wahitimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    KERO Kunyimwa vyeti wahitimu wa chuo cha Western Tanganyika, Kigoma

    Naomba niwasilishe kero yangu inayonisumbua nikiwa pamoja na wenzangu tupate ufumbuzi. Tunaomba kujua ni lini chuo cha Western Tanganyika kilichopo kigoma itawapa wanafunzi wake waliohitimu chuo September 2022 kozi ya pharmacy ngazi ya cheti maana waliwaambia wakae vyeti vitatoka na hadi...
  2. Mhafidhina07

    Nyie watanzania ni lini mtaacha tabia zenu za kibaguzi dhidi ya wahitimu ya digiriiii?

    Serikalini na wananchi wake wamekuwa ni wabaguzi wa kutupwa na kusababisha psychological torture kwa baadhi ya wahitimu,haiwezekani mtu amesoma mpaka chuo then unarelate maisha yake na mtu wa darasa la 7 au form 4,this is not good wadau. Au mnataka kuendelea kututawala ili tuichukie elimu...
  3. B

    CRDB Bank Foundation, SUGECO kuwezesha mafunzo kwa vitendo kwa wahitimu 2,500 nje ya nchi

    Katika kufungua fursa za kuongeza umahiri katika fani zao, Taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kushirikiana na Sokoine University Graduate Entrepreneurs Cooperative (SUGECO) imesaini mkataba wa miaka mitatu kuwawezesha zaidi ya wahitimu 2,500 wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)...
  4. Q

    Mahafali imeisha salama, hongereni wahitimu. Nawatakia heri katika hatua iliyoko mbele yenu.

    Police Mahafali imeisha salama, hongereni wahitimu. Nawatakia heri katika hatua iliyoko mbele yenu.
  5. Z

    Duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi

    "Uko duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi pindi wanapograduate. Na hii inatokana na mifumo mizuri ya uendeshaji inayozingatia upatikanaji wa mda kwa mwanachuo kujitafuta nje ya ratiba ya masomo yake. "Huku kwetu, nmekutana na kijana mmoja...
  6. Tausi Rehani

    Ni nani muasisi wa huu udhalilishaji wa Wahitimu wa Vyuo Vikuu (Graduates) unaoendelea? Hiki kidonda tukikilea kitaleta shida mbeleni

    Wasaalam, Hivi karibuni humu kumekuwa na ongezeko kubwa la nyuzi(threads) zenye mlengo wa kuwadhalilisha wahitimu wa vyuo vikuu (graduates) na wanafunzi waliopo vyuoni kwamba ni useless na hawana uwezo wa kujitegemea kabisa. Kwa utafiti nilioufanya, hii kampeni inaendeshwa kwa asilimia kubwa...
  7. M

    Wahitimu wa vyuo vikuu wengi wana depression. Vijana ambao hawajavuka hata form 4 wanazidi kujipata tu, sababu hawana aibu na hawajipi class ya juu

    Elimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu zaidi. Average age ya kuhitimu ama kumaliza digrii ya kwanza Tanzania ni miaka 24. Vijana wengi waliohitimu chuo wana msongo mkubwa wa mawazo sababu ajira hakuna. Na pia elimu imewaweka daraja la juu hawawezi kufanya kazi...
  8. Roving Journalist

    Waziri Mkenda ahimiza ubunifu katika mbinu za ufundishaji ili kupata wahitimu mahiri

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali inaendelea kufanya mageuzi ya Elimu, na kuboresha mbinu za ufundishaji kuanzia ngazi za Awali hadi Vyuo Vikuu ili kupata Wahitimu Mahiri kukidhi mahitaji ya soko la ajira. Waziri Mkenda amesema hayo Februari 26, 2024...
  9. Newbies

    HR, Waajiri walalamika wahitimu ni weupe vichwani

    HR flani alilalamika wahitimu wengi Ni weupe vichwani na kuuliza Nini kifanyike Nilikuwa na haya yakujibu! Ushauri chakufanya Ni kwanza wakufunzi hasa wa vyuo vikuu waanze kufundishwa maarifa ya kisasa Pili tujaribu kuchukua wakufunzi kutoka vyuo Bora vya nje inaweza kuwa kwa mpango wa...
  10. K

    Serikali iwaajiri Walimu wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo

    Serikali kupitia OR TAMISEMI inawajibu wa kuwaajiri walimu hususan wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo bila kujali masomo waliosoma. Walimu hawa wengi wao wapo mitaani wakirandaranda huku na kule ili kuwezesha mikono yao iende kinywani. KWANINI SERIKALI IWAAJIRI WALIMU HAWA KWA MKUPUO? 1...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Wahitimu Chuo cha Biblia cha Evengelism Church Muwe Mabalozi Wazuri wa Kusimamia Maadili

    Wahitimu wa Chuo cha Biblia cha Evengelism Church wameaswa kuwa askari wazuri wa vita dhidi ya mmomonyoko wa maadili ambao unaendelea kushamiri katika jamii zetu hususani kwa vijana. Wito huo umetolewa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe, Jenista Mhagama wakati wa...
  12. TTCC_TECNO

    Changamoto gani wanapata wahitimu baada ya kumaliza chuo?

