Vyuo Ulaya au America vinavyotoa certificate kwa ada nafuu

music mimi

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
441
758
Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc.

Nataka nipambane nikasome majuu.
 
Poland ni nchi yenye Vyuo vizuri na nafuu kiasi. Kaa chini upekue vyuo vilivyopo nchini humo na uanze kudurusi kimojakimoja.

Haya nchi ya kwanza hiyo tumekutajia... hangaika kupekua zingine.
 
Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc.

Nataka nipambane nikasome majuu.
Nakushauri uapply ujerumani vyuo vingi ada hadi laki nane ya kitanzania kwa mwaka. Ugumu unakuja kwenye kupata Visa kama unataka kuanza chuo moja kwa moja inabidi uandae hela ya kujikimu ya mwaka mzima. Approach ambayo inaweza kuwa rahisi ni kusomea lugha then Uka apply Au-pair kwa mwaka mmoja then u-apply chuo ukiwa huko.
 
Back
Top Bottom