vyuo

  1. Ame saleh

    Upatikanaji mbovu wa taarifa kwa wanafunzi wanapokua vyuo vikuu

    Hoja: Upatikanaji Mbovu wa Taarifa na Ufanisi wa Mifumo ya Uwakilishi:Wanafunzi wanapata changamoto katika kupata taarifa muhimu vyuoni kutokana na mfumo dhaifu wa mawasiliano. Mifumo ya wanafunzi wanaowakilisha (CRs) inaweza kusaidia, lakini matokeo yake hayana uhakika kwa sababu ya muda...
  2. music mimi

    Vyuo Ulaya au America vinavyotoa certificate kwa ada nafuu

    Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc. Nataka nipambane nikasome majuu.
  3. Artificial Horizon

    Kwa ndugu zangu wa PCB mtakaokosa nafasi vyuo vya afya jaribuni kozi nyingine

    Salaam, Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa. Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu. Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
  4. Colly 7

    SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita ibadilishwe kuwa Elimu ya Vyuo vya kutoa ujuzi

    Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu ni mzuri), na kurudi kwenda kusomea Stashahada, sawa na wale walimaliza kidato cha nne (kama ufaulu...
  5. R

    Kuomba vyuo NACTE

    jamani nimepotea njia. Najaribu kuomba vyuo vya afya NACTE. Sioni vyuo vya afya vya serikali, say Lugalo, Kibaha etc. Kuna nini? Utaratibu kwa sasa ukoje?
  6. Surveyor_1

    Ni vipi vyuo bora kwa diploma ya pharmacy Dar es salaam

    Wakuu habari za jioni. Miezi kama mitano iliyopita nilikuja kuomba ushauri wa kozi ya kusoma nikapata michango mingi ya wana JF niwashukuru sana kwa hilo. Kiujumla nimedhamiria kusoma diploma ya pharmacy na nilikuwa nataka kusoma MUHIMBILI. Leo nimeingia website ya NACTE kufanya maombi lakini...
  7. Muddy105

    Mkopo kwa vyuo vya kati

    Kulinga na bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 vyuo vya kati watapatiwa mikopo. Je, unawezaje kuapply au kupata mkopo kwa vyuo vyakati?
  8. T

    Kwa ufaulu huu kidato 6, 2023. Bila upanuzi vyuo vikuu ni Div one tu wataingia vyuo vikuu

    Matokeo ya kidato cha sita 2023. Karibu shule zote daraja lenye idadi kubwa ya waliofanya vizuri ni daraja la kwanza ( Division one). Kwa matiki hiyo mambo yafuatayo yanaweza kujitokeza; 1. Kama vyuo vikuu vitachukua wanafunzi kulingana na uwezo wake kama miaka ya nyuma ni dhahili kuwa...
  9. T

    SoC03 Mfumo tiba ukosefu wa ajira nchini

    Ajira ni kazi au shughuli ambayo mtu anafanya kila siku na kujipatia kipato kwa ajili ya kujikimu na kufanya maendeleo binafsi na nchi kwa ujumla. Mazingira wezeshi ya upatikanaji wa elimu (elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari), elimu ya kati vyuo vya kati na elimu ya juu (serikali...
  10. ChoiceVariable

    Africa Sub Sahara Best University Ranking; Tanzania yaingiza Muhimbili na Ardhi

    Kwa Mujibu wa Jarida la Higher Education University Ranking,Tanzania imeingiza Vyuo Vikuu 2 kwenye List ya Top 10 Best Universities.. Vyuo hivyo ni Muhimbili University of Allied Sciences nafasi ya 3 na Ardhi University nafasi ya 10. UDSM imeshika nafasi ya 21 kati ya vyuo 25 huku Udom...
  11. Lidafo

    SoC03 Hizi ndizo fursa zilizopo vyuo vikuu, enyi wanafunzi wa vyuo vikuu tumieni fursa hizi kutengeneza ajira zenu baada ya chuo

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili serikali imekuwa ikipendekeza njia ya kujiajiri na sio kusubiri kuajiriwa swali la msingi hapa ni...
  12. carnage21

    Ushauri: Uombaji wa kozi vyuo vikuu Tanzania 2023/2024

    Habari wapendwa, Naomba ushauri nina kijana wangu alimaliza A level mwaka jana ila ilishindikana kwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali.Alipata division 1.6 PCB na alipata B flat. Naomba ushauri kijana akasomee kozi gan yenye potential kwa sasa pale muhimbili?
  13. A

    Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
  14. Replica

    Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  15. GENTAMYCINE

    Malumbano ya Hoja ITV: Kama wanaochangia ndiyo wanavyuo wetu acheni tu DP World wainunue hata Tanzania yote!

    95% ya wasomi wa sasa hivi wa hasa kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka jana 2022 kichwani hamna kitu, hawajiamini na ujengaji wao wa hoja si tu ni mbovu bali ni wa kimasikini mno kifikra. Kwa huu uchangiaji wa hawa wasomi (wana vyuo wetu) na wengi wakitokea UDSM ninaouona sasa (mubashara) ITV daima...
  16. Nyendo

    Bajeti kuu, 2023-2024: Mapendekezo ya kufutwa kwa ada kwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaopangiwa vyuo vya kati

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchema amesema bajeti inapendekeza kuondolewa kwa ada kwa wanafunzi wanaopangiwa vyuo vya kati na Serikali wakimaliza kidato cha nne, vyuo hivyo ni, DIT, MUST na AITC. Waziri wa fedha amesema serikali imefikia uamuzi huo ili kuzalisha wataalamu wengi wa fani...
  17. Annie X6

    Mjadala wa kwamba mtu asome five na six au aende vyuo vya kati ni wa kipuuzi

    Moja kwa Moja kwenye mada. Siasa za nchi hii zimefikia pabaya sana. Zimegeuka kuwa za kisanii. Nakumbuka nikiwa form four lever enz hizo nilitaka niende chuo ili nipate ajira haraka. Bahati njema nikafaulu kwenda five. Nikaenda...tena msukumo ulitokana na kusomeshwa bureee uitokana na kuwa na...
  18. Boss la DP World

    Maprofesa na Wahadhiri wa Vyuo vya Tanzania ni bure kabisa

    Nilitegemea hawa wasomi wa ngazi za juu kujitokeza hadharani kutoa maoni yao kuhusu hiki kinachoendelea nchini, badala yake wanagugumia chini chini tu. Sasa ikiwa hawa watu wenye jukumu la kubrush akili za vijana wetu wanakuwa waoga kiasi hiki, vipi hawa wasomi wanaoingia mtaani kama matokeo ya...
  19. O

    Orodha ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo

    Uchaguzi wa Kidato cha Tano 2023/2024: Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo – Kila mwaka, wanafunzi kote nchini husubiri kwa hamu kutangazwa kwa waliochaguliwa kidato cha tano. Kwa mwaka wa masomo wa 2023-2024, hakuna tofauti nchini Tanzania. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
Back
Top Bottom