• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

pharmacy

 1. CASH MONEY BROTHER-CMB

  Mama muuza pharmacy Magu mjini

  Wiki jana nilienda Pharmacy moja kubwa tu maeneo ya magu mjini pembeni ya stand,nikamkuta mama mtu mzima kama miaka 50 hivi mnene kapanda hewani,Lengo la kwenda ile pharmacy ilikuwa kununua vidonge vya kuongeza nguvu za kiume maarufu,viagra! Yule mama akanieleza bei ni 2000 kwa kidonge kimoja...
 2. C

  OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

  Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. Serikali kupitia waziri wa...
 3. Kibaba MFS

  alpha - Medical Practice Management System

  A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories. So what we are, real? An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations such as medical, financial and administrative tasks It is a web based Application that works with all...
Top