kupeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watu kupeleka fedha kwenye kununua Bonds, Hisa, UTT, hatifungani, fixed deposits, je ni kitu kizuri au kibaya?

    Kwa sasa habari ya mjini ni kununua hisa, bonds, mifuko ya uwekezaji n.k, je ni kitu kizuri au ni kibaya? Ni kitu cha kudumu au ni upepo tu? Je hao watu wanatengeneza hela kweli au ni mamotivesheni spika wanawajaza upepo. Binafsi naamini wale waliokuwa na pesa nyingi enzi hizo wakanunua hisa...
  2. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kupeleka 1.2 Trilion kwa ajili ya kuibomoa na kuijenga Muhimbili ni kumuhujumu Rais Samia

    Nafasi ya kumshauri Rais, ni nafasi adhimu inayobeba dhima kubwa kwa Taifa. Wananchi wanayo matarajio kuwa wenzao waliopata fursa ya kuwa washauri wa Rais wao, wanafanya hivyo kwa weledi, uadilifu na uzalendo wakitanguliza maslahi ya Taifa Mbele. Siamini hata kidogo kwamba wizara ya afya ya...
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Faida na Mbinu za Kupeleka Kampuni/ Biashara katika SOKO la HISA

    Habari za wakati; Habari za wakati huu.Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Ujenzi wa Taifa na Uchumi binafsi. Leo nataka nilete mada hii kwa ufupi ili nichokozi mjadala uanohusu soko La Hisa.Kabla ya kuanza kwa mjadla niweke wazi kwamba mimi sio mtaalamu wa fedha,wala biashara,wala...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Hayati Rais Magufuli alivyookoa mamilioni ya kupeleka ndege nje kwa ajili ya kuchorwa

    Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kupeleka taarifa zenu zishapelekwa ila msizani mnawapata kwenye mitandao yenu kama mlivomfanyia lissu.

    Shida TISS inawachukulia mataifa mengine kama vilaza walivyo wao.Ni tamia neno kilaza kama heshima kubwa kwao. Mlichokuwa mnafanya kutrace simu za watu ambao mnaona watavujisha taarifa zenu na uchafu wenu kumbukeni internet tu inawapa shida. Haya mtaweza kutrace hivi vifaa hata Kishada cha...
  6. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Kama waumini kupeleka malalamiko yao Vatican ni ulofa, njaa na upumbavu, kwanini Kanisa Katoliki linahangaika kujisafisha?

    Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku chache yule jamaa aanze kuwaambia kuwa mnaharibu pesa kupeleka watoto wenu english mediums

    "mimi watoto wangu wote wanasoma asante mkapa., hizi EMs ni utapeli."
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vikubwa sasa viwe mfano wa UDSM kupeleka mkoa wa kagera

    Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine. Hongera UDSM kufanya campus yenu kuwa mkoa wa kagera ili kuvutia wanaotoka mikoa ya kanda zaiwa na nchi jirani kusoma. Kuweka campus kubwa kuna saidia...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Masheikh wote ni kama wanaona Maandamano ni dhidi ya Uislamu na si dhidi ya utawala mbovu

    https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg== https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ== ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC: Hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya wao kupeleka malalamiko pindi haki zao za msingi zinapokiukwa

    Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 Wamesema kuwa hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mahakama iruhusu WhatsApp na SmS kutumika ktk kutoa wito wa mahakama

    Ni wakati sasa mahakama za Tanzania kufanya mabadiliko ktk sheria zake ili kuwezesha hati za wito kupelekwa na kupokelewa kwa whatssapp na sms kama njia ya haraka na sahihi na yenye kupunguza gharama kwa mdai na mdaiwa kama ilivyo kwa e.mail. Mahakama haiwezi kujinadi kuwa imeingia kwenye...
  13. IzukeneJr

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa biashara ya kupeleka Mchele Kenya na Uganda upoje?

    Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani. Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania wazazi mnaopeleka watoto wadogo boarding, kuwaamsha saa kumi, kutowapumzisha likizo, halafu bado wana uwezo wa kawaida, mna hali gani ?

    kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni. Na hapo...
  15. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kupeleka watoto kusoma nje ya nchi

    Chondechonde wazazi wenzangu msifuate mkumbo wa kupeleka watoto kusoma nje kama hauna kipato cha uhakika. Huko mnakopeleka watoto wenu kwa fedha zenu za kibubu yanawapata haya 1. Wanaolewa bila kupenda 2. Wanapakuliwa mitaro kwa wakiume mwisho ni ushoga 3. Wanavutishwa madawa ikiwemo bangi 4...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi imepuuza tangazo la Trump la kupeleka manowari karibu na Urusi

    Je, hii inaweza kuwa mara ya kwanza katika historia kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii kusababisha ongezeko la matumizi ya nyuklia? Rais Donald Trump, aliyekerwa na kauli za Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev, anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia kusogea karibu na Urusi...
  17. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Marekani Kupeleka Nyambizi Mbili Kukabiliana na Urusi

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Unajenga bandari ya Nyamirembe kwa bil 4 ili itumike kupeleka mizigo Drc huku unajenga Sgr mpaka Kigoma

    Nimeshangaa sana mtia nia mmoja huko Chato anajinasibu juu ya hii plan. Eti mizigo ya kwenda Burundi, Drc na Afrika ya kati ipitie Chato kwenye bandari ya Nyamirembe kupitia Mwanza kwa njia ya treni. Sasa huyu mtia nia mbona hajitambui? Nini maana ya kujenga Sgr mpaka Kigoma? Hizi ni siasa gani?
  19. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Atta 'Ziyatu Marratan: Kupeleka rambirambi kuwe mara moja tu

    Ni desturi mbaya kukusanyika mahali pa matanga na kukaa hapo hapo siku nyingi kuwatia gharama waliofiwa. Mtu aliepatwa na msiba lazima apewe mkono wa tanzia maana atafarijika lakini kuiendeleza muda mrefu kutamwongezea huzuni na mzigo.
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

    Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo. Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa. Hakuwaacha hapo tu, kawaambia...
Back
Top Bottom