vyuo

  1. D

    Je, namba ya NIDA ni lazima katika mchakato wa kuapply Vyuo na Mikopo?

    Msaada members, Nina mdogo wangu amechaguliwa jeshini na kashaondoka, Sasa katika pitapita zangu nimeona Kuna mtu anasema katika application za chuo na mikopo ni lazima uwe na no. Ya NIDA. Je ni kweli kwa wanaoelewa system vizuri maana hapa mdogo wangu Hana nida Wala hajaomba hatujui chochote
  2. Baltazary Twati

    SoC03 Ajiralink.com - kuunganisha vijana na fursa za ajira na ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo

    Kichwa cha habari: Ajiralink.com - Kuunganisha Vijana na Fursa za Ajira na Ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo. Kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa, naomba kutoa andiko kuhusu wazo la Ajiralink.com, jukwaa litakalolenga kuondoa changamoto ya upatikanaji wa ajira, nafasi za...
  3. Librarian 105

    SoC03 Bajeti za posho na mashangingi, kodi za vocha zitumike kuwezesha wahitimu wa vyuo na nguvu kazi wasio na ajira

    Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani. Serikali...
  4. sky soldier

    Kama unataka Kudate na wanafunzi wa vyuo vikuu, wahi kontena jipya, makontena yaliyotoka bandarini kuingia kariakoo heri utafute binti mtaani?

    Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya. Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
  5. Wadiz

    Kudate na wanafunzi wa vyuo vikuu ni sawa na kujivika baruti kwenye moyo wako

    Daah salamu zenu wadau. Kuna hili balaa la kudate na mademu wq vyuo vikuu ni kama kujipaka upupu wa hiari na kujilipua nq baruti ya moyo. Hawa viumbe kwanza nadhani hata hamu au hisia hawana inaonekana hizi meseji za Tiktok zimewaharibu. Videmu vina wanaume kwa uchache saana watatu ila kwao...
  6. S

    Tovuti za Vyuo Vikuu vya Umma Tanzania ni aibu wakiongozwa na UDOM na Nelson Mandela

    Ndugu zangu watanzania wenzangu katembeleeni tovuti za vyuo vikuu vyetu vya umma anzia na UDOM, nenda Nelson Mandela uje uniambie kama utapata taarifa unazohitaji. Ndio maana watanzania wa kawaida wanawadharau wasomi wetu. Unafungua tovuti ya UDOM ukitegemea upate programme lists, programme...
  7. M

    Wazazi na walezi kuna vyuo vya ufundi kwa watu wenye ulemavu, tuvitumie

    Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze kwa kutoa ufafanuzi kidogo juu ya VYUO hivi vya ufundi Kwa watu wenye ULEMAVU. Hivi ni VYUO vilivyoanzishwa maalum kwaajili ya kuwasaidia walemavu kupata ujuzi na stadi za maisha Ili waweze kujitegemea na pia kujichanganya na jamii wanamo ishi. VYUO hivi...
  8. S

    TCU kumbukeni Waziri Mkuu aliwaambia acheni kunyanyasa na kuonea Vyuo Vikuu Binafsi

    Hii taasisi ya serikali inayosimamia vyuo vikuu nchini imekuwa na tabia ya kuonea, kunyanyasa vyuo vikuu binafsi. Kuna kipindi hasa miaka ya 2016 walifungia sana either chuo kabisa au baadhi kozi. Hii ilipekea taharuki kubwa sana nchini. Ilifungia matawi ya vyuo vikuu hasa kutokea nchi za Kenya...
  9. fungi06

    Yyuo vya udereva vilivyofungiwa Tanzania

    Napenda kutanguliza juhudi ya baadhi ya platforms zinazofanya vizuri kutufikishia wanajamii taarifa ambazo ni za muhimu maskioni kwetu... Nimekua nikifwatilia kwa siku chache sababu zinazo pelekea kuongezeka kwa ajali Tanzani, kumbe kunaanzia mbali sana. Moja kati ya vyanzo vinavyosababisha...
  10. Vivax

    Tetesi: Uchaguzi vyuo vya afya

    Kuna tetesi kuwa majina ya form four wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya afya. Majina hayo niangalie kwenye link ipi? Saidia maskini
  11. Z

