Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,854
- 12,090
Hitaji la katiba mpya linazidi kujitokeza katika hukumu hii kuwa amri ya rais haiwezi kuhojiwa mahakamani
Hapa mahakama imejitahidi kidogo. Au pengine imepigiwa simu na wenyewe kuwa tusaidieni tupate way out kwenye ishu ya ngorongoro
Hamna mhimili hapo.
Ulishajidogosha wenyewe...hatuna mahakama kabisa wala bunge
Kuiita jumuia unaionea, hata junuia huwa inaeleweka lkn hizi mahakama ni mchwa tuHamna mhimili hapo.
Hiyo ni jumuia kama zilivyo jumuia nyingine za CCM
Serikali sikivu itekeleze hukumu hii yenye utata kuhusu ukuu na umungu-mtu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika katiba iliyopo.
......
Based on the authorities herein above, the remedy is to return the matter to the authority, (the Minister) so that can comply with the law by conducting the consultation.
Now that the land has already been upgraded by a person higher than the Minister, and the order of the Minister has been impliedly repealed by the order of the President, and the order of the President is not the subject of these proceedings at the moment, then I find the order for certiorari against non-existing Government Notice No. 421 of 2022 to be just an academic exercise for we cannot return it to the Minister to follow the procedure while the land has already been declared the Game Reserve.
As it is common knowledge that the Minister cannot invalidate the decisions of the President. If still interested, the applicants may challenge the existing order which is Pololeti Game Reserve, GN. 604 of 2022which repealed the Wildlife Conservation (Pololeti Game Controlled Area) (Declaration) Order GN. No. 604 of 2022.
It is accordingly ordered.
Signed Judge J.C Tiganga
DATED and delivered at ARUSHA this 19th day of Sept 2023.
Pages 77 of the judgement
Ndalamia Partareto Taiwap & 4 Others vs. The Minister of Natural Resources and Tourism & Another (Misc. Civil Cause) [2023] TZHC 21407 (19 September 2023)
Source:
Mh.Jaji J.C Tiganga amesimamia tafsiri ya SHERIA HIYO.....
Mahakama zetu zinafanya kazi
#Siempre Dola La Tanzania
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app