nafuu

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini. Hatua hiyo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wanawasaidia wagonjwa kupata nafuu kupitia upasuaji wa uvamizi mdogo

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar, Tanzania, alisumbuliwa mara kwa mara na vipindi vya kiungulia kikali na maumivu kifuani...
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ni wapi wanaprinti picha kwenye mbao kwa gharama nafuu

    Ni wapi wanaprinti picha kwenye mbao kwa ghalama nafuu
  4. O

    JamiiForums Tanzania Nahitaji UV LED blacklight\taa yenye uwezo wa kuburn screen sihitaji kutumia Jua, kama itapatikana Kwa bei nafuu hapa Dar es salam au mkoani

    Nahitaji hizo taa au exposure unit kwa bei nafuu exposure unit yangu imeibiwa nb hii inatumia Kwa screen printing so kabla ya kuagiza naamini naweza kupata haraka hapa Kwetu
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wa Magari na Mafundi Gereji: OBDII Diagnosis Scanners za Bei Nafuu!

    Wakuu, Kwa mafundi magari (mechanics) na wamiliki wa magari wanaopenda kufanya ukaguzi wa magari yao mara kwa mara, kuna OBD II Diagnosis Scanners hapa za bei ndogo. 1. ELM 327 Mini OBD II Bluetooth Scanner - Tsh 15,000/= -Hii ipo ya V2.1 versions -Inatumia Bluetooth, utadownload App kwenye...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Huduma za Afya Karibu na Nafuu Kwa Wananchi

    Serikali imejenga hospitali 10 mpya za rufaa za mikoa tangu mwaka 2021. Huduma zilizokuwa zinapatikana mbali kwa gharama kubwa, sasa zipo karibu na wananchi, pia ni nafuu zaidi.
  7. mkenya wa kova

    JamiiForums Tanzania Tunafanya urembo wa nyumba yako kwa gjarama nafuu sana.

    Tanafanya finishing za nyumba kwa gjarama nafuu sana , moulding decorations, ceiling disign na skimming .tupo dar es salaam na tunafika mikoani bila shida kabisa. 0765069058 WhatsApp.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  9. ShaxNgole

    JamiiForums Tanzania 🔥UNAHITAJI WEB HOSTING YENYE KASI NA KWA GHARAMA NAFUU? TSH. 45,000 TU KWA MWAKA MZIMA🔥

    🔥Pata website Hosting ndani ya dakika 1 Tu (Netfasta.Com)🔥 Tunatoa huduma za web hosting na usajiri wa domains kwa gharama nafuu sana na sasa tuna ofa Kwa Tsh 45,000 tu unajipatia hosting kwa mwaka mzima itakayokuwezesha ku-host hadi website 10 Express Plan ( Tsh 45,000 ) - 1 Year ( kuhamisha...
  10. ShaxNgole

    JamiiForums Tanzania 🔥UNAHITAJI WEB HOSTING YENYE KASI NA KWA GHARAMA NAFUU? TSH 45,000 TU KWA MWAKA🔥

    🔥Pata website Hosting ndani ya dakika 1 Tu (Netfasta.Com)🔥 Tunatoa huduma za web hosting na usajiri wa domains kwa gharama nafuu sana na sasa tuna ofa Kwa Tsh 45,000 tu unajipatia hosting kwa mwaka mzima itakayokuwezesha ku-host hadi website 10 Express Plan ( Tsh 45,000 ) - 1 Year ( kuhamisha...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Higer bus. Bus la kifahari kwa bei nafuu

    Jipatie Bus kali lenye bei Nafuu Higer KLQ6136DF pamoja na Higer PF4 Lenye choo au bila choo Bei zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu Weka order yako sasa 📞 +255622726182 📍Magomeni Kanisani Stock ni limited
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wakuu vigae vya kuezekea Zanzibar ni nafuu? Huku bara bei kali sana 40,000?!

    Yaani kigae kimoja 40,000? Kwamba nikihitaji vigae 2,000 nalipa almost 80,000,000?! Nilitaka nimshauri huyu jamaa aagize China ila nikaona kwanini aende mbali. Mwenye kufahamu Zanzibar bei ya kigae cha bati sand coated bei gani.
  13. danhoport

    JamiiForums Tanzania Goodride: Je, ni tairi bora kwa barabara zetu au tunadanganywa na bei yake nafuu?

    Wakuu, habari za majukumu. Leo nataka tuguse mada ambayo kila mwenye gari itamfika tu—muda wa kubadili tairi. Kuna hii brand ya Goodride imetawala sana soko letu. Kila duka unalopita utaikuta, na bei yake ukiilinganisha na majina makubwa kama Michelin au Dunlop, utaona kuna utofauti mkubwa sana...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wapi Chimbo la Suti za Kishua kwa bei nafuu?

    Wakuu tunaopiga suti kali za kishua, tujuzane machimbo ya suti kali Dar Mwanza Arusha na kwingineko
  15. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nauza Mfumo wa Kusimamia stock, mauzo, manunuzi na kutunza ripoti zote za kifedha kwa bei nafuu sana

    Habari wanaJF, Hebu niulize swali la msingi kwa wamiiki wa biashara👇 Ukiwa nyumbani, safarini au nje ya nchi—unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi? Kama jibu ni hapana, basi biashara yako inaendeshwa kwa bahati, sio kwa taarifa. Kuna ukweli mchungu ambao wafanyabiashara wengi...
  16. warzone

    JamiiForums Tanzania Nauza bando za Halotel kwa bei nafuu

    Habari wakuu,karibuni niwauzie bando Kwa bei nafuu,Leo ninayo ofa nitakuuzia Gb 10 Kwa elf 8 tuu,kwa wasio amini ntakutumia bando ndio unilipe,karibuni Simu: 0625927098
  17. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Seti ya mikufu na hereni bei nafuu kabisa

    🌟 Seti za Mkufu & Hereni za Kifahari! 🌟 ✨ Ni nyepesi – hazina uzito ✨ Haipauki – inabaki kung’aa muda wote ✨ Ubora wa juu, wa kuvaa na vazi lolote! 📍 Arusha Town 🚚 Tunatuma mikoa yote! 💰 Bei: 23,000/= 📞 0712 350 159
  18. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Generator na vifaa vyote vya workshop kwa bei nafuu

    Uzi wa Generators na vifaa vyote vya mafundi mbalimbali kwa bei nafuu. Tupo kariakoo ndanda na muhonda Whatsapp/kawaida 0614228735
  19. Llio 002

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima na kufanya underground water survey kwa gharama nafuu

    Habari wana jamii forum,sisi ni wataalamu na wabobevu wa uchimbaji wa Visima vya maji kwa kutumia mitambo maalumu Tunachimba visima virefu na visima vifupi Pia tunafanya Underground water survey ili kufahamu kama eneo lako lina maji,kama yapo jee yapo umbali gani na wapaswa kuchimba kisima cha...
  20. Massenge1

    JamiiForums Tanzania Jipatie miche ya matunda na mbogamboga - gharama nafuu, ubora wa juu

    Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako. Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania. 🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!) Aina zinazopatikana...
Back
Top Bottom