vyuo

  1. ACT Wazalendo

    Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
  2. M

    Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu limefika kileleni. Serikali ichukue hatuna kuepusha matatizo ya kisiasa na kijamii

    Hili ni kwa serikali na watunga Sera wa Taifa hili. Kuna tafiti moja nilikuwa nasoma imefanywa na Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, nimeshangaa kuona hili tatizo lilipofikia. Sio kwamba nilikuwa sijui bali tatizo ni kubwa na vijana waliohitimu vyuo vya elimu ya juu kwa maelfu hawana...
  3. Richard

    Tetesi: Kikao cha dharura cha wakuu wa vyuo vyote vikuu nchini kinaendela mjini Dodoma , kuna tatizo kubwa

    Kuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutanisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini. Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini ambapo mara wanapoajiriwa katika sehemu mbalimbali wanashindwa kufanya kazi ambazo zingine ni...
  4. Hero

    Siasa za ajira za GPA na hatma ya vyuo vyetu vya Madaktari Tanzania

    Nachokoza mada tu leo, Mimi ni mdau katika elimu yetu ya juu ya vyuo vikuu vya Dar es salaam, hasa katika kuandaa madaktari na waambata wao. Hali ilivyo sasa inatia shaka sana katika utoshelevu wa wakufunzi katika fani za 'biomedical sciences', hasa katika eneo la 'Human Anatomy' (anatomia ya...
  5. Kinoamiguu

    Wazazi wasioweza kulipa ada ya shule za msingi na sekondari Tanzania, wanapata wapi uwezo wa kulipa mamilioni ya ada za vyuo vikuu?

    Wanajamvi habari za mapumziko. Nikiri kwamba mimi nilisoma Mlimani, naumia sana nikisikia serikali hii inayonunua mindege inashindwa kuwakopesha wanafunzi kwa wakati. Nikiri kwamba nilikuwepo na niligoma na kuandamana haswa pale mwaka 2004, serikali ya srlikali ya CCM chini ya Mzee Mkapa...
  6. J

    Kutekeleza ilani: Nyumba 1500 za NSSF zilizokosa wanunuzi kupewa Vyuo vikuu

    Nyumba zaidi ya 1509 zilizojengwa na NSSF kwa ajili ya kuwauzia wananchi lakini zimekosa wanunuzi na kuwa makazi ya POPO katika maeneo ya Tuangoma na kwingineko sasa kugawiwa kwa vyuo vikuu vya umma. Source Habari Leo. Maendeleo hayana vyama!
  7. H

    Fedha ya mkopo kwa wanafunzi hucheleweshwa katika baadhi ya vyuo (Mfano IFM)

    Nimefuatilia na kupata kufahamu kuwa baadhi ya taasisi kwa elimu ya juu bado wanafanya michezo mibaya kwa fedha ya kujikimu ya wanafunzi. Wako watumishi wa hizo taasisi sio waaminifu na wanachelewesha kwa makusudi kabisa kutoa hizi fedha kwa wanafunzi kwa sababu wanazojua wenyewe. Hizi fedha...
  8. Lexus SUV

    Ni benki gani huwa zinasaidia wanafunzi wa Vyuo Vikuu (bachelor degree students) wanaokosa mikopo kutoka HESLB

    Habari za leo wakuu? As regard with the heading above, ninapenda kuulizia ni benki zipi zinaweza wasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu, mikopo ya ada tu (tuition fees), ili kufanikisha upatikanaji wa elimu kwa mlengwa? At any interest rate and which can be paid after completion of studies, maana...
  9. Its Pancho

    Wapi kwenye nafuu? Kusoma chuo kikuu ama vyuo vya ufundi?

    Salaam wakubwa.. Hivi kwa Hali ya sasa, ni wapi kwenye uangalau iwapo ukisoma at least utapata maarifa Fulani kwenye maisha??? Yaani wapi utapata vitu vyenye application kwenye maisha? 1: chuo kikuu. (university) 2:Vyuo vya ufundi (technical).. Wapi unapoona panafaa kwa usawa wa sasa?? Pancho boy
  10. C

    Kwa nini isianzishwe tume ya mitihani ya vyuo vikuu

    Kama kichwa kinavyojieleza. Mfumo wa elimu wa vyuo vikuu umegubikwa na rushwa na degree za ngono hivyo kupelekea kuzalisha wahitimu wenye uwezo mdogo. Hili tatizo ni kukosekana kwa mfumo wa bodi ya mitihani ya vyuo vikuu ambayo ingesaidia mwanafunzi wa UDSM kufanya mtihani unaofanana na wa...
  11. J

    Mjapan: Rais Magufuli yuko sahihi, vyuo vikuu duniani kulikoendelea huandaa wahitimu kujiajiri na sio kusubiri ajira ya serikali

    Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali. Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si...
  12. Mwl.RCT

    Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho. ==== Rais Magufuli awasili...
  13. Lexus SUV

    Freshers: Kubadili vyuo deadline 15 November

    And lastly karibuni vyuoni.
  14. YEHODAYA

    Serikali iache kufungia vyuo vikuu binafsi kwa ukosefu wa wahadhiri. Yenyewe ndio iwapeleke na iwalipe mishahara

    Dini zimekuwa zikijitahidi Sana kuwekeza kwenye miundombinu na majengo ya vyuo vikuu Tanzania kwa kupitia wafadhili wao wa ndani nje ya nchi ambao Mara nyingi wakishamaliza huwa hawaendelei kuchangia gharama za uendeshaji. Dini Kama Waislamu,wakatoliki,walutheri, waanglikana na wasabato na...
  15. lee Vladimir cleef

    Nyerere alijenga vyuo vingapi? Watu wa mwanzo wamewarahisishia watu wa sasa

    Nchi yetu ina maendeleo kidogo sana ukilinganisha na rasilimali zetu, maliasili zetu, hali ya hewa yetu na utulivu wetu. Hata hivyo maendeleo haya madogo yameletwa na kila mtu kwa nafasi yake, Hata hivyo walioleta Maendeleo mwanzo wamesababisha wa leo kuendeleza kwa vile huwezi kurudia kufanya...
  16. Ngwanakilala

    Tuna vyuo vya Kilimo lakini hatuna wakulima wakubwa, Tuna SIDO lakini hatuna viwanda vidogo

    Wakuu Hili suala nimekua nalifikiria mara kwa mara Tuna chuo Kikuu cha kilimo SUA lakini kwanini hakuna wanafunzi au walimu wanaotoka pale na kua wakulima wakubwa na bora. Wote wakimaliza pale wanaamini kwamba wanatakiwa waajiriwe maofisini. Ina maana hawa walienda chuo cha kilimo ili...
  17. Kassimu Mchuchuri

    Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
Back
Top Bottom