Tanzanian government has suspended the new pricing for medical services under the National Health Insurance Fund (NHIF), announcing the formation of an independent committee to review the implemented improvements. The new prices, set to take effect from January 1, 2024, have been put on hold until further notice. This decision follows threats from private hospitals to halt medical services for NHIF cardholders, prompting negotiations with the Minister of Health, Ummy Mwalimu.============For English Audience Only===================