kidato cha sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda akabidhi Vitabu vya Kidato cha Sita vya Elimu ya Dini ya Kiislamu (EDK), aipa kongole TET

    WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Tkenolojia, Prof. Adolf Mkenda amekabidhi Vitabu vya Dini ya Kiislamu (EDK) kidato cha Sita kwa Baraza Kuu la Waisalam wa Tanzania (BAKWATA), Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar huku akipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kufanikisha Vitabu hivyo. Waziri Prof...
  2. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Binti apotea baada ya matokeo ya kidato cha sita

    Binti mwenye umri wa miaka 19, Neema Phinias Eric (maarufu kama Anifa), mkazi wa Tarime Sirari, anadaiwa kutoweka nyumbani kwa dada yake alipokuwa amekwenda mapumzikoni tangu Siku ya Jumatatu, Julai 6, 2026, kufuatia kutoka kwa matokeo ya Kidato cha Sita. Neema, ambaye alikuwa mwanafunzi wa...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kuanzisha shule binafsi ya sekondari tazama kwanza matokeo ya kidato cha sita (ACSEE results) kwa shule za serikali

    Hii ni tahadhari kwa wajasiriamali wenzangu. Serikali kwa sasa inapambana hatua kwa hatua kuboresha shule zake hasa upande wa taaluma. Kufungua shule huku serikali ya CCM ikitoa elimu bure na kuendelea kuboresha shule zake ni kutaka kupoteza pesa zako. Wekeza kwenye kitu kingine. Sasa hivi...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Baada ya matokeo kidato Cha sita

    Kwa form six wanaohitaji kuomba vyuo na MIKOPO. Ukipata changamoto... Tuwasiliane nikusaidie Nitafute kwa 0623446608 au 0792715343
  5. idiomer

    JamiiForums Tanzania Una lipi la kusema juu ya ufaulu mzuri wa vijana kidato cha sita kwa miaka ya karibuni. Kuangalia haraka inaonekana point "3" kwa combi ya PMC hakuna

    Je ni hasa chazo cha ufaulu ? Teknolojia Aina ya mitihani Malengo ya wahisani Tiririka
  6. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya NECTA Kidato cha Sita 2026 | NECTA ACSEE RESULTS 2026

    NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2026 huku wakieleza kuwa, ufaulu umeongezeka. unaweza kuyatazama matokeo hayo kwa Kugusa Hapa. Baada ya kuona matokeo, unaweza kuuliza swali lolote hapa kwa usaidizi.
  7. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum: Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) 2026 Yametoka rasmi!.

    Tume ya Kitaifa ya Mitihani (NECTA) hivi punde imetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) kwa mwaka huu wa 2026. Tazama hapa: https://matokeo.necta.go.tz/results/2026/acsee/index.htm
  8. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani Taifa (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato Cha sita (ACSEE) 2026, leo 6.7.2026

    Taarifa rasmi kutoka kurasa za mitandao ya Baraza la Mitihani ya Taifa ( NECTA), ni kwamba litatoa taarifa ya Matokeo ya kidato cha Sita iliyofanyika mwezi May 2026. Katibu Mkuu ataongea na vyombo vya habari kuanzia saa 5:00asubuhi.
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Serikali irejeshe utaratibu wa wanaomaliza kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima

    Wakuu, Moja ya mapendekezo aliyoyatoa Chande leo wakati wa wasilisho lake
  10. Lighton

    JamiiForums Tanzania TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi. jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄 Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana...
  11. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Kisa vipande vinne vya mkate, niligomea Mahafalu ya TYCS kidato cha sita

    Habari wana jamvi...? Nikiwa high school pale mkoani Simiyu wilaya ya maswa MWAKA 2018 kuna tukio lilitokea na mimi kama kiongozi wa dini sikulipenda kabisa hii ilinifanya nikawa na mzozo na chair wa tycs wakati ule. Kwanza ifaahamike shule ile ilikuwa na O-level mixer na A-level ni boys. So...
  12. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa; Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu mkubwa wa kuwapa vijana waliomaliza kidato cha sita mwongozo wa kozi za kusoma chuoni

    Katika mazingira ya sasa ya elimu na ajira, vijana wengi waliomaliza kidato cha sita hukumbwa na changamoto kubwa ya kuchagua kozi sahihi ya kusoma chuoni. Wengi wao huchagua kwa kufuata mkumbo, ushawishi wa marafiki, au kwa kutokuelewa soko la ajira — jambo linalowapelekea kujuta baada ya...
  14. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo; Physics- D Chemistry- E Advanced Mathematics-E General Studies- D ( japo haina maana). Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kijana mhitimu wa kidato cha sita achukue kozi ipi

    KIJANA WANGU AMEHITIMU KIDATO CHA SITA NA KUPATA DIV II NAOMBA USHAURI KOZI IPI NZURI KATI YA HIZI ACHUKUE AMESOMA HKL (a) Bachelor Degree in Shipping and Port Logistics management (b) Bachelor Degree in Logistics and Transport Management (c) Bachelor Degree in Road and Railway Transport...
  16. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Nimesoma mbaka chuo kupewa mkataba nalazimishwa kutumia cheti cha kidato cha sita

    Baada ya kujitolea kufanya kazi kwenye taasisi fulani binafsi kwa miaka si chini ya miwili nimepewa mkataba. Nimelazimishwa kutumia cheti cha kidato cha sita wakati nina elimu ya chuo(degree) nimefadhaika kimtindo. Inaonekana watu wenye elimu kubwa kuanzia degree, masters na PhD kwenye baadhi...
  17. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Unawashauri nini wanafunzi ambao hawakufanya vizuri matokeo kidato cha sita 2025?

    Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya kidato cha sita 2025, wanafunzi wamepokea taarifa hizo kwa hisia tofauti. Wapo waliopata matokeo mazuri, yakawapa nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu, jambo ambalo limeleta furaha na matumaini mapya katika maisha yao ya kielimu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha sita 2025: Inaonekana almost wote wamefaulu, kutakuwa na shida kubwa ya University placement

    kama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1999 kuna gazeti liliandika “Ally Mayay apata yai mtihani kidato cha sita”

    Nimekumbuka mbali sana leo My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki Habari ile ilimtia simanzi,alishinda ndani analia tu,rafiki zake, John Mwansansu na Renatus Njohole wakamfanyia mchongo kwenda nje, kufika ubalozini akanyimwa ViSA Mwamba...
  20. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Kwani wanafunzi wakimaliza kidato cha sita ni lazima waende JKT? Kwani JKT ni lazima?

    Kuna orodha imetoka kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima. Hii hapa ipakue. Sasa nauliza kwani ni lazima?
Back
Top Bottom