bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya: Kinga kwa Watanzania Wote

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Tusichanganye Bima ya Afya kwa wote na TASAF, kila Mtanzania atumie kipato alicho nacho kuunga mkono, Serikali imeshaweka Bilioni 48

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania wote kutofautisha kati ya mpango wa Bima ya Afya kwa Wote na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), akisisitiza kuwa mfumo wa bima ya afya sio mpango wa misaada bali unahitaji ushirikiano na uchangiaji wa kila mwananchi mwenye uwezo ili...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Serikali kuendelea kutafuta vyanzo vya mapato kuongeza wigo wa wanufaika, Bima ya Afya si TASAFU kwamba kusaidia wasiojiweza

    Bima ya afya ni kwa wote. Maana yake, kila Mtanzania ashiriki kukata bima ya afya, na kupitia programu hii ndipo tutakapoweza kuwa na bima ambayo ni jumuishi, ambayo haitaacha mtu nyuma-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️ Septemba 03, 2026 Amesema hayo wakati akijibu swali la...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania BIMA YA AFYA KWA WOTE: KAYA 276,000 ZASAJILIWA

    Hadi Juni 2026, jumla ya kaya 276,000 zimesajiliwa katika mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, sawa na asilimia 100 ya kaya zilizolengwa katika awamu ya kwanza. Hatua hiyo inaendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Utekelezaji wa ahadi za siku 100 na Bima ya Afya kwa Wote ni ahadi hewa

    ACT Wazalendo imesikitishwa na taarifa na kauli za Serikali zinazotolewa kupitia vyombo vya habari, majukwaa mbalimbali na Bungeni kuhusu mwenendo wa ugharamiaji wa huduma za afya nchini, hususan utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote. ACT Wazalendo imefanya tathmini na kubaini kuwa, licha ya...
  7. E

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Yaituhumu Serikali Kufeli Ahadi ya Bima ya Afya kwa Wote

    Dk Elizabeth Sanga Chama cha ACT Wazalendo kimesema utekelezaji wa ahadi ya siku 100 ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Bima ya Afya kwa Wote umeshindwa kuwafikia wananchi wengi, huku kikidai kuwa watu maskini wanaendelea kukosa huduma muhimu za matibabu na vipimo vya kibingwa. Katika tathmini...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote

    Na Benny Mwaipaja, Addis Ababa Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wananchi 23,000 wasajiliwa Bima ya Afya kwa wote - Mara.

    Wananchi 23,000 wasajiliwa Bima ya Afya kwa wote - Mara. Video na Channel Ten
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania KONGAMANO LA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete anawakaribisha katika Kongamano la Bima la Afya kwa wote, Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Mtambi Kongamano hili litafanyika Agosti 21, 2026 katika Hotel ya CMG, Tarime Mjini. ▪️Fursa kwa Makundi Maalum...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kongamano la bima ya afya kwa wote - na mbunge Ghati Chomete

    KONGAMANO LA BIMA YA AFYA KWA WOTE ▪️Fursa kwa Makundi Maalum. ▪️Ujenzi wa Bweni la Wasichana. ▪️Mhe. Ghati Z. Chomete Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara. 📆 21 Agosti, 2026. 📍CMG Hotel, Tarime Mjini.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    JWTZ limeanzisha bima ya afya kwa ajili ya wanajeshi na familia zao ila bima hiyo imekuwa na msaada mdogo sana ukilinganisha na fedha ambazo tunachangia kwa mwezi kitoka katika mishahara yetu. Masharti ya kunufaika katika bima hii ni mengi sana kiasi kwamba wanufaika wanashindwa kunufaika nayo...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hiyo bima ya afya ya taifa NHIF ni ubabaishaji na usanii mtupu, yaani wanachukua hela ila magonjwa na vipimo kibao havimo kwenye hiyo bima

    Yaani serikali inasisitiza bima ya afya kwa wote lkn kusema kweli hii bima ya afya ya sasa ni shida tupu maana ukienda hospitali na ukaenda bila fedha unaweza usitibiwe Yaani ukienda hospitali hauna hela ya matibabu unategemea tu kikadi cha bima utarudi nyumbani na bima yako na haujatibiwa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini Bima ya Afya kwa wote inashindikana Tanzania!!

    Habarini, Kwanini lakini kitu cha muhimu kama hiki hakitiliwi maanani? Watu wanapanga kuandamana kwaajili ya masilahi ya wanasiasa badala ya maandamano kwaajili ya BIMA YA AFYA KWA WOTE kwani ndiyo shida ya Watanzania walio wengi. Ni bora wapinzani mkawekeza kwenye matatizo ya wananchi siyo...
  15. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania KERO Makosa madogo ya Taarifa za NIDA yanawanyima wananchi huduma za NHIF, Serikali ipo kimya!

    Kuna wakati taifa linafika mahali ambapo ukimya unakuwa ushiriki katika mateso. Leo, maelfu ya Watanzania wanashuhudia jambo ambalo linaumiza mioyo yao kila siku. Wazazi wetu, wale waliotulea kwa jasho, damu na machozi, wanazuiwa kupata huduma muhimu za afya kwa sababu ya tofauti ndogo sana...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tozo ya Shilingi 10 itawekwa kwenye kila kilo moja ya sukari kugharamia Mfuko wa Bima ya Afya kwa wote

    Serikali imependekeza vyanzo vya ziada vya mapato kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 ili kugharamia Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote. Hatua hii itahusisha marekebisho ya sheria yatakayoongeza kodi na tozo kwenye bidhaa za sigara na sukari nchini. Mabadiliko yaliyopendekezwa ni kama...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu na fursa ya kukamilisha bima ya afya kwa wote!

    Watanzania wengi wameshangilia ujio wa Mhe.Ummy Mwalimu a.k.a ODO hivi sasa akiwa mtumishi mwandamizi kumsaidia Rais Samia. Ni ukweli usiopingika kuwa mwanasheria huyu na mbunge mstaafu anao uzoefu mkubwa katika sekta ya afya na pia uzoefu wa kipekee katika kutambua changamoto za afya hususani...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuwagharamia Wazee na Watoto Bima ya Afya

    Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita). Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Serikali imetoa Sh Bilioni 48.8 Bima ya Afya kwa wote, Wanufaika 463,228 waanza kupata huduma za matibabu

    Serikali imeanza rasmi utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kwa kaya zisizo na uwezo kwa kutoa Shilingi bilioni 48.8 kwa ajili ya kuwawezesha wananchi wa makundi maalum kupata huduma za afya kwa uhakika. Kupitia utekelezaji huo, jumla ya kaya 172,297 tayari zimefikiwa na kuingizwa...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mexico yafuata Mfano wa Samia, yazindua Bima ya Afya kwa wote

    Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za...
Back
Top Bottom