nhc

 1. K

  Sasa kushusha bei nyumba za NHC hasara ni ya nani?

  Jana nilisikia nyumba za National Housing kushushwa bei kwa mfano nyumba iliyokuwa imepangwa kuuzwa Tsh. 60 Million itauzwa chini ya Tsh 40 Million. Moyoni nkajiuliza hilo pengo hapo katikati ni hasara kwa nani?
 2. J

  Cecil Mwambe kujenga Makao Makuu ya kisasa CHADEMA na kuachana na kota ya NHC ya Ufipa

  Watu walio karibu na mgombea wa Uenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe wamesema moja ya vipaumbele vya mgombea huyo ni kuhakikisha Chadema inajenga jengo la kisasa la makao makuu. Ikumbukwe kuwa baada ya kuhama pale kisutu kwenye ofisi za rip Ndesamburo Chadema walijihifadhi mtaa wa Ufipa pale...
 3. Jidu La Mabambasi

  Nadhani Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lipo katika hali mbaya ya kifedha

  Hili shirika la kujenga nyumba kwa wananchi, National Housing Corporation NHC, sasa imethibitika liko katika hali mbaya sana kifedha. Hii ni licha ya kuambiwa uchumi wetu wa viwanda unakua kwa zaidi ya 7%. Miradi iliyo mbele ya macho na inaonekana kila siku pale Morocco na Kawe, imesimama...
 4. nyumbanafuuu

  Jenga Nyumba Vyumba 3 Zinazotumia BATI CHACHE (~60) na TOFALI Chache (~2000)

  Je, unahitaji kufanikisha ujenzi wa nyumba yako kwa kutumia Bati na Tofali Chache, haraka na uhamie? Tumeandaa design za nyumba za vyumba 3 ambazo zinatumia bati ~2000 na bati ~60 lengo ni kwa yule anayehitaji ujenzi wa vifaa vichache uweze nufaika waweza jenga popote Africa, A. Mashariki, Mkoa...
 5. N

  Njia mpya ya kulipia NHC Bills bado tatizo

  NHC kwenye Bill payment system yenu boresheni yafuatayo; 1.Mngeweka kwenye website yenu njia mpya ya kulipia hizo bills zenu kupitia control numbers... wengine tupo maporini lakini ni wapangaji wenu...naangalia hapa kwenye website yenu hata helpdesk page haifunguki nimeshindwa kupata msaada...
Top