    Wote tunajua maisha baada ya kuhitimu ni safari iliyojaa fursa na changamoto. Kwa kutambua na kufanya kazi kwa bidii kuzishinda changamoto hizi, wahitimu wapya wanaweza kujenga njia ya kufanikiwa na kazi yenye kuridhisha. Kukumbatia sura hii mpya kwa azimio, uvumilivu, na mtazamo wa kukua...
  13. sky soldier

    IT wa Tanzania ni "copy-paste" wasioweza kubuni; wanafunzi na wahitimu wote wameshindwa kutengeneza mafaili ya VPN free net?

    Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti wanavyo na wengine wana ufaulu mkubwa sana lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia...
  14. Stephano Mgendanyi

    Wanafunzi 9 Walioanza Elimu ya Msingi Kititenebo, Chini ya Mti Wahitimu Darasa la Saba, Mbunge Lekaita Awatabiria Makubwa

    Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amekoshwa na wanafunzi 9 ambao wamehitimu elimu ya msingi (Darasa la saba) leo tarehe 22 Septemba 2023 katika Shule ya Msingi Kititenebo ikiwa ni mahafali ya kwanza tangu kuanizshwa kwa shule hiyo. Akizungumza...
  15. Global Peace Foundation

    Kwanini ni rahisi kijana asiye na kipato kushawishiwa na makundi mabaya?

    Kila mwaka idadi kubwa vijana hapa nchini wanamaliza masomo yao katika ngazi mbalimbali za elimu. Taasisi za elimu kuanzia darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, vyuo mbalimbali vya ufundi na vyuo vikuu vinazalisha idadi ya wahitimu kila msimu. Takwimu za Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)...
  16. Kiboko ya Jiwe

    Serikali iwaombe wafanyabiashara wakubwa waende vyuo vikuu wakafundishe wahitimu angalau unit 1 ili kukamilisha degree ya biashara

    Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika. Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
  17. F

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora kuinua ajira kwa wahitimu wa elimu Tanzania

    Sekta ya elimu nchini Tanzania ni msingi muhimu wa maendeleo na ustawi wa jamii yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto za kimfumo katika sekta hii, ambazo zimekuwa zikichangia tatizo la ajira kwa wahitimu. Andiko hili linalenga kuchambua umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kuboresha...
  18. G

    SoC03 Wahitimu kutoka kaya masikini wapewe kipaumbele kwenye soko la ajira

    KUCHOCHEA USAWA WA AJIRA: WAHITIMU MASKINI WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE SOKO LA AJIRA. KWA KUIGA MFANO WA TASAF UTANGULIZI: Katika juhudi za kujenga jamii yenye usawa na maendeleo, ni muhimu kuangalia njia za kuwezesha wahitimu kutoka kaya maskini kupata fursa sawa za ajira. Programu ya Tanzania...
  19. Wichoka Son

    SoC03 Jinsi mafunzo ya elimu kwa vitendo yanavyochochea uwajibikaji kwa wahitimu na wasomi kazini hapa nchini

    JINSI MAFUNZO YA ELIMU KWA VITENDO (FIELD/INTERNS) YANAVYOCHOCHEA UWAJIBIKAJI KWA WAHITIMU NA WASOMI WA ELIMU YA JUU KAZINI HAPA NCHINI. Nchini Tanzania kutokana na ongezeko la vyuo vikuu kumekuwapo pia na ongezeko kubwa la wahitimu wa elimu ya juu kitu kinachopelekea upungufu mkubwa wa ajira...
  20. T

    SoC03 Mfumo tiba ukosefu wa ajira nchini

    Ajira ni kazi au shughuli ambayo mtu anafanya kila siku na kujipatia kipato kwa ajili ya kujikimu na kufanya maendeleo binafsi na nchi kwa ujumla. Mazingira wezeshi ya upatikanaji wa elimu (elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari), elimu ya kati vyuo vya kati na elimu ya juu (serikali...
Back
Top Bottom