shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baba aura

    Ni elimu gani muhimu lakini haifundishwi shuleni wala vyuoni?

    Wakuu habari, nimekuwa najiuliza kila siku kuwa ni elimu gani muhimu ilahaifundishwi mashuleni wakuu
  2. Kibiriti ngoma

    Inakuwaje halmashauri ya Kilwa kipindi hiki cha midterm wanafunzi wanatakiwa waende shuleni

    Habari wadau, Shule nyingi za sekondari zimefungwa hapa nchini, ila wilaya ya kilwa inaendelea kufundisha wanafunzi kuanzia kidato cha 2 na 4, lakini kwa hili hii wanafunzi na walimu wanatakiwa kufika shuleni, kwa mazingira haya zile siku za masomo zilizowekwa kisheria na wizara zinakuwa...
  3. JanguKamaJangu

    Matinyi: Tahasusi mpya za dini shuleni, kinachofundishwa ni maarifa ya dini sio imani

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akielezea sababu ya Serikali kujumuisha Tahasusi za masomo ya Dini katika ngazi ya Elimu ya Sekondari baada ya mwongozo kutolewa hivi karibuni kuhusu masomo hayo.
  4. JF Toons

    Je, umewahi kutoa pesa ya mchango kwaajili ya huduma ya chakula cha mchana shuleni kwa mwanao?

    Shuleni ni mahali ambapo wanafunzi hutumia muda mwingi wa siku yao kuliko sehemu nyingine. Chakula ni miongoni mwa nguzo za msingi katika kuleta ustawi na utulivu wa kimasomo wa mtoto wako. Muongozi wa wa Taifa wa utoaji Huduma ya Chakula na Lishe kwa Wanafunzi wa Elimumsingi unaeleza kuwa...
  5. A

    KERO Serikali imeshindwa kudhibiti adhabu za Viboko shuleni?

    Kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya utitiri wa adhabu za viboko shuleni. Watoto wanaogopa kwenda shuleni kisa adhabu za viboko ni kali na pia namna ya utoaji wa adhabu hiyo umepelekea wanafunzi kuacha shule, ulemavu pamoja na alama zisizifutika yaani makovu ya kudumu. Upigaji aua utiajia wa...
  6. P

    Sehemu anapopata chakula mtoto wako akiwa shuleni pana hali gani?

    Wakuu kwema? Shuleni ni sehemu ambako watoto (walioanza kwenda shule) wanatumia muda mwingi kuliko nyumbani. Mbali na masomo, chakula ni kitu muhimu pia ambacho kina nafasi kubwa katika ukuaji wa mtoto. Sasa je, unajua sehemu anapopata chakula mtoto wako ina hali gani? Kuna shule ukiona...
  7. GENTAMYCINE

    Wanafunzi wa Shule za Mbagala Wanajiamini makusudi Ugonjwa wa Red Eyes ili watege kwenda Shuleni

    "Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika Macho yao ili Waugue na watege kwenda Shuleni" amesema Mzazi akiongea muda si mrefu na Mtangazaji...
  8. LIKUD

    Mhitimu unayeamini waliopata sifuri Form 4 ndio kutimiza ndoto zao basi elewa kwamba ulipoteza muda shuleni

    Watu kadhaa wamenitag kwenye Uzi wa matokeo ya Necta ili nijionee jinsi vijana wa shule za Kayumba walivyo pata zero na 4 kwa wingi. Ni kama vile wanasema "Wewe si ndo unajifanya kuzipigia kampeni shule za Kayumba ona sasa walicho kipata?" Hapo hapo ni kama vile wanasema tena "Hawa vijana...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Tukio la Ubakaji shuleni: Wazazi muwe Makini na watoto mnaopeleka shule za Bweni

    TUKIO LA UBAKAJI SHULENI: WAZAZI MUWE MAKINI NA WATOTO MNAOPELEKA SHULE ZA BWENI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwaka 2016 nilipata kibarua cha kujiegesha katika shule ya binafsi maeneo ya Mwembe Mtengu, Kigamboni. Ile shule nikakuta waalimu wengine vijana ambao ni rika langu. Hapakuwa na...
  10. BARD AI

