mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya

    Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya. https://www.jamiiforums.com/threads/kama-kweli-unajua-kiingereza-tuambie-umepata-alama-ngapi-kwenye-maswali-haya-ya-kiingereza-marks-ulizopata-tuwekee-kwenye-comment.2474681/
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Natafuta Apartment DSM: Ghorofa, AC, Jiko <300K

    Nataka ni sake apartment kabisa, hiyo 200k sio shida tena kwangu. Labda ni waambie tu. Mazingira unayoishi yanaku shape in subtle ways ambazo wewe mwenyewe huwezi kujua Nataka ni sake apartment, Wajuvi ni ipi bei chee kwa DSM na iwe below 300k yaani iwe ghorofani, iwe na air condition, na...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Watahiniwa milion 1.16 kufanya mtihani kesho

    Baraza la mitihani la Tanzania-NECTA limetangaza kuanza kwa mtihani wa kumaliza elimu ya msinga utakaofanyika September 9 hadi 10, 2026 ambapo watahiniwa milioni 1 na 168 elfu 649 wamesajiliwa kufanya mtihani huo huku wavulana wakiwa ni laki 531 elfu 467 sawa na asilimia 45.48 na wasichana...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania NECTA: Watahiniwa 1,168,649 kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2026

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya watahiniwa 1,168,649 waliosajiliwa kutoka katika shule za msingi 20,019 nchini watashiriki katika Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka 2026. Mtihani huo wa kitaifa unatarajiwa kufanyika rasmi tarehe 9 na 10 Septemba...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Indegazette: Tume ya Lila Yakabiliwa na Mtihani wa Kubaini Waliowezesha Vurugu za Uchaguzi Tanzania

    Jarida la Indegazette.be, katika makala yake iliyochapishwa Agosti 13, 2026, limeangazia Tume mpya ya Uchunguzi ya Tanzania inayoongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, likisema jukumu kubwa la tume hiyo ni kwenda zaidi ya simulizi za kisiasa na kubaini kwa ushahidi waliochochea, kushiriki na...
  6. Think2

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashindwa mtihani wa uwazi wa fedha

    Tanzania imeshindwa kufaulu mtihani wa uwazi wa matumizi ya fedha wa marekani huku kenya ikifaulu mtihani huo Swali :Wewe unafikiria ni kwanini Tanzania imeshindwa mtihani huo ? Mwisho tunamsubiri mzee wa makanusho aka Msigwa ila Msigwa
  7. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtihani umetunga mwenyewe, ukaufanya, ukasahihisha mwenyewe umepata marks za juu, saivi unatafuta marafiki zako wachunguze kwanini?

    Kumbuka mtihani umetunga mwenyewe, ukaufanya mwenyewe, ukasahihisha mwenyewe umepata marks za juu, saivi unatafuta marafiki zako wachunguze kwanini umefaulu sanaa?😄😄hii dunia banaa! Soma Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganyike watanzania , pesa ya madini ni pesa ngumu na kuipata kwake ni mtihani

    Baada ya harusi ya huko sijui katoro ,watanzania wengi wamehama na akili zao na kuamini pesa inapatikana kirahisi kama mtu atajichanganya kuingia kwenye chain ya biashara ya madini . Ni kweli huko pesa inapatikana sawa na maeneo mengine tu , yaani huko pia kuna hitaji commitment, Imani na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mtumishi wa Umma, nilikopa 20m, nimejenga, kulipa imekuwa mtihani, sijui cha kufanya, nisaidieni

    Mwaka 2025 nilipitia changamoto kubwa sana maishani mwangu, hali iliyosababisha kupata msongo mkubwa wa mawazo. Kutokana na hali hiyo, nilifanya uamuzi wa kuchukua mkopo wa shilingi milioni 20 ili kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba, nikiwa na lengo la kupunguza gharama za maisha na kupata sehemu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya Wanafunzi wa CBE Mwanza Campus hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET

    Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu. Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madereva 165 wa Malori walalamikia kushindwa kufanya mtihani wa mwisho VETA - MPANDA

