wimbi

Wimbi Dira Airways was a scheduled and charter, passenger and cargo airline based in Kinshasa, Democratic Republic of the Congo. It serves the country's main cities. As of May 2014 all of their planes were reported to be in storage.

View More On Wikipedia.org
  1. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Wimbi la kesi za ugaidi litaathiri taswira ya nchi na sekta ya utalii kwa namna ambayo Serikali haikutarajia

    Watanzania, tukubali tusikubali, Serikali ya CCM haina viongozi wenye uwezo wa kuona mbali. Obviously, the mazafakas cannot see beyond their noses! Katika hali ya kawaida, hakuna kiongozi yeyote mwenye busara ambaye anaweza kuitangazia dunia kwamba nchi yake ina magaidi kila kona wakati ukweli...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwalaghai na kuwalisha Sumu Vijana ili wahujumu Uchumi wa Nchi zao

  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  4. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi viakaunti vingi vimejoin may na june vya moto kweli🔥🔥

    Vina post kila ya dakika wanajifanya wapya ila jinsi anavyojibu comment ni kama anakujua vizuri humu ndani😁😁
  5. Foffana

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa wimbi la wanafunzi kufanya udanganyifu kwenye mitihani vyuoni?

    Habari zenu Wadau wa Jambo Forums Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi nyakati za mitihani kuingia na simu ya mkononi katika chumba cha mtihani Hizo simu zinawasaidia kujibu maswali watakayoulizwa katika mtihani huo Unaweza ukakuta robo ya watahiniwa wameingia na simu chumba cha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wa CRDB Morogoro Manispaa wanaibiwa fedha zao kwenye akaunti bila wao kujua

    Kuna malalamiko kuhusu matukio ya upotevu wa fedha kwenye akaunti za baadhi ya wateja wa CRDB katika Manispaa ya Morogoro. Miongoni mwa walioathirika ni baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) pamoja na wateja wengine, ambao wamejikuta fedha zikitolewa kwenye akaunti zao...
  7. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watu kupeleka fedha kwenye kununua Bonds, Hisa, UTT, hatifungani, fixed deposits, je ni kitu kizuri au kibaya?

    Kwa sasa habari ya mjini ni kununua hisa, bonds, mifuko ya uwekezaji n.k, je ni kitu kizuri au ni kibaya? Ni kitu cha kudumu au ni upepo tu? Je hao watu wanatengeneza hela kweli au ni mamotivesheni spika wanawajaza upepo. Binafsi naamini wale waliokuwa na pesa nyingi enzi hizo wakanunua hisa...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

    Siku za hivi karibuni single mothers wamekuwa wakilaumiwa, kukejiliwa na kurushiwa maneno mengi ila ukweli ni kwamba wao ni matokeo tu na sio sahihi kuwananga wao badala ya kuangalia chanzo. Ukweli ni kwamba chanzo kikubwa cha single mothers ni wazazi kushindwa kuwahudumia watoto wao wa kike na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumhudumia vya kutosha ananikataa; anasema Nina sura ngumu kama wimbi la uji!😠

    Wakati tunaanza na kumpatia uhakika wa huduma alikuwa anatoa ushirikiano nzuri tu kunipatia sifa kedekede za 'uhandsome'. Leo, baada ya kuyafikia malengo yake kwa asilimia kubwa, amenizingua kwa kauli kama hiyo. Nimfanyie uhuni gani. Nje ya mada; hivi miaka 40+ unaweza kumpata bint wa 2005 kuja...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa la wasichana kuonesha tupu zao mitandaoni?

    Utakuta huko TikTok wanafunua mapaja na kufunga Kwa haraka Facebook hivyohivyo kwanini?! Ni stress au ndio ajira mpya ya watengeneza content?
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wimbi la wanaume Wambea linazidi kuongezeka

    Sijui ni Mitandao ya kijamii ndo imekuwa chanzo....wanaume wanazidi kuwa Wambea kuliko hata wanawake Siku hizi ukienda kwenye misiba ama mikusanyiko huwezi koswa kundi la wanaume sita ama tisa Hivi wanapiga umbea. Miaka ya nyuma ilikuwa haipo Kila kundi utakuta wanacheza karata ama BAO...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wazazi msiweke wazi shida zenu kwa watoto wimbi la kupotea na kujinyonga linaongezeka

    Habarini wapendwa za jioni Nimeona tukumbushane kidogo Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha Hawa watoto watatu Wote waliandika barua ..kwa wazazi wakimwomba mungu atatue shida za wazazi wao ikiwemo pesa za ada shule na pesa za marejesho Kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Starmer nchini China yaongeza wimbi la washirika wanaoiamini China na kuja kujadili kuimarisha uhusiano wao

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wiki iliyopita alikuja China ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Uingereza ndani ya kipindi cha miaka minane. Kupitia ziara hii Starmer anafanya juhudi za kurekebisha uhusiano wa Uingereza na China, nchi yenye uchumi wa pili kwa ukubwa duniani...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katambi: Tumedhibiti wimbi la wahamiaji haramu, Uhamiaji imedhibiti na kufunga njia za vipenyo 1,777

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema katika kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaoingia nchini. Idara ya Uhamiaji imedhibiti na kufunga jumla ya Vipenyo Elfu Moja Mia Saba Sabini na Saba vilivyopo maeneo mbalimbali nchini, vilivyokua vinatumika kuingia nchini kwa njia...
  15. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kwanini wimbi la Single Mothers linazidi kuongezeka?

    Habarini wanajamii Ni ukweli usiopingika kuwa Single mothers wanazidi kuongezeka katika jamii, tatizo ni nini hasa kinasababisha hali hii? -Je ni ugumu wa maisha unaosababisha wanaume kuogopa kuingia kwenye ndoa? -Au kubeba mimba bahati mbaya Tatizo ni nini hasa? Huko mtaani kila kona...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Siri zimevuja kuna wimbi la account fake mpya za wanafunzi wa chuo mitaondoni lazima tujiulize hivi kweli tumefika hapa sisi ?

    :
  17. mshale21

    JamiiForums Tanzania Je, Hili wimbi la masheikh linalohamasisha kuua watanzania wenzao lishughulikiwe vipi?

    Kulingana na matamko ya mashekh wanaohamasisha vurugu, uvunjifu wa amani na kutishia usalama wa nchi, nini kifanyike?
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wametoka kwenye vitisho wakaona havifui dafu kwenye maandamano sasa wamekuja na wimbi la mashekhe ubwabwa sasa hawa ndio waziie maandamano?

    Wametoka kwenye vitisho wakaona havifui dafu kwenye maandamano sasa wamekuja na wimbi la mashekhe ubwabwa sasa hawa ndio wazuie maandamano? Ndugu zetu wamekufa kama kuku October 29 alafu mnatuletea hawa mashekhe moto utawaka #D9
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watoto kuvuta sigara na Wanawake kujichubua linatisha

    Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi.. Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau hivi vipombe vya elfu 2 pia Wanawake wanajichubua sana kwa Sasa yaani ukimuona mdada mweupe wengi...
  20. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna wimbi kubwa la watu kupita kwenye kila kaya kuandikisha namba za vitambulisho vya kura

    Hili jambo lipo kwa Kasi sana. Nimejaribu kuwasiliana na watu wa mikoa tofauti wamekili kwamba wanapita na kufanya hilo zoezi. Wanajua wazi kwamba mwaka huu watu hawana hamu na uchaguzi na hawatapiga kura in numbers. Wanatengeneza kura za kufikirika. Na mtashangaa idadi ya kura...
Back
Top Bottom