Indotyphlops braminus, commonly known as the brahminy blind snake and other names, is a nonvenomous blind snake species found mostly in Africa and Asia, but has been introduced in many other parts of the world. They are completely fossorial (i.e., burrowing) animals, with habits and appearance similar to earthworms, for which they are often mistaken, although close examination reveals tiny scales rather than the annular segments characteristic of true earthworms. The species is parthenogenetic and all known specimens have been female. The specific name is a Latinized form of the word Brahmin. No subspecies are currently recognized.
Aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Kiambu Ferdinand Waititu, maarufu Baba yao, mkewe Susan Wangari Ndungu na washirika wao wamepata pigo tena baada ya Mahakama Kuu kuthibitisha hukumu zao katika rufaa iliyohusiana na ufisadi wa mkataba wa barabara wa shilingi milioni 588.
Katika uamuzi uliotolewa...
baada
corruption
eacc kenya
fedha
gerezani
kiambu
kifungo
kurejesha
kurudi
kutoka
kuu
mahakama
mahakama kuu
mashtaka
mlango
tena
uamuzi
utakatishaji fedha
waititu
yathibitisha
BYD wanatuletea Sedan Kali inayokwenda kwa jina la BYD Da Han.
Inakuja na versions tatu, zote zinatumika battery kubwa la 102.3 kWh lithium iron phosphate (LFP) second-generation Blade Battery.
Katika izo versions Kuna RWD inayoenda Kilometa 1,008 na acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 5...
Kuna hii tabia unakuwa na hamu sana kabla ya tendo halafu baada ya kumaliza ghafla hata ile hamu ya kumuona mwanamke inapungua, tumetoa wapi?
Naangalia hata kwa wanyama kina simba madume mengi baada ya mating yanaonekana kama maisha yanaendelea tu Hakuna habari za romance wala nini.sawa hao...
kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga.
Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa...
Habari wana jukwaa!
Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma, amejikuta akitafakari kufanya chaguo kati ya kazi yake ama arudi aongeze elimu.
Ana mke na watoto,
Na kama...
Je,
ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni?
Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake?
Na,
kwanini aliitanguliza...
Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio.
Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani inatembea kwa kasi, karatasi ya mtihani iko mbele yako, lakini hujui hata swali moja. au pengine...
Tunaishi katika kizazi ambacho dalili alizozitaja Yesu za kuja kwake zinadhihirika mbele ya macho yetu wazi wazi. Yesu alipoulizwa kuhusu ishara za kuja kwake na za mwisho wa dunia, alitaja mambo yafuatayo:
1. Watu wengi watakuja kwa Jina lake wakisema wao ni Kristo.
Katika nchi mbalimbali...
Inawezekana umekaa mjini muda mrefu, lakini maisha bado yanakuchapa tu, mpaka kujikuta unafanya kazi ambazo zinapoteza uelekeo wako na utu.
Kupitia uzi huu, kama unatamni kurudi kijijini ukaishi maisha ya edeni kwa kujituma kufanya kazi za mikono yako, mfano; kulima mashamba, kung'oa visiki...
Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone, Kwa kweli mama nayaona.
Bhana mi ni mtu wa kupost matukio mitandaoni, sasa katika kukusanya habari huku na kule nikapata hii eti yule dada alie tangaza kuvunja ndoa na mumewe, akasema jamaa kafulia hana hela kama alivo kua Dubai, janaume linakoroma, Lina...
HAYA makabila ni Malaya kama Malaya wengine,
Leo mbowe anaenda DSM kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme na anadai ana haraka kuondoka anawai ndege anashindwa kwenda ukonga kumwona mwenyekiti wake wa CHADEMA?
Hawa ni Malaya kama Malaya wengine .
NItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.
Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika...
Inasemekana kuwa maeneo deep ya ujaluoni kuna uchawi ulio kithiri sana.
Inasemekana hata maendeleo yamedumaa maana anaeunuka anadondoshwa in no time.
Je hii ndio inaweza kuwa sababu kuu ya vijana hawa kutorudi vijijini?
Anachoongea kwa maandishi
"Na nikuambie siri ya watu wanaorudi katika maisha yako. Wanao rudi au unaokubali kurudi. Kwanza, lazima ujuwe kwamba katika level ya watu kudharaulika, wewe uko kwenye level ya deki hiyo. Au ile bamba tunayoweka mlangoni kabla hatujaingia ndani tunafuta miguu yetu tu...
Wana jamvi naomba tumsikikize Mbunge wetu kupitia chama tawala.
Inanipa shida kuamini kama anajua maana ya vijana au wazee.
Kwangu mimi ningemshauri arudi darasani badala ya kurudi jimboni Kwale maana vijana hakuwatendea haki.
Kumekuwepo Picha inayosambazwa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na X (zamani Twitter) kumuonesha mwanaume wa Zimbabwe aliyekwenda Afrika Kusini mwaka 2009 na kurejea nyumbani baada ya miaka 16 kufuatia mashambulizi dhidi ya wahamiaji (xenophobic attacks), ambapo amekuta nyumba ya familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.