upimaji

  1. Tumpara Dudu

    JamiiForums Tanzania Measuring Cup kwa upimaji mafuta ya kula duka la mangi

    Salamu kwenu wakuu. Ammaabaad. Wakuu mm nauza duka la mangi lkn Nina changamoto katika upimaji wa mafuta ya kula. Kwenye mazingira lilipo duka langu wakazi wa huku wamezoea vipimo vya 300,500, robo nusu na Lita. Sasa robo,nusu na Lita si tatizo lakini changamoto ni vipimo vya TSH 300 na 500...
  2. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukosefu wa Vifaa kwa Wapima ARDHI (land surveyors) ni sababu Kuu ya kuwa na gharama kubwa katika Upimaji Ardhi

    Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu. sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa Viwanja na Mashamba Waendelea Nchini

    Katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ilipanga kuratibu upimaji na uidhinishaji wa viwanja 500,000 na mashamba 500. Hadi Mei 15, 2026, jumla ya viwanja 193,317 vimepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 38.66 ya lengo, huku mashamba 515 yakiwa yamepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 103 ya...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania Samia: Mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchi nzima zihakikishe kunatengwa maeneo ya kijani na upandaji miti

    Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
  5. bab-D

    JamiiForums Tanzania Natamani kupima shamba langu kwa kutumia app

    Heshima kwenu, natamani kupima shamba langu kwa kutumia app, maana nimeshindwa kuligawa ili nilioime kwa futi kamba, anae ijua anijuze
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) yafanya Kampeni ya Upimaji Macho

    Watu mbalimbali wakiwa kwenye foleni ya matibabu ya macho katika kampeni iliyoendeshwa na taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) katika Hospitali ya wilaya Mabwepande jijini Dar es Salaam. Mwisho wa Kampeni ni tarehe 17/06/2025
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali ndio ilitutapeli laki na 50 sisi wakazi wa Kibaha 2019 kuhusu upimaji wa ardhi?

    Wakuu kama mnakumbuka serikali ilitoa ofa ya kupimiwa viwanja Kwa Bei ya 150000tzs Sasa sisi huku kibaha tulipimiwa na kuwekewa mawe ila Hawa jamaa hawakurudi kutupa mrejesho wowote zaidi ya Yale mawe Yao yaani ni kama ulifanyika utapeli hivi serikali ndio mmetuibia raia wake naombeni kujua he...
  8. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 210,578 wa Darasa la 4 wamepata Daraja E kwenye Mtihani wa Upimaji, 116,251 wamefeli Kidato cha Pili

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo...
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

    Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaani wewe unatumbua nini kwenye ubongo wako?

    Ni swali la upimaji IQ Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaan wewe unatumbua nini?kwenye ubongo wako
  11. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tule Mlo kamili na upimaji afya viwe ni vipaombele Kwa mtoto wa kesho

    Tukisema mtoto ni taifa la kesho iwe Ina maanisha Kwa vitendo Kwa wadau wazazi mpka serikali yenyewe. Ifike mahali wataalam waafya watoe masomo ya mlo kamili Kwa kina mama wajawazito wapo kliniki ili kutengeneza mtoto Bora wa kesho pia ni vizuri wataalam wa afya wakawaoa elimu mama wa jawazito...
  12. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwe tayari kuzifuatilia mbegu za mazao Kwa majaribio ya kupanda sio Kwa majaribio ya upimaji kisasa bila kupanda

    Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini. Kuna mambo machache serikali inapaswa kuyaboreaha Kwa vitendo ya majaribio sio matendo ya kisasa Kwa vifaa kila mwaka wa kilimo...
  13. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania SoC04 Upangaji na Upimaji Ardhi kimkakati kuepukana na Changamoto ya Makazi holela katika Miji midogo, Miji, Manispaa na Majiji

    Ukuaji wa miji kiholela nnchini Tanzania ni suala mtambuka ambalo limekua likitafutiwa muarobaini kwa muda mrefu. Kufuatia kasi ndogo ya upangaji wa matumizi ya ardhi na ujenzi wa kasi, makazi holela( makazi yasiyofata utaratibu pangwa) yamekua yakishuhudiwa sehemu tofauti tofauti. Picha ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Jerry Slaa, kuna mpango wa ufisadi upimaji wa viwanja eneo la Uwanja wa Ndege Tabora. Viongozi wa Ardhi na Mkurugenzi wanachezewa mchezo

    Sina exactly eneo ila inaelezwa nyuma ya uwanja wa Ndege Tabora kuna eneo lenye zaidi ya Hekari mia nane linalomilikiwa na wananchi . Inaelezwa kwamba wananchi wameomba ilo eneo walipime wenyewe wakakataliwa badala yake wakaambiwa ofisi ya Ardhi ina kampuni za upimaji za watu binafsi watawapa...
  15. Nguvuyabwana

    JamiiForums Tanzania Mbinu za upimaji maji aridhini

    Wazee habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kwa wale waliokwisha kuchimba visima vya maji na wale wenye ujuzi wa kutafuta maji yalipo. Je, njia hii inauhakika au ndo nijiandae kulia 😃
  16. Nguvuyabwana

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa maji ardhini

    Wazee habari za wakati huu, naomba kufahamisha kwa wale waliokwisha kuchimba visima vya maji na wale wenye ujuzi wa kutafuta maji yalipo. Je njia hii inauhakika au ndo nijiandae kulia 😃
  17. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Upimaji Wa Shamba/Kiwanja Chako Hapa Tanzania

    Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani zinazo tayarishwa ni hatua za kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi kwa...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji kwa darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023 mchana wa leo. Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa National form II Results 2009 aibu Kwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa ardhi ya makazi ni muhimu Ili kuepusha majanga

    Ni vyema vijiji vipimwe na kufanyiwa tathimini kama ardhi yake inafaa Kwa makazi na shughuli za kibinadamu,Kuna baadhi ya maeneo watu wanaishi kwenye mabonde au karibu na Kingo za mito,Kuna maeneo ambayo kimsingi hayafai Kwa ajili ya makazi lakini mamlaka zipo kimya.Tusingojee mpaka majanga...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
Back
Top Bottom