udsm

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Katika miaka ya 1980 na miaka ya nyuma yake, machapisho na barua za siri au za asiyekuwa na jina zilizokuwa zikifichua kashfa, udaku, na masuala mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Mlimani) zilifahamika sana kama "Poisoned Pens" (au Poison Letters). Mwandishi au waandishi wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Responded Suala nililowasilisha JF kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa

    Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Ninaomba joining instruction ya kozi ya mionzi maana sijatumiwa, UDSM- MCHAS

    Ninaomba joining instruction kozi ya mionzi maana sijatumiwa ila ukicheki kule nactevet niko confirmed
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Habari wakuu, Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira. Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB. Akaenda...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Lindi yatakiwa kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa hati ya ardhi Kampasi ya UDSM - Lindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi kwa ajili ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dar (UDSM) kinatimiza miak 65 (25.10.2026) mbona hamna hata mdahalo? Kulikoni?

    Chuo Kikuu Kikongwe nchini UDSM kinatimiza miaka 65 toka kuanzishwa kwake tarehe 25 Oktoba 1961 ila mpaka sasa sijasikia lolote la kuwafanya hawa wasomi wetu watuonyeshe sisi Ngumbaru ndani ya miaka 65 wamefanya nini kwa jamii. Aibu utaona wewe.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Umemuona huyu phd from udsm?

    Maphd wangapi wanaweza kufanya hivi?
  9. G

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, mifumo ya maji taka inasumbua sana

    Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa. Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania UDSM hili linawahusu!

    Wanafunzi wa UDSM hasa Engineering na Law , Tangu wanapoingia mwaka wa kwanza mpaka wanamaliza , wanakuwa wamekula kama unavyoona.
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Nipo UDSM likizo kwa Sista angu, nishaurini, "nirudi kwetu Bunda?

    Mwanafunzi wa UDSM , semister imeisha akaamua kubaki Dar kutoa ushamba na kufanya Filed kiwanda cha kusafisha maji taka Tabata Dampo. Pichani ni jioni baada ya taarifa ya Habari , Shem na Mumewe wanakatiza, wanatoka jasho hapo wanaenda kuoga na baada ya nusu saa tena wanapita kwa staili hiyo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nilihitimu UDSM Mwaka 2021 lakini sijarudishiwa "caution money" mpaka leo, je kuna wangapi wanapigwa kama mimi?

    Kuna jambo linalohitaji kupewa umakini kuhusu urejeshaji wa fedha za dhamana (caution money) zinazolipwa na wanafunzi wa uzamili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Wakati wa usajili wa awali, wanafunzi hutakiwa kulipa kiasi cha Shilingi 50,000 kama caution money. Hata hivyo, baada ya...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa Wazalendo Wanao Angalia TBC, Usikose Kuangalia Mambo Mazuri ya UDSM, UDOM, IGOABROAD na Mbolea ya FEMI Leo Saa 4:00 usiku na kesho saa 3:00 Asbh

    Wanabodi, Niko hapa jijini Dodoma kwenye maonesho ya 88 kitaifa, uwanja wa Dr. J.S. Malecela, Nzunguni Dodoma, ambapo kuna mambo mazuri sana. Asubuhi niliwaletea https://www.jamiiforums.com/threads/live-from-uwanja-wa-dr-j-s-malecela-nzuguni-dodoma-kilele-cha-nane-nane-dodoma-kuchele.2460870/...
  14. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata provisional admission kutoka UDSM

    Habari Nimeomba chuo UDSM postgraduate, nawezaje kupata provisional admission?
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je, wamjua huyu DC anayesifiwa na Rais anachapa kazi? Ndo anamwombea mchango wa Boda boda Graduate wa UDSM

    Huu ndo ubunifu wa DC WA kisalawe kwa kuondoa umasikini na ukosefu WA ajira kwa vijana wetu WA chuo nchini Tanzania. Yaani Magoti akili zake zimeishia Kumwombea mchango WA boda boda mhitimu wa chuo kikuu ngazi ya degree tena aliyesoma sayansi ya mifugo? ViongoI wetu wanaona boda boda ni...
  16. soldier MAN

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha udsm kimenundikia hivi je kimenikataa au niendelee kusubili

    Hapa kimenikataa au niendelee kusubili?
  17. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Mlimani City aingia mgogoro na UDSM

    Turnstar Holdings, kampuni kubwa zaidi ya mali isiyohamishika iliyoorodheshwa nchini Botswana, imewasilisha madai ya kimahakama ya kupinga (counterclaim) katika mgogoro wa kisheria kuhusu Mlimani City, jengo la maduka la Dar es Salaam ambalo ndilo rasilimali yenye thamani kubwa zaidi katika...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania UDSM yashika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki na 4 Afrika kwa wahitimu wake kupata ajira

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeitoa Tanzania kimasomaso baada ya kuibuka kidedea kwa kushika nafasi ya kwanza Tanzania na Afrika Mashariki na cha nne Afrika, kwenye soko la ajira. Akizungumza leo Julai 15, 2026 na waandishi wa habari chuoni hapo, Naibu Makamu Mkuu wa UDSM-Utafiti...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanafunzi wa UDSM tuliingiziwa Boom mara 2 kimakosa, kutudai wanatuletea TAKUKURU kutukamata, kwani hayo ni makosa yetu?

    Nazungumza hapa nikiwa ni mmoja wa wanaofuatilia suala hili na ninaomba mamlaka husika zilichunguze kwa kina, baadhi ya wanafunzi wa University of Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa fedha za mkopo (boom) mara mbili kimakosa kutoka Bodi ya Mikopo (Higher Education Students' Loans Board - HESLB)...
  20. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mipango Miji, mandhari ya UDSM ni darasa tosha kwenu

    Watu wakitembelea UDSM wanashangaa jinsi mazingira yake yalivyo green, tree lined roads, lawns na gardens Halafu wengi wanafikiri chuo cha UDSM kilijengwa na wakoloni ndio maana kipo hivyo, kumbe kilijengwa baada ya uhuru Hii ina maana sisi Waafrika tuna uwezo wa kujenga na kuendeleza maeneo...
Back
Top Bottom