kifaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. warzone

    JamiiForums Tanzania Natafuta kifaa kama hiki cha OBD ii

    Natafuta kifaa kama hiki cha OBD II Kwa mwenye nayo aniuzie,nipo Dodoma
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kifaa cha kutengeza hatch kama hii

    natafuta kifaa cha kujanga hatch kama hii ya mwezi mchanga
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ab roller kifaa cha mazoezi

    Habari zenu mabibi na mabwana!! Ninaomba maelekezo kwa wadau wa mazoezi na pia wale watu wote wanaotumia vifaa mbali mbali vya mazoezi, naomba mnijuze kuhusu ab roller. Je ni sahihi kwa wanawake kukitumia? Nimekuwa nikikitumia wiki mbili sasa yani tumbo linaisha kwa kasi ya ajabu sana.. ila...
  4. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kwa Kariakoo, wapi naweza pata VR Box? Maana naona imeanza kuwa maarufu

    Hii kifaa inaitwa VR BOX, Nimeitafuta kwa mda mrefu sasa bila mafanikio. Leo nipo darasalama tena nipo mjini kabisa. Mwenye dukani kwake anauza anipe taarifa.
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe Saudi Arabia chagonga chini, watu zaidi ya 20 wajeruhiwa

    RIYADH, Saudi Arabia (AP) — Ajali ya kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe ya Green Mountain iliyopo magharibi mwa Saudi Arabia imesababisha majeruhi zaidi ya watu 20 na kulazimu mamlaka kufunga mbuga hiyo pamoja na kuamuru uchunguzi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Ajali...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wapi napata kifaa cha kutafisiri Ligha mbali mbali?

    Wakuu, naomba kama kuna mtu anauza device za kutafisiri lugha. Mfano uko kwenye mkutano ujeruman wakiongea kijerumani wewe unakuwa unasikia kwa English. Kwa yeyote anaeuza tuwasiliane.
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vanvera: Kifaa cha Karne ya 19 Kilichowawezesha Wanawake Kuficha Gesi(ushuzi) kwa Umaridadi

    Katika karne ya 19, kulikuwa na kifaa cha kipekee kilichoundwa mahsusi kuwasaidia wanawake kushughulikia matatizo ya gesi tumboni—bila aibu wala kusumbua waliokuwa karibu nao. Kifaa hiki kiliitwa Vanvera. Vanvera ilikuwa kama pedi au kisahani kidogo kilichotengenezwa kwa vifaa vilivyoweza...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Je kifaa hiki kinafaa kwa jiko la umeme?

    Naombeni ushauri!Nataka kutumia umeme kupikia!Je kifaa hicho kinafaa kwa jiko la umeme?Nina mafundi wawili hapa wanabishana balaa!Ningependa kupata ushauri kutoka kwenu!!
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kama unataka taa za nje ziwe zina jiwasha zenyewe giza likiingia tumia hiki kifaa haya wale wa smart house hii inakuhusu

    Kifaa kinachowasha taa pindi jua linapozama au giza kuingia kinajulikana kama Photocell Sensor au Light Sensor Switch. 🔹 Jinsi Kinavyofanya Kazi: ✅ Hugundua mwanga wa jua – Kifaa hiki kina sensor inayotambua kiwango cha mwanga wa mazingira. ✅ Huzima taa wakati wa mchana – Ikiwa kuna mwanga wa...
  10. hp4510

    JamiiForums Tanzania Picha: Naitaji Hiki Kifaa

    Wakuu anaitaji hiki kifaa, kazi yake ni kuua mbu, unachomeka kwenye umeme then kinatoa harufu flan hivi Mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Daladala zinazokatisha Ruti, zikikamatwa kuanza kufungwa kifaa cha VTS ili kufuatiliwa

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema magari ya usafiri wa Umma yatakayokatisha au kubadili “ruti” kinyume na Leseni zao, yatachukuliwa hatua na kufungwa kwa kifaa cha VTS ambacho kinafuatilia Mwenendo wa Magari. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Udhibiti Usafiri wa Barabara kutoka...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
  14. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kifaa hiki kina kazi gani kwenye gari?

    Hiki kioo kidogo upande wa mbele kushoto wa gari kina kazi gani kwenye wakuu?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
  17. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kifaa Cha kuzuia Utekaji

  18. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kifaa rahisi cha kupukuchua mahindi kutoka kwenye gunzi

    Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi. Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao. Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa. Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  20. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

Back
Top Bottom