    Fountain Gate Academy Tabata rekebisheni Barabara za kuingia Shuleni, mnatesa Watoto

    Jana nimepita mitaa ya Shule ya Moja ya Shule za Fountain Gate iliyopo Tabata Sigara jijini Dar es Salaam, nimekutana na tatizo kubwa sana la Barabara inayoingia katika Shule hiyo, na mbaya zaidi ni Barabara inayotumika na Watoto kufika shuleni hapo cha kushangaza barabara hiyo imekuwa mbovu kwa...
  11. Roving Journalist

    Arusha: Polisi, Walimu na Wanafunzi kuanzisha club za kupambana na uhalifu shuleni

    Mkaguzi wa kata ya Mkundi Mkoani Morogoro Mkaguzi msaidizi wa Polisi A/INSP Anna Manumbu amebainisha kuwa Jeshi hilo kwa kushirikiana walimu na wanafunzi wanaunda club za kupambana na uhalifu mashuleni ambazo zitaongeza kasi ya kupambana na uhalifu na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia...
  12. Miss Zomboko

    Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

    Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33)...
  13. M

    Je, leo ni uhuru wa Tanzania Bara au Tanganyika?

    Wadau nawasalimu.Leo ni tarehe 9 Desemba 2023 Miaka 62 toka Nchi yetu ipatiwe Uhuru wake kutoka kwa Mwingereza. Kilichonishangaza ni kusikia kuwa Eti Leo ni Miaka 62 ya Uhuru wa TANZANIA BARA Nchi ambayo Binafsi Siijui ipo wapi inapatikana wapi ina ardhi ya ukubwa gani inapakana na Nchi ipi na...
  14. K

    Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

    Hii ni Shule ya Sekondari Bujunangoma iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera. Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
  15. K

    Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

    Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera. Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
  16. Bushmamy

    Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

    Hali ya taharuki imetokea katika shule ya msingi Narumu, katika Kijiji cha Narumu wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, baada ya mama mmoja ajulikanae kwa jina la Valentina Kweka, kuingia ofisi ya walimu na kumpiga Mwalimu. Mwalimu huyo ambaye ni wa kike (jina limehifadhiwa) alijeruhiwa hivyo...
  17. MamaSamia2025

    Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

    Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM. Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu ARUSHA MODERN SCHOOL mwaka 2003 ambao pia ni mwaka...
  18. hermanthegreat

    My true story; Jinsi uongozi wangu shuleni ulivyonifanya niishi maisha ya upweke

    Habari wanajf. Leo nimeona sio mbaya namimi nikishare na nyinyi story yangu fupi nilipokuwa shule. Hatimaye matokeo yakatoka nimefaulu kwenda sekondari. Nilkuwa si mtu wa kujichanganya sana hivyo sikuwa famous kabisa pia nilkuwa mtiifu sana nafanya kila kitu kwa mda. Nikiwa form one bado...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Oilver Semguruka Atatua Tatizo la Ukosefu wa Maji Shuleni

    MHESHIMIWA OLIVER ATATUA TATIZO LA UKOSEFU WA MAJI SHULENI 🏷️Leo Tar 22 September, 2023 Mhe Oliver Daniel Semuguruka (Mbunge Viti maalum Mkoa wa Kagera) alikuwa Mgeni rasmi katika mahafali ya shule ya Msingi Mgeza Mseto Bukoba Mjini, ambayo shule hiyo ni ya watoto wenye MAHITAJI MAALUMU. 🏷️...
  20. Chachu Ombara

    UNESCO: Watoto milioni 250 ulimwenguni hawahudhurii shuleni

    Idadi ya watoto wanaokosa elimu yoyote imeongezeka kwa milioni sita, na kufikisha jumla ya watoto milioni 250, kulingana na takwimu mpya zilizotolewa Jumatatu na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (UNESCO). Ongezeko hilo kwa kiasi fulani linatokana na kutengwa kwa wingi...
Back
Top Bottom