    Vyuo Vikuu, hasa viongozi someni makala hii kwa nguvu zenu

    Tuangalie makala inayoiangalia University of Dar es Salaam lakini ni hali ktk vyuo vikuu vyote nchini. Source: https://thechanzo.com/2023/04/24/university-of-dar-es-salaam-is-stuck-its-time-to-save-it/ Nukuu 1: As the first University in Tanzania, UDSM played a crucial role in shaping the...
  12. B

    SoC03 Vyuo vya ufundi na VETA ndio mkombozi wa vijana Tanzania

    UTANGUZILI. Tanzania tumekuwa na mabadiliko mengi sana katika mfumo wetu wa elimu rasmi toka tumepata uhuru mpaka sasa. Tumekuwa katika kipindi ambacho vyuo vya ufundi vilipewa kipaumbele na kuonekana na thamani sana kwa vijana na sasa tuko katika kipindi ambacho vyuo vikuu vimekuwa bora na...
  13. F

    SoC03 Somo la uadilifu na Utawala Bora lianzishwe na liwe somo la lazima kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu. Taasisi za Dini, na Familia zihusike pia

    UTANGULIZI Uadilifu ni hali ya kuwa mwaminifu na kuzingatia kanuni zote za kimaadili katika jamii inayokuzunguka. Kwa upande mwingine, utawala bora lazima uwe na uadilifu ndani yake. Jamii haiwezi kuwa na watawala walio bora ikiwa hawana uadilifu. UMUHIMU WA UADILIFU KATIKA JAMII Uadilifu...
  14. Wadiz

    Mradi wa HEET (Higher Education for Economic Transformation) ukiacha UDSM vyuo vingine zimamoto. Kwako Waziri wa Elimu Prof. Mkenda

    Salaam wanajukwaa, Hii nchi imejaa usanii mtupu vyuo vikuu vinacheza na serikali na donors hasa wadau wa maendeleo. Mpwayungu aliwavagaa walimu leo imeenda huko vyuo vikuu wanatengeza mitaala kwa kukaa maofisini, wanabuni masomo kwa hisia zao kihuni tu, hawafuati hatua stahiki, malecturers...
  15. R

    Hili la Law School ni la kupongezwa; una haja ya kuli-apply upande wa Vyuo vya Afya, tuna products za kiwango cha chini sana siku hizi

    Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo. Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani, Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe. Sheria ina Uamuzi mkubwa...
  16. chiembe

    Kabla ya kuilaumu Law School, watanzania wanajua kwamba baadhi ya wanafunzi vyuo binafsi huwaandalia" fungu" waalimu ili wafaulu?

    Hii ni issue niliyoambiwa na mmoja ya waalimu wa chuo kikuu binafsi aliyekuwa anafundisha sheria. Aliingia chuo hicho (sikitaji) akiwa na bidii kubwa,. Anaingia Kila kipindi kwa wakati, anakuwa mkali pale wanafunzi wanapochelewa, na katika mtihani alikuwa hana mzaha. Mmoja wa wanafunzi...
  17. T

    Serikali ya China yalaumu wahitimu wa vyuo vikuu kwamba ni wavivu, wabishi, hawataki kazi ngumu

    Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani. Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
  18. W

    Sasa hizi selection za kidato cha tano (form five) na vyuo zitatoka mwezi wa sita au?

    Inashangaza mpaka sasa tukiwa tunauendea mwezi wa tano bado tu wakati inafahamika fika kuwa kunakuwa na gharama kibao. Pamoja na kufuta ada, lakini kwa utitiri wa michango iliyopo advance mzazi itamgharimu si chini ya laki tatu (300,000/=) kuweza kumpeleka mtoto shule. Kiasi hiki ni kichekesho...
  19. NetMaster

    Kwanini Mwanza vyuo havijengwi kama Kusini?

    Mwanza ndio jiji kuu la kanda ya ziwa, ukanda wenye Watanzania wengi sana walioelimika lakini kwanini serikali haitaki kujenga vyuo Mwanza? Mwanza imefikia hatua kiasi hata chuo kinachoonekana kikubwa ni SAUT maana hakuna vyuo vya serikali. Ukicheki kusini jiji kama Mbeya kuna Udsm chuo cha...
Back
Top Bottom