vyuo vya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo vya kati vya afya havina usimamizi wa kutosha kutoka kwa taasisi husika

    Vyuo vya kati vya afya havina usimamizi wa kutosha kutoka taasisi husika kama NACTVET na mabaraza ya taaluma ikiwemo TNMC, MCT na Pharmacy Council. Miongozo ya elimu inaelekeza kuwa wanafunzi wa ngazi ya diploma wanapaswa kufundishwa na wakufunzi wenye elimu ya kuanzia shahada (Bachelor...
  2. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu kumshauri mtumishi wa Serikali kuwa salary advance ni mbaya kwake

    Nimekua nikifuatilia kwa siku nyingi Baadhi wa watumishi wa Umma kuchukua Salary Advance Kwenye Taasisi mbalimbali za Pesa hasa Mabenki, Kiukweli Watumishi Huwaambii Kitu kuhusu salary Advance Hata kama mshahara umebaki wiki moja Yeye anachukua ili aje kukatwa Asilimia 5 ya Mshahara wake na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu Hitilafu za Mfumo wa CAS katika Maombi ya Kujiunga na Vyuo vya Afya

    Ndugu Katibu Mtendaji, Napenda kuwasilisha kero na malalamiko yangu pamoja na ya waombaji wengi wanaotumia mfumo wa Central Admission System (CAS) kwa ajili ya kuomba kujiunga na vyuo vya afya kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Kwa takribani wiki moja sasa, mfumo wa CAS umekuwa ukikumbwa na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Afya cha Paradigms hakiwaachi wanafunzi wahame au kujitoa kwenye mfumo wa NACTVET

    Chuo cha afya cha paradigms hakitaki kuwaacha wanafunzi wahame au kujitoa kwenye mfumo wa NACTVET hata kama hawadaiwi msajili wao anaitwa SHABANI MRINGO ni mtoto wa mkurugenzi anajiona ni mungu mtu namba zake hizo apo 0653083846 NACTVET wasaidieni wanafunzi wakimasikini
  5. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wamiliki vyuo vya afya vya City College acheni dhulma na unyonyaji

    Awali, vyuo vya afya na tiba shirikishi vya City Colleges vilivo sajiliwa na NACTEVET kutoa kozi za afya kwa ngazi za astashahada na stashada ikiwemo Kigamboni campus, Temeke & Mikwambi csmpus, Mwanza na Arusha Campus, wamiliki wake ni makada wa ccm akiwemo Abubakari Ali(Boka aliyejitokeza...
  6. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa wanaotarajia kujiunga na vyuo vya afya

    Kwa wanafunzi wanaotarajia kwenda vyuo vya AFYA , Kuna set ya vifaa vya kujifunzia inauzwa bei nafuu , Mikocheni DSM Tuwasiliane
  7. Travelogue_tz

    JamiiForums Tanzania Bunge latatua mgogoro kati ya Wizara ya Afya na Wamiliki wa Vyuo vya Afya Nchini kuhusu Vigezo vya Udahili

    Tarehe 18 Oktoba 2024 ilikuwa siku ya kihistoria baada ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia kwa Waziri wake Prof Adolph F. Mkenda kuwasilisha taarifa kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kwa namna Serikali ilivyoshughulikia malalamiko ya wamiliki wa Vyuo vya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Gharama za ada kwa vyuo vya afya mwaka wa masomo 2024/2025 zipoje?

    Gharama za masomo kwa vyuo vya afya apa Tanzania zipoje kwa mwaka 2024/2025
  9. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Kozi ya Nursing CUHAS

    Je, unaweza kusoma nursing bugando ukipata mkopo asilimia mia moja, na ukamdu ukiwa hauna kipato chochote ukizingatia kwamba Bugando ni private? Naomba msaada wakuu
  10. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vya afya ngazi ya Diploma vinavyopatikana mkoani Morogoro

    Naombeni kufahamishwa vyuo vya afya ngazi ya diploma (kwa mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne) vinavyopatikana mkoani Morogoro, ni muhimu sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi, dirisha la vyuo vya afya limefunguliwa? Na anaweza akapata huyu?

    Habari wana jf, nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne ,2023 na kupata div 1 ya 15. Kuhusu ufaulu masomo yote ya sayansi amepata B. Aliomba chuo kupitia utaratibu wa shule ule wa kuchagua selection alikosa, ( chuo cha afya kozi ya dental),sasa je nauliza akiomba kawaida kupitia nacte anaweza...
  12. dogman360

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  13. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
  14. Travelogue_tz

    JamiiForums Tanzania Serikali kuburuzwa mahakamani kuhusu wizara ya afya kubadili mitaala ya vyuo vya afya vya kati bila kufuata utaratibu

    Na Mwandishi Wetu Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza Serikali Mahakamani kutokana na uamuzi ya wizara ya afya kupitia kurugenzi yake ya mafunzo na...
  15. Dra Maxie

    JamiiForums Tanzania Kwanini Supplemetary na incomplete hazifanyiki kwa pamoja kwenye Vyuo vya Afya hasa ngazi ya Diploma?

    Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja? Yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa halafu baadhi akafanya sasa kwa bahati mbaya aka sup moja wapo lakini siku ya second sit anaambiwa afanye tu incomplete halafu Sup mpaka baadae why? Sababu ni kama kumpotezea mtu muda. Mdogo...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua ama kuelewa kuhusu sponsorship za kusoma vyuo vya afya

    Samahani wakuu anaejua ama kuelewa kuhusu sponsorship za kusoma vyou vya afya atusaidie ambao hatuwezi kujiendeleza. asanteni
  17. Artificial Horizon

    JamiiForums Tanzania Kwa ndugu zangu wa PCB mtakaokosa nafasi vyuo vya afya jaribuni kozi nyingine

    Salaam, Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa. Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu. Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
  18. Vivax

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchaguzi vyuo vya afya

    Kuna tetesi kuwa majina ya form four wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya afya. Majina hayo niangalie kwenye link ipi? Saidia maskini
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hili la Law School ni la kupongezwa; una haja ya kuli-apply upande wa Vyuo vya Afya, tuna products za kiwango cha chini sana siku hizi

    Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo. Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani, Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe. Sheria ina Uamuzi mkubwa...
  20. official__pius

    JamiiForums Tanzania Je, naruhusiwa kuhama chuo?

    Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?
Back
Top Bottom