yasitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ghana: Serikali yasitisha Kodi mpya ya Umeme baada ya Wananchi kuigomea

    Serikali ya ghana imesitisha mipango ya kutekeleza ushuru wa 15% kwa nguvu, kufuatia ghasia za umma kwamba itazidisha mzozo wa gharama ya maisha. Kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ilipaswa kutozwa kwa watumiaji wa ndani wa umeme. lakini vyama vya wafanyikazi vilipinga ushuru huo mpya na...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TRC yasitisha huduma ya safari za treni mikoa 12

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa limesitisha kwa muda huduma ya safari za treni kutoka Dares Salaam kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Katavi, Kigoma, Shinyanga na Mwanza, pamoja na Mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha kutokana na uharibifu wa miundombinu ya...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania COSCO ya China yasitisha usafirishaji wa meli kwenda Israel

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇱 Pigo jingine kubwa la kiuchumi kwa Israeli Cosco yasitisha usafirishaji wa Israel huku kukiwa na mvutano wa Bahari Nyekundu. Cosco, inadhibiti 5.2% ya uwezo wa usafirishaji wa kimataifa. Hii inajiri baada ya kampuni zingine kama vile MSC, CMA CGM, Maersk, na...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Bei Mpya za Kitita cha Bima ya Afya ya NHIF

    Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) huku ikitangaza kuunda kamati huru itakayofanya mapitio ya maboresho yaliyofanyika. Bei hizo mpya zilizopangwa kuanza kutumika kuanzia Januari mosi, 2024 zimesitishwa hadi itakapotangazwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Adobe yasitisha manunuzi ya Figma kwa dola bilioni 20

    Kutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma. Sheria hizi zinazuia kampuni kuwa monopoly. Mimi ni mpenzi wa Figma nadhani kuiacha ijitegemee ni uamuzi sahihi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yasitisha Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS)

    15 December 2023 Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza kusitishwa kwa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS uliopangwa kufanyika kesho jumamosi tarehe 16 December 2023. Amri hiyo imeyolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Dar es Salaam kwenye maombi madogo no...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha huduma za TIA SMILE Massage & SPA kwa kukiuka Sheria

    Ni uamuzi wa Serikali kupitia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Doroth Gwajima ikiwa ni baada ya Video ya Tangazo la huduma za 'Massage' iliyowekwa Mitandaoni, kuripotiwa kuwa ina Vitendo vilivyo kinyume na maadili. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara hiyo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama yasitisha utekelezaji wa Tamko la Rais kuanzisha pori la Akiba la Pololeti

  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya Dunia yasitisha Mikopo Mipya ya Uganda kutokana na Sheria ya Kuzuia Mapenzi ya Jinsia Moja

    Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja. "Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: NHC Shirika la Nyumba lasitisha Mikataba

    Kuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyumba hizi kubomolewa na kujengwa upya. Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kidini ya Spirit Word Ministry yafutiwa usajili

    Wizara ya Mambo ya Ndani imesitisha usajili wa Jumuiya ya kidini iitwayo Spirit Word Ministry iliyopo eneo la Stakishari Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam baada ya kubainika kutoa mahubiri na mafundisho yenye mwelekeo wa kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja. Waziri wa Mambo ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha zoezi la kupeleka ndege vita F -16 baada ya mifumo yake ya ulinzi kudunguliwa uko Ukraine

    Baada ya mifumo ya ulinzi ya Marekani ambayo walikuwa wakiiamini sana kupigwa na kuharibiwa na majeshi ya Russia, kwa kutumia makombora ya kinzhai, leo Marekani amepiga marufuku ndege zake aina ya F -16 zisipelekwe ukraine wala kuwafundisha askali wa ukraine. Hii Ni baada ya kugundua kwamba...
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SpaceX yasitisha urushaji wa Satellite ya Taifa-1 inayomilikiwa na Kenya

    Kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Utafiti wa Masuala ya Anga ya SpaceX, uamuzi wa kusitisha urushaji wa Chombo hicho kilichopewa jina la Taifa-1 kwaajili ya Uchunguzi wa Dunia, umesababishwa na Hali Mbaya ya Hewa. SpaceX ililazimika kusimamisha Roketi ya Falcon 9 sekunde ya 29 tu kabla ya...
  15. witzone2

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yapiga marufuku watoto kukaa bweni (boarding) kuanzia darasa la nne kushuka chini

    Serikali ya CCM imeamua kufanyia tangazo la jirani zetu wakenya kupiga marufuku watoto kuishi shuleni kuanzia darasa la nne. Sababu kuu wanayodai ni mmomonyoko wa maadili shule za bweni kuwa ni mkubwa mno. Mimi ni mdau wa elimu, hii sababu sio kweli hata siku moja.. SEMA kwa sababu Serikali...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha Leseni za baadhi ya mabasi ya Dar Express, Kidia One, Luwinzo, Super Feo

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni za usafirishaji kwa mabasi 22 kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Februari,2023 Hatua hii ni kutokana na vitendo vya kuingilia Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari (VTS) na kusababisha mfumo kutotuma taarifa ama kutuma taarifa kwa...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mauritius yasitisha safari za ndege wakati Kimbunga Freddy kikisogea

    Mauritius pia imefunga soko lake la hisa wakati upande wa pili Madagascar imeandaa timu za dharura kwa ajili ya mvua kubwa, mafuriko na maporomoko ya ardhi. Kimbunga Freddy kina upepo mkali unapenda kwa kasi ya mpaka kilomita 120 kwa saa, ambapo angalizo limetolewa kutokwenda maeneo ya baharini...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Uganda yasitisha shughuli za Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu nchini humo

    Serikali yasitisha shughuli za Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu (OHCHR) nchini Uganda OHCHR, idara ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, imepewa mamlaka ya kukuza na kulinda furaha na utambuzi kamili kwa watu wote, na haki zote zilizowekwa katika Mkataba wa Umoja wa...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa mashtaka ya binafsi ya Jacob Zuma dhidi ya Rais Ramaphosa

    Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mashtaka binafsi dhidi ya Rais Cyril Ramaphosa yaliyoanzishwa na Rais wa zamani Jacob Zuma. Ramaphosa alikata Rufaa Mahakamani kujaribu kusitisha juhudi hizo. Zuma anamshutumu Rais kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya mwendesha mashtaka wa Serikali na...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Samsung yasitisha utengenezaji wa A7x Series zikiwemo A73, A74, A75 na kuendelea

    Kwa kawaida, toleo la simu za Galaxy A ambazo zinauza sana ni A5x. Lakini ripoti mpya zinaonyesha Galaxy A series zitaacha kuwa na toleo la A7x hivyo Galaxy A73 ndio simu ya mwisho kuwa na A7x. Galaxy A74 ambayo ilitegemewa kutoka mwakani haitakwepo hivyo toleo la A Series litabaki na A54...
Back
Top Bottom