Kwa ndugu zangu wa PCB mtakaokosa nafasi vyuo vya afya jaribuni kozi nyingine

Artificial Horizon

JF-Expert Member
Jul 31, 2019
231
562
Salaam,

Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa.

Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu.
Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa una division one ya mwishoni au two ya mwanzo(hasa hawa ndio nazungumzia) na ada ya kwenda private huna.

Kuna option ya kwenda kozi nyingine nzuri(japo hakuna assurance ya job lkn at least)
Nitalist chache na vyuo wengne wataongezea.

1.Bachelor of Architecture( Ardhi University na UDSM).

2. Bachelor of science in Environmental Engineering(Ardhi University na udom) udom iwe second option.

3. Bachelor of science in quantity survey and construction economics(Ardhi University, udsm pia ipo lkn PCB haruhusiwi).

4. Bachelor of science in land management and valuation(Ardhi University).

5. Bachelor of science in urban and regional planning(Ardhi University).

6. Bachelor of science in geographical information system and remote sensing(ardhi University) na udom inaitwa bachelor of science in geoinformatics.

7. Bachelor of science in water resources and Irrigation engineering(water institute) na sua ipo lkn PCB haruhusiwi.

N. K.

Shukrani.
 
Back
Top Bottom