Ushauri: Uombaji wa kozi vyuo vikuu Tanzania 2023/2024

carnage21

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
520
1,257
Habari wapendwa,

Naomba ushauri nina kijana wangu alimaliza A level mwaka jana ila ilishindikana kwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali.Alipata division 1.6 PCB na alipata B flat.

Naomba ushauri kijana akasomee kozi gan yenye potential kwa sasa pale muhimbili?
 
Udaktari wa binadamu wateja ni wa kutosha kwa sababu kila siku watu wanazaliana na kuongezeka , kila siku watu wanaugua na kila kukicha magonjwa mapya yanaongezeka na hakuna dalili kuuwa ipo siku magonjwa yatatoweka
 
Anaweza kusoma kozi ya udaktari vyuo vya private,japo ushindani ni mkubwa sana kwa sasa.Muhimbili itamsumbua.Kuna kozi pia nzuri kama Bachellor of radiology(mionzi),doctor of dental surgery.
 
Back
Top Bottom