uungwana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Bullying anayofanyiwa mchazaji Ibrahim Doumbia wa Makolo sio uungwana

    Wachezaji sio marobiti, ni binadamu kama sisi..Ibrahim Doumbia Hakujileta yeye mwenyewe hapo makolo fc bali ni viongozi wenu ndio waliomfuata na kumsajili..Na kwa kua mchezaji ajira yake ni kucheza hakua na budi isipokua kutia Saini pale mahitaji yake yalipotimilizwa. Sasa yeye kosa lake ni...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Haifai: Mtu akikueleza tatizo usikimbilie kumshauri.

    Wengine wanataka tu mtu wa kumsikiliza ajihisi nafuu. We kukimbilia kumshauri ni kama unadogosha tatizo lake. Unakuwa kama unamuona hana akili anahangaika na katatizo kadogo ambako wewe unaweza kusolve ndani ya dk chache tu. Mtu akikueleza tatizo au changamoto anayopitia kwanza acknowledge...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa DSM badilikeni, si uungwana kubaki kwenye bajaji iliyoisha mafuta na kumuacha dereva aisukume mpaka sheli

    Bajaji imekata wese. Dereva ameshuka anaipiga push kama vile anafanya mazoezi ya gym, lakini abiria wote wamebana ndani wanamwangalia tu. Najiuliza, hivi abiria wanajihesabu kama sehemu ya mizigo au sehemu ya suluhisho? Maana dereva anasukuma uzito wa bajaji pamoja na kilo za watu wazima...
  4. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbeto: Rais Samia amethibitisha uzalendo na uungwana alionao

    Chama Cha Mapinduzi kimesema hotuba iliotolewa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan alipozungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam ,ameonyesha kina cha uelewa alionao, ukomavu na uungwana wake kisiasa. Pia CCM kimeitaja hotuba hiyo imeshiba uzalendo, historia na yenye kuhimiza haja na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaohitaji kujifunza kwa vitendo katika taasisi za serikali ni sahihi na uungwana?

    Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani. Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CCM kuwaweka waandishi wa habari ukumbini kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku sio uungwana, waombe radhi

    Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana. Ilitarajiwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla angetoa taarifa ya watia nia ya ubunge na...
  7. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania Waarabu wameleta maendeleo, uungwana na ustaarabu Zanzibar

    Wapenzi wanajamii Katika mwaka 1806 wenyeji wa Zanzibar, ambao walikuwa na asili ya Kiomani na Kishirazi walikwenda huko Sultanate ya Kiomani na kumuomba baba wa wafalme waadhimu, wakarimu, waungwana, wenye kuona mbele, Sayyid Said Al Said, (Mungu ailaze roho yake palaha pema na kumpa pepo ya...
  8. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Sio uungwana kumchezesha mchezaji aliyefiwa na mzazi wake

    Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga, Chadrack Boka (25) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefiwa na baba yake mzazi, kifo kilichotokea Januari 11, 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo. Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa pole kwa nyota huyo wa zamani wa FC Saint loi Lupopo ya DR Congo huku...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanachowafanyia HESLB wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu siyoo uungwana kabisa

    Kila baada ya siku 60 mnufaika wa mkopo wa bodi ya mikopo HESLB inabidi apewe pesa ya kujikimu na chakula shilingi 10,000 kwa siku lakini mpaka leo naandika uzi huu hakuna mwanafunzi hata mmoja Tanzania aliyeingiziwa pesa ya Boom ilihali malipo vyuoni yaani Disbursement imewanyika takribani wiki...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natumia uungwana, huna tatizo la nguvu za kiume, ni mwoga.

    Kama ilivyo kawaida. Kwema ndugu zangu wa JF? Aisee, wanaume wenzangu wanalalamika sana humu ndani, kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume, ikiwemo kushindwa kusimamisha uume kwa uimara, au kushindwa kusimamisha kabisa, wawapo faragha. Mimi siyo daktari, ila kuliko kufaidika mwenyewe kimya...
  11. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Wenye mazoea ya kutopokea simu mnakera, si uungwana, mbadilike!

    Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea. Hata mimi huwa sipokei kila wakati, inategemea na majukumu niliyonayo. Ila inapokwa muda wa kazi huwa nayapa kipaumbele...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Uungwana ni vitendo - serikali ya Italy yawalipia bill ya chakula wananchi wake huko Albania

    Katika jambo ambalo si la kawaida serikali ya Italy imelazimika kuwalipia bill ya chakula wananchi wake wanne waliokula chakula katika hoteli moja huko Albania na kuondoka bila kulipa. Hii ilitokana na Waziri Mkuu wa Albania kumlalamikia mwenzake wa Italy kuwa wananchi wake walikula bila kulipa...
  13. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kuna umri ukifika kukaa kwa ndugu mwenye familia si uungwana hata kama ni kaka au dada, mpishe tafuta shughuli uende kwako!

    Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe, Haya ni mambo...
  14. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utamaduni wa Kujiuzulu ni Uungwana na Njia Bora ya Uwajibikaji

    Utangulizi Katika mambo magumu katika nchi nyingi zinazoendelea hasa za Bara la Afrika, ni kujiuzulu au kwa maneno mengine, kuachia ngazi kwa viongozi katika nafasi wanazozishikilia pale ambapo mambo yanaharibika katika taasisi wanazoziongoza. Ninapozungumzia juu ya kujiuzuli au kuachia ngazi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

    Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm. Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge? 1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

    Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends. Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, uhafidhina ni uungwana?

    Wanajukwaa hongereni kwa kupamhania kombe kila iitwapo leo Lengo la uzi huu nikukemea mambo ysiyo yakiungwana katika jamii yetu. WEKENI MAMBO YASIYO YA KIUNGWANA HAPA TUYAKEMEE Kumekuwepo na watu ambao wanajiona wao ndio wamejipa hatimiliki ya hii nchi ambao hawataki mabadiliko almaarufu...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuhusu kumpokea Dkt. Slaa: Walioondoka kwa kukidhalilisha chama watafute uungwana wakati wa kurudi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametoa kauli kuhusu taarifa za aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Willibrod Peter Slaa kudaiwa kuwa mbioni kurejea kwenye chama hicho: “Chama chetu ni cha kidigitali yeyote anaweza kujiunga au kutoka lakini chama cha siasa ni chombo cha watu na sio...
  20. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

    Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini. Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake. Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Back
Top Bottom