wahadhiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Rais Museveni aagiza ongezeko la mshahara kwa wahadhiri wa masomo ya sayansi

    Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma. Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
  2. Boss la DP World

    Maprofesa na Wahadhiri wa Vyuo vya Tanzania ni bure kabisa

    Nilitegemea hawa wasomi wa ngazi za juu kujitokeza hadharani kutoa maoni yao kuhusu hiki kinachoendelea nchini, badala yake wanagugumia chini chini tu. Sasa ikiwa hawa watu wenye jukumu la kubrush akili za vijana wetu wanakuwa waoga kiasi hiki, vipi hawa wasomi wanaoingia mtaani kama matokeo ya...
  3. Cannabis

    Wabunge washtuka Wahadhiri wa Vyuo Vikuu kufungua bar, saluni

    Wabunge wameibua hoja sita katika mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2023/24. Hoja hizo ni miundombinu hatarishi shuleni na vyuoni, mwonekano mbaya wa vijana walioko vyuoni, kuongezeka kwa wanafunzi wanaoondolewa chuoni baada ya kufeli...
  4. OLS

    Prof. Mkenda: Ubora wa wahadhiri unapimwa kwa wingi wa machapisho

    Katika Mjadala wa ClubHouse wa kuhusu mageuzi ya elimu nchini, uliiongozwa na Gerson Msigwa na Waziri wa Elimu akiwa mzungumzaji, nimependa mambo mengi waliyozungumza kuhusu umuhimu wa tafiti. Katika hoja zilizotajwa kulikuwa na hoja ya kuwa na tafiti nyingi nchini, suala ambalo Waziri wa Elimu...
  5. georgeallen

    Wahadhiri kuomba kuongezewa muda wa kustaafu kutoka miaka 60 hadi 70

    Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70. Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao...
  6. Chikenpox

    Watu walio kwenye utumishi wa umma karibu wote ni vilaza ukitoa wahadhiri wa vyuo vikuu

    Hizi kazi za serikali ni kujuana tu na ukishapata hamna kazi inayofanywa huko na competence haiangaliwi kazini kwa sababu hakuna mtu wa kuwaangali ukilinganisha na private sector ambapo results oriented. Utakuta mtu ni HR kwenye let say chuo kikuu Cha umma au chuo kama TIA lakini hajui lolote...
  7. T

    SoC02 Wahadhiri wa Elimu ya juu na Matumizi mabaya ya ratiba za masomo

    WAHADHIRI WA ELIMU YA JUU NA MATUMIZI MABAYA YA RATIBA ZA MASOMO. UTANGULIZI; Kwa kawaida, miaka ya masomo kwa elimu ya juu huwa ina mihula miwili yaani muhula wa kwanza na wa pili wa masomo. Wahadhiri wengi wamekuwa wakitumia vibaya muda uliowekwa wa masomo na hivyo kupelekea malimbikizi...
  8. Mwanamaji

    Nafasi za kazi wahadhiri chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

    Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo. Tangazo la ajira ni kama ifuatavyo:
  9. GENTAMYCINE

    Wahadhiri wa SUA tafadhali ongezeni 'Msuli' kwa Wanafunzi wenu kwani 'Wanazagaa' mno 'Mitaani' Morogoro na 'Vichwani' ni Watupu

    Haiwezekani iwe ni Asubuhi, Mchana na hasa Usiku unakutana nao tu barabarani na katika Vilinge vya Starehe wakati nijuavyo kwa Vyuo Vikuu serious kama changu Takatifu na Tukuka cha SAUT Mwanza, Mzumbe, Tumaini na UDSM kwa Msuli walionao huwezi kukuta Wanafunzi wao wanazagaa hovyo kama Mbuzi wa...
  10. Joe Miles

    Tatizo la baadhi ya Wahadhiri kuomba rushwa ya ngono. Je, suluhisho ni nini?

    Habari zenu wana JamiiForums Naomba kuuliza ama kutoa dukuduku; hivi kwanini baadhi ya Wahadhiri wa vyuo haswa Wahadhiri wa kiume wanakuwaga na tabia ya kuwadhalilisha wanachuo wa kike kingono sana, tena haswa linapokuja suala la mitihani na kutafuta courseworks Unakuta msichana/mwanamke...
  11. B

    Zambia: Mwanafunzi wa chuo akiri kuwaambukiza Virusi vya UKIMWI wahadhiri zaidi ya 50

    Yamewakuta huko University of Zambia (UNZA). Bila hiana kila mhadhiri aliyependa, kwa raha zake, yumkini sasa kaunganishwa vilivyo kwenye grid ya taifa la huko. Hii ndiyo Afrika sekta zote ni uozo na tungetaka kusiwe na VETO UN au kama vipi iwe zamu yetu sasa. Pana kitu na Uafrika wetu hakipo...
  12. kukumsela

    Ukiwatoa wabunge, Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma ndio wanalipwa mishahara mikubwa

    Mwalimu wangu profesa mmoja akiwa anatoa mhadhara alisema yeye anazidiwa mshahara na mbunge pekee tofauti na hapo hakuna kada nyingine hapa Tanzania yenye mishahara minono. Mwisho mwalimu(profesa) akatushauri tusome kwa bidii tufanye kazi katika vyuo vikuu ili tupate ujira mnono(mlima)
  13. F

    Upungufu wa Wahadhiri Vyuo vya Elimu ya Juu

    Taarifa kwamba taasisi za kitaaluma za elimu ya juu zinakabiliwa na upungufu wa Wahadhiri inastua sana na kuhitaji ufumbuzi kwa kasi ya mwendo wa mwanga. Binafsi nafikiri tatizo hili limesababishwa na uamuzi wa serikali ya awamu ya tano kutumia rasilimaliwatu hawa kwa kuwaondoa vyuoni na...
  14. B

    Tahadhari uhaba wa Wahadhiri vyuo vya elimu ya Juu Tanzania

    20 October 2021 Dar es Salaam. Vyuo vikuu vya ndani vinakabiliwa na upungufu wa wahadhiri wenye sifa, kwa mujibu wa wakuu wa vyuo. Siri hiyo imefichuliwa wakati wadau wa elimu wakieleza wasiwasi kuhusu ubora wa wahitimu hapa nchini. Akizungumza katika mkutano ulioikutanisha Serikali, makamu...
  15. K

    Tetesi: Inadaiwa UDOM imekosa hela za kulipa posho za wahadhiri

    Juzijuzi Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipohojiwa alisema hivi karibuni watamwaga pesa nyingi mtaani. Sasa badala ya pesa kumwaga sasa hata za kulipa watu zinakosekana. Taarifa zilizopo ni kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma hakina pesa. Kukosekana kwa pesa kumesababisha wahadhiri wasipewe posho...
  16. M

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na mishahara ya Wabunge na Wakurugenzi Mashirika ya Umma

    Habari wana bodi, nimekuwa nikisoma baadhi ya articles zinazo ongelea mchango wa vyuo vikuu marekani katika uchumi wa taifa hilo especially kutengeneza innovators "silicon valley". Kwa kiasi kikubwa maendeleo ya taifa la marekani yamechangiwa sana na innovations zinazofanywa na taasisi zake za...
  17. E

    Wahadhiri waliostaafu na kuajiriwa kwa mikataba ni kero vyuoni

    Kuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA akibebee vitabu, vingine vinajigamba eti katika somo lake hawajawahi kugraduate watano, wakijitahidi...
  18. Hero

    Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu. Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la! Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme...
Back
Top Bottom