itv

 1. J

  Sheikh wa mkoa wa Dar, Alhad Salum awachachamalia ITV kwa kutoweka vitakasa mikono na maji mlangoni

  Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni? Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa. Mtangazaji Kivuyo alisema...
 2. D

  ITV Mnakimbizwa na nani?

  Unakuta taarifa zenu mnaripua ripua tu. Kwani ni lazima kutoa taarifa nyingi? Hamuwezi kuchuja? Taarifa ndogondogo mnaziandalia kipindi chake. .. Habari zenu mpo juu juu yani mtasema mnakimbizwa. . . Hebu badilikeni mmekaa kishamba kama TBC studio ni ile ile kila siku. . Sijui huo...
 3. Mzito Kabwela

  Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

  Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo. Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila...
 4. J

  Live ITV: Rais Magufuli anafungua Hotel ya Verde Azam Luxury Resort & SPA mtoni jijini Zanzibar inayomilikiwa na S S Bakhresa

  Ni tukio kubwa na la kihistoria kwani hii ni hoteli ya kipekee kabisa nchini Tanzania, Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara. Karibuni!
 5. Makanyaga

  Nilivutiwa sana na mjadala wa Kisheria kwenye Kipimajoto ITV Ijumaa iliyopita

  Mjadala ulikuwa kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli (TASAC) na Mawakala kutoka sekta binafsi. Kitu kilichonivutia kwenye mjadala huu ni baada ya mawakala kutoka sekta binafsi kutoa malalamiko yao kuwa TASAC ameamua kuwa wakala lakini akaweka sheria kuwa yeye hatakuwa na LIABILITY kutoka...
 6. J

  Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

  leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
 7. Pascal Mayalla

  ITV, hongera kutuletea mubashara za matukio ya kitaifa, ila mtutendee haki watazamaji wenu waraibu wa Isidingo, irudieni, anzisheni PVR zenu kama DSTV

  Wanabodi, Ukiwa ni mfuatiliaji wa series fulani kwenye TV fulani au tamthilia mbalimbali, Series hizo na tamthilia hizo zina urahibu fulani, hivyo wakati wa tamthilia hiyo ukifika, wapenzi wa tamthilia hizo, huacha kila kitu ili kufuatilia tamthilia hizo. Sasa kunapotokea matukio ya kitaifa...
 8. L

  Kipindi cha Dakika 45 ITV kunani?

  Hello wakuu, nimekuwa ni mfuatiliaji wa hiki kipindi mara nipatapo nafasi. Kimekuwa kinahoji watu wa kada mbalimbali mfano Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu nk. Shida ni kuwa kipindi hakina ladha kabisa wala mshawasha wowote wale ndugu zetu wa habari kuna kosa gani la kiufundi pale? Yaani...
 9. Mwl.RCT

  Mkutano nchi za Afrika na NORDIC: Rais Magufuli awakaribisha wawekezaji kuwekeza nchini, kwa sababu kuna amani na ukuaji mzuri wa uchumi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na NORDIC unaofanyika akatika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam. ===== HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA UFUPI...
 10. KYALOSANGI

  ITV angalieni maadili kwenye kipindi cha watoto

  Vyombo vya habari vina nguvu sana katika jamii. Vinaweza kuelimisha na kupotosha. Kwa msingi huu, vyombo vya habari vinatakiwa kuwa makini pale wanapoelimisha jamii. Hapa nilipo naangalia kipindi cha watoto cha ITV. Katika eneo la watoto kujifunza mafumbo, kuna mtoto ametoa fumbo "Mama yake...
 11. M

  Mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi anitafute

  Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
Top Bottom