    Madereva 165 ambao walikuwa wanasoma kozi ya udereva katika Chuo cha VETA Mpanda wameiomba serikali kuingilia kati sakata la kutofanya mitihani yao ya mwisho hadi sasa licha ya muda wa kozi hiyo kuisha zaidi ya mwezi mmoja sasa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa SUA tunapata shida, hela za ada zilirudishwa HESLB na sasa tunashindwa kuingia kwenye mtihani

    Katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kuna wanafunzi ambao tulisaini makubaliano ya ada kulipwa kupitia HESLB, lakini fedha hizo zilirudishwa HESLB. Tulipowasiliana na HESLB, tuliambiwa ni hitilafu ya mfumo na kwamba suala hilo linashughulikiwa, hivyo tusiwe na wasiwasi. Hata hivyo...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Ultimatum ya siku 30 ndio mtihani mkubwa kwa Samia.

    Commonwealth imetoa maelekezo yanayohitaji utekelezaji sio majadiliano wala maridhiano kama ya Chadema, ni amri. Anatakiwa achague moja, 1. kumwachia Lissu au 2. kuendelea kumshikilia. Samia akiamua kumwachia ataonekana dhaifu, muoga kitu ambacho wapambe na chawa wake hata yeye hataki...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya msajili maabara (HLPC) kuchelewesha matokeo ya mtihani wa leseni

    Habari! Naomba kuwasilisha kero hii. Mimi pamoja na wataalamu wenzangu wa maabara tulifanya mtihani wa leseni tangu mwezi wa tatu (March) mwaka huu lakini hadi hivi sasa matokea hayajatoka hali inayopelekea kutokupata leseni kwa wakati na tunashindwa kufanya maombi ya kazi kwa kuambiwa kuwa...
  16. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Mfano wa Maswali ya Usaili Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II Record Management Assistant II

    Kama umeitwa katika usaili wa mchujo, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II au kwa kimombo, Record Management Assistant II utakuwa unajiuliza maswali yanatokaje hasa kama ni mara yako ya kwanza kufanya mitihani hii. Katika mitihani hii, chochote kinaweza kuulizwa hata kile ambacho hujasomea. Hata...
  17. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Mfano wa Maswali ya Usaili PCCB TAKUKURU Mtihani wa Mchujo

    Soma: Maswali ya Kujiandaa na Oral Interview TAKUKURU Vijana wengi wameitwa katika usaili wa mchujo TAKUKURU au PCCB. Usaili huu ni wa kuandika na unafanyika kwa njia ya kompyuta. Wengi walioitwa katika usaili, hawajui hasa ni maswali ya aina gani yanatoka. Ni jambo la hatari kwenda katika...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia , huu ni mtihani wako wa mwisho. Mtihani huu ndio utaamua wapinzani wakuheshimu au wakudharau.

    Tangu kuundwa vyama vingi 1992 hakuna kipindi wapinzani walikuwa na nidhamu kwa serikali na Rais kama kipindi cha Magufuli. Magufuli hakuwapa muda wa kupumua kabisa. Rais Samia ulipoingia ulitaka uonekane mwema kwa watu wote, ndio maana ukaanzisha 4R, ukawarudisha akina LISSU na wenzake waje...
  19. Mjina Mrefu

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta Kitabu Cha Padre Kamugisha Kiitwacho; Maisha ni Mtihani

    Wakuu kama kichwa ninavyojieleza. Kama unajua napoweza kukipata. Nijuze PM
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Written Interview za Utumishi matokeo yake ni unfair. Kwanini mfumo hautoi matokeo moja kwa moja unapo-submit mtihani?

    Written interview za online ni unfair kwa sababu mifumo ya mitihani ya online huwa inaleta matokeo moja kwa moja punde tu unapomaliza kujibu mtihani, kwanini mfumo wa Utumishi haujatengenezwa hivyo? Hiyo inatuaminisha kwamba Matokeo hayo sio ya haki ni batili, ya kupangwa. Tunaomba mfumo...
Back
Top Bottom