Sisi Wayebusi tumesikitishwa sana kusikia jambo hili na tumeshirikiana na Mwenyekiti wa Wanaume wa Kanda ya Ziwa kuitisha kikao siku ya Jumamosi kujadili hili jambo ambalo bwana Chacha amelianzisha.
Wadau wengi wamepiga simu wakiwa na maswali kadhaa kuhusiana na Bwana Chacha wanaume kwa...
Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
Mkutano na Waandishi wa Habari
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura wa kukabiliana na madhara ya El Nino, nchini.
📆 02 Septemba, 2026.
🕰️ 05:00 Asubuhi.
📍Ukumbi wa mikutano Ngome/Relini Dodoma.
Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea.
Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi...
26 June 2026
Dodoma, Tanzania
Kupitia bunge la chama kimoja mjini Dodoma waziri wa mambo ya ndani atangaza hali yadharura?
https://m.youtube.com/watch?v=W4nFM7gRgKs
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura, kusitisha kwa...
Linapokuja suala la kujiandaa kama kupata nguo ya kuvaa, viatu nk. kwa wanaume huwa sio shida sana japo wapo wenye vipingele lakini huwa nafuu ila kwa jinsia Ke, ndio pata shika japo wapo wanaojitahidi.
Wanawake mpaka akapate nguo ya kuvaa ni muda hata kama ana kabati 2 za nguo na zote zimejaa...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema hayo Mei 4, 2026 alipokuwa mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “Jua Namba Zako”.
Waziri Mchengerwa amesisitiza kuwa Taifa lina uwezo wa kujenga mfumo imara wa afya unaodumu kwa muda mrefu, huku ushirikiano ukiwa ndio msingi mkuu wa mafanikio...
Jamii mtupazie sauti CRDB Call Center hawapokei simu, yaani kwakifupi sisi Wateja si kitu pindi unapopata dharura.
Ukipiga Call Center inahitaji dakika 10 au zaidi waweze kupokea na mara nyingine hawapokei kabisa unasubiri dakika zote na mwisho simu inakata.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 12, 2026, Naibu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amezihoji mamlaka kuhusu akiba iliyokuwepo ya miezi mitatu iko wapi ikiwa wananchi hawanufaiki nayo?
Ameongeza pia, Mamlaka zinatakiwa ziondoe Kodi iliyopelekea...
Hali ya usalama nchini Marekani leo, Aprili 3, 2026, imefikia hatua ya juu sana, na mikutano ya aina hii katika Ikulu ya White House inaashiria hali ya dharura ya kivita inayozidi kupamba moto.
Ripoti za hivi punde zinaeleza kuwa Iran imedai kudungua ndege ya pili ya kivita ya Marekani aina...
Spika wa Bunge, Mussa Zungu amemuagiza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi kukutana na Kamati ya Bunge ya Nishati ili kujua hatma ya hali na mwenendo wa kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Zungu amesema kuwa bila mafuta upo uwezekano wa kukwama katika mipango mbalimbali ya nchi.
Hayo yanajiri...
Wakenya mko rada?
The Ministry of Health imechukua hatua kali baada ya kubaini baadhi ya peanut butter brands zina aflatoxin levels hatari sana way above the safe limit ya 15ppb.
Brands zilizoathirika ni Nutie, Kismat, Pannaj na Muleka. Imagine, Nutie batch moja ilipatikana na 934ppb hii ni...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini.
Kesi hiyo iliahirishwa wiki tatu zilizopita baada ya upande Jamhuri kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani, ukitaka marejeo ya uamuzi wa Mahakama kuu...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa."
Vyanzo...
1. Mpeni maiki mzee Warioba aitishe mchakato wa Katiba Mpya kuanzia Sasa, Lissu na Polepole wateuliwe Moja Kwa Moja kuwa wabunge wa mchakato wa Katiba Mpya, watoke huko walipo Hadi Bungeni. Wawekwe safe house chini ya uangalizi wa Serikali kwa usalama wao, wanafamilia pekee waruhusiwe kuwaona...
Msaada bint yangu ana umri wa miaka2 usiku huu mda huu kapata joto kali sana mwili mzima kachemka haswaa .hapa nimefanya kumpa panadol nakumpaka vitunguu swaumu mwili mzima
Msaada wenu wakuu wa tiba ya dharura kushusha joto uku tukisubiria kukuche kumuwahisha hospital
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku saba kwa Mameneja wa TANROADS na TARURA wa Mkoa wa Lindi wakae na kutafuta suluhisho la ujenzi wa daraja katika eneo la Congo kwenye barabara inayoenda Masasi kutokea Nachingwea.
Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.