nacte

 1. Tsakhodegha

  NACTE NA NECTA nani mwenye mamlaka ya kucompute/ kupanga GPA ya Walimu wa Diploma ambao vyeti vyao havina GPA hasa 2015?

  Mke Wangu Amegraduate Chuo Cha Ualimu Tukuyu Diploma Yake Mwaka 2015 na Kupata GPA ya 3.0 kwa Mujibu wa Matokeo ya NECTA. Mwaka 2017 Akataka Kujiendeleza Kwa Kusoma Digrii Yake OPEN UNIVERSITY Akapewa Sharti Atafute Uthibitisho NACTE Kwa Sababu Cheti Chake Hakikuwa na GPA . Basi Tukalipia...
 2. peno hasegawa

  NACTE hadi sasa hawajatoa AVN ili wanafunzi waweze ku-apply vyuo vikuu, watumbuliwe tu

  Waziri tunaomba washughurikie hawa NACTE watoto wetu wanahitaji hizo AVN ili wajiunge na vyuo vikuu na deadline kama TCU walivyotangaza ni tar 15.10.2021 tayari zimeshakaribia.
 3. Michu99

  Verification ya matokeo nacte

  Habari za kazi wakuu nilikua nauliza kuwa hivi uchukua muda gani nacte kuverify matokeo kwa diploma manake sisi wengine matokeo yetu ndo yametumwa Jana nacte na AVN bado atujapata tunataka tuapply chuo muda umeisha Msaada kwa anaejua nini kinafanyika
 4. Replica

  NACTE: Tuna changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa, Watanzania wengi wanavipenda kwa ada yake ya chini

  Mkurugenzi wa udhibiti NACTE, Geofrey Oleke amesema ipo changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa pamoja na wao kuhakikisha havipo kwa kuvifuta na kwakuwa huwa vina ada ya chini, watanzania wengi wanavikimbilia bila kujua kwamba vimesajiliwa ama La. Pia mkurugenzi huyo amesema vipo ambavyo...
 5. Josh J

  NACTE: IFM, CBE na Arusha Tech siyo Vyuo Vikuu bali ni Taasisi za Elimu

  Wale Mliosoma IFm,Cbe na Arusha Tech Pokeeni Hii Taarifa Wakuu. ---- Dkt. Geofey Oleke - Mkurugenzi wa Udhibiti, Tathmini na Ufuatiliaji NACTE amesema haya Watu huwa wanachanganya kati ya NECTA Na NACTE kwa sababu ya maneno kushabihiana NACTE ni baraza la Taifa la elimu ya Ufundi wakati NECTA...
 6. ChamasonMorisonBwalyason

  Naomba ufafanuzi wa namna ya kupata namba ya NACTE

  Habari ya mchana wapambanaji wenzangu, Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba msaada namba ya NACTE nimejaribu kufanya malipo ya transcript ila najaribu kuingia kwenye website yao ni request transcript nashindwa nimejaribu kutumia namba ya mtihan ya chuo pia inakataa. Msaada tafadhali
 7. R

  NACTE admission za vyuo vya Afya 2021/2022 toeni majina ya waliochaguliwa

  Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
 8. R

  Msaada: Nasikia Nacte, UDOM matokeo ya admissions yametoka

  Naingia NACTE naona kama hakuna link ya log in , vile vile UDOM hakuna response kwenye akaunti ya kijana. Nifanyeje,
 9. H

  NACTE kwanini mnawaluhusu wamiliki wa A3 company ltd kuwadhulumu walimu wa Kigamboni City College na Dodoma City college?

  A3 Company Ltd ni wamiliki wa City college Mikwambe, Kigamboni City college na Dodoma city college. Hawa wamiliki wa A3 Company Ltd wako bize kufungua vyuo vipya Arusha na Mwanza kwa idhini ya NACTE huku walimu wa Kigamboni City college na Dodoma City college hawajarlipwa mshahara ya mwezi wa...
 10. Meneja Wa Makampuni

  Utendaji wa NACTE ni wa polepole sana, Waziri wa Elimu shughulikia hilo

  Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE Kwako waziri wa elimu, Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa. Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi. Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine...
 11. goodhearted

  Mbona mfumo wa NACTE hufunguki?

  Karibia wiki nataka nimtumie mdogo wangu maombi ya chuo cha afya kupitia nacte lakini system haifunguki. Kila nikiingia inaandika error. Tatizo nini kwa wenye ufahamu.
 12. Kamakabuzi

  NACTE kuweni makini

  Nimeshangaa mtu anajaza taarifa zote ili kupata AVN lakini anambiwa itachukua masaa mengi hadi zaidi ya 130 ili kupata majibu, hata control number ya kulipia nayo inachukua masaa yote hayo. Kama vitu hivi ni system zinafanya kazi, nani ali-set masaa yote hayo? Kindly be informed that your...
 13. A

  Msaada kuhusu maombi ya ualimu NACTE

  Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
 14. mussa m roman

  Admission 2021/2022: Majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?

  Habari, Naombeni kufaham kutokana na uzoefu wenu, Kwa tulioomba vyuo vya afya 2021/2022 kupitia website ya NACTE majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?
 15. S

  Vigezo vya chuo vilivyo chini ya NACTE kwa mwenye cheti cha form 4 na form 6

  Tafadhali nisaidie : Mhitimu ambaye ana cheti cha kidato cha nne Div 1 pt12 ya pure science na cha sita Div 3 (PCB-EED) akiomba kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE say Clinical Medicine course watamchagua kwa kigezo kipi? Kuna addaed advantage ya form six over form 4?
 16. raoka kubanda

  Wenzangu mnafanikiwa kufanya application NACTE?

  Wenzangu nyie hali ikoje mnafanikiwa kufanya application NACTE?
 17. R

  Dirisha la udahili wa masomo ya Astashahada/stashahada kwa mwaka 2021/2022 kwa vyuo vilivyo chini ya NACTE limefunguliwa 27/05/2021

  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI WA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2021/2022 Haya vijana muda ndio huu. Fanya applicatons mapema kuepuka last-minute congestion/scramble! ==== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA BARAZA LA TAIFA LA...
 18. Matata25

  Msaada ku apply chuo online Nacte

  Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini. Then ukurasa wa pili ulipofunguka...
 19. Matata25

  Msaada: Namna ya kutuma maombi NACTE

  Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini. Then ukurasa wa pili...
Top Bottom