pro

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania 9 September 2026: Apple wazindua simu tatu, iPhone Duo, iPhone 18 Pro, iPhone 18 Pro Max na accessories nyingine!

    Leo Tarehe 9 September, CEO mpya wa Apple John Ternus (amemreplace Tim Cook alieachia madaraka mwanzoni mwa huu mwezi), amezindua products mbalimbali za Apple kwenye event yao waliyoiita "Surprise and Shine"! Event hiyo iliofanyika kwenye Steve Job's Theater, Apple Park California, USA, usikute...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Mambo tisa yatakushangaza zaidi

    Apple yatambulisha iPhone 18 Pro. Apple imesema iPhone 18 Pro na Pro Max mpya zina mfumo bora zaidi wa kamera, maisha marefu zaidi ya betri na utendaji wenye nguvu zaidi kuwahi kutolewa kwenye iPhone. Apple inasemekana imeandaa maboresho makubwa kwenye iPhone 18 Pro, huku baadhi ya mabadiliko...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania In Tz activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022

    In Tanzania, activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022. Nunc autem, it has degenerated into sheer chaos et tumultus. Any homo vulgaris who acquires mere data bundle or WiFi gratuitum and...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

    Behold Emmanuel Nchimbi, the Vice President who was stripped of his party membership and ousted from his exalted office on account of 1. Advocating for the populus, citizens subjected to extrajudicial abductions by the constabulary in Tanzania 2. Championing a de jure metamorphosis of the...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa MacBook, niende na ipi kati ya MacBook Neo (Brand New), Air M2 (8GB/256GB) au Pro (2019, 16GB/512GB)!

    Matumizi makuu ni video editing, zote Bei kwenye 1.8 Mil hadi 2.3 Mil.
  6. DEALFORREAL

    JamiiForums Tanzania Panasonic Lumix S5II 24.2MP Mirrorless Digital Camera Bla+Panasonic Lumix S Pro 50mm f/1.4

    Nauza digital camera aina ya Panasonic Lumix S5II 24.2MP Mirrorless Digital Camera Black pamoja na Panasonic lumix s pro 50mm f/1.4 lens. Kama unavyoonekana katita picha imetumika kidogo sana ipo kama mpya kabisa bei ni 6.5 million TZS The Panasonic Lumix S5II (24.2MP Mirrorless Camera) paired...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

    Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Pro. Shemdoe: Michezo kwa Watumishi wa Halmashauri itumike kuimarisha Afya, Mshikamano, tija kiutendaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Halmashauri zote nchini kutumia michezo kama nyenzo ya kuimarisha afya, ustawi, mshikamano na tija kwa watumishi, ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi. Prof...
  9. Poker

    JamiiForums Tanzania iPhone 18 Pro Max na Ultra Yaja! Kaa tayari kwa Sept 9

    Kampuni ya apple imeamua kuja na iphone 18 promax. iPhonee 18 Pro Maxx ndiyo simu ya kisasa zaidi ya Apple, naam ya kisasa haswa inayotarajiwa kutangazwa rasmi kwenye Apple Event mnamo Tarehe 8 au 9 Septemba, 2026, na kuanza kuuzwa madukani katikati au mwishoni mwa mwezi huo wa Septemba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Urgently; Infinix hot 60 pro inauzwa 220k

    Wakuu habari Mkuu habari!! Nina changamoto ya kifedha kodi yangu ya nyumba imeisha mwenye nyumba wangu anatishia kunifungia nyumba Usiku huu, nina simu yangu naiuza nilinunua mwezi wa pili mwaka huu infinix hot 60 pro. Bei kama 220k. Location Banana mawasiliano 0750607844
  11. Fene

    JamiiForums Tanzania Napata wapi cover la redmi note 13 pro

    Vipi wakuu Natafuta cover la redmi note 13 pro Nimetafuta k/koo kwa jitihada zangu nimekosa, napata wapi? Nani mwenye nalo
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania DJI wameinzdua OSMO Pocket 4 Pro yenye Camera Mbili!

    Baada ya kuzindua DJI OSMO Pocket 4 mwezi April, DJI pia walidokeza kidogo Pocket 4 Pro, ambayo ilionekana inakuja na lens mbili. Finnaly wamefanya officially launch. Hii pocket gimbal camera imekuja na 1-inch sensor, f/2.0 aperture and 20mm focal length. Sensor ya pili ni telephoto camera...
  13. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania C-C Digital Pro ya anzishwa na Civilian-Coin kuokoa Sanaa Kimataifa

    Civilian-Coin introduces new production branch, "C-C Digital Pro", is a comprehensive digital media agency. They specialize in high-quality motion graphics for video, still picture production, and serve as a fully equipped recording studio for music and films. Core Services: C-C Digital Pro...
  14. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Quality Assurance Pro, tukutane kwenye huu uzi

    I hope this thread finds you well. Mimi ni mzima wa afya kabisa sijui ninyi huko Leo nimekutana na kijana mwenzangu anauza vitu kama mafuta, sabuni, perfumes etc. makolo kolo mengi mengi wazungu wanaita cosmetics products sijui ni hivyo au nachanganya mafile. Tumekutana tumesalimiana vizuri...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nissan wazindua Navara Pro Hybrid, itapambana na BYD Shark 6 Sokoni!

    Nissan kazindua Plugin Hybrid ya Pickup yake pendwa Navara, inayoenda kwa Navara Pro PHEV. Inakuja na engine ya 1.5L Turbo Petrol, 4 gears Dedicated Hybrid Transmission, AWD, na inatoa total ya 400 hp. Inakuja na motor moja na 33 kWh battery, linauwezo wa kutembea kilometa 130 kwa umeme tu na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Nimetengeneza app ya Kurani ya Kiswahili inaitwa Dini Pro Unaweza kufanya yafuatayo kwenye app yangu Kurani Tukufu (Soma na Usikilize): Soma Surah zote kwa urahisi na usikilize sauti popote ulipo. Mwelekeo Sahihi wa Qibla: Pata mwelekeo wa Qibla kwa haraka na usahihi mkubwa haijalishi uko...
  17. Digital base

    JamiiForums Tanzania Marketing Officers Job Opportunity ( 3 opportunities) for Max Pro Cleaners and Fumigation Company

    We are seeking creative, driven and energetic Marketing Officers to become part of our growing marketing team for our Cleaning and Fumigation Company by acquiring new residential/commercial clients, managing digital campaigns, and creating brand awareness. Candidates should have previous...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Binafsi niwapongeze Pro Iran wanafanya kazi ngumu sana kutetea Iran ambayo hata intelligence inashindwa kulinda mkuu wa Intelligence

    Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania iPhone 17 Pro Max tusiichukulie poa likija swala la camera!

    Christina Koch akipiga selfie na Dunia kutoka space. Nasa wameconfirm iPhone 17 Pro Max imehusika.
  20. Digital base

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu 10 wa mauzo na masoko kwaajili ya usambazaji wa bidhaa za Usafi (Tiles Cleaner) katika kampuni ya Max Pro Limietd

    Max Pro Limited ni Kampuni inayojihusisha na utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Usafi kama vile Tiles Cleaner,Hand Wash Soap,Window Cleaner,Shower gel,Air Fresh,Car Shampoo,Hair Shampoo,Sofa Cleaner,Skin Care Products n.k.ambayo ipo Kigamboni Dar es Salaam. Max Pro Ltd...
Back
Top Bottom