upanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Dola bilioni 2 za DP World zaidhinishwa kufanya upanuzi wa Bandari ya Msumbiji

    Bandari ya Maputo, Msumbiji Msumbiji imeidhinisha mkataba mrefu kwa DP World Ltd., Grindrod Ltd. na watoa huduma wengine wa bandari kubwa zaidi nchini mwake, ikiwa ni pamoja na upanuzi wa dola bilioni 2 utakaosababisha kuhamishwa kwa mizigo kutoka miundombinu ya biashara iliyochakaa ya Afrika...
  2. C

    Upanuzi wa barabara Mbeya ungeanza na maeneo yanayoua wananchi

    Naipongeza juhudi inayofanywa na serikali kupanua barabara kuu Mkoani Mbeya. Lakini najiuliza ni kwa nini wajenzi wameanza na maeneo yasiyo na matukio ya kupoteza maisha ya wananchi? Binafsi labda kama kuna sababu za kiufundi nadhani ujenzi ungeanza na maeneo hatarishi ambayo kila mwaka...
  3. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile Akagua Upanuzi wa Bandari ya Pangani, Bandari ya Kipumbwi na Bandari ya Mkwaja Zilizopo Pangani

    Naibu Waziri Kihenzile Akagua Upanuzi wa Bandari ya Pangani, Bandari ya Kipumbwi na Bandari ya Mkwaja Zinazotumika Kusafirisha Ndani na Nje ya Nchi Bidhaa za Mifugo, Saruji, Mbao "Nikiwa nimeambatana na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Mhe Zainab Abdallah tumetembelea Ujenzi (upanuzi) wa Bandari ya...
  4. B

    Prof. Makame Mbarawa - Upanuzi wa Airport za Arusha, Lindi, Mwanza pia mwekezaji gati namba 8 bandari ya DSM apatikana

    08 December 2023 Arusha, Tanzania 16th Joint Transport Sector Review Meeting Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI /...
  5. JanguKamaJangu

    Waziri Bashungwa awataka waliojenga Barabarani kubomoa nyumba zao kupisha upanuzi wa barabara

    Waziri wa ujenzi Innocent Bashungwa amewataka wananchi wote waliojenga ndani ya hifadhi za barabara katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kuanza kujiandaa kisaikolojia na kuondoka wenyewe kabla ya serikali kuanza kubomoa ili kupanua ujenzi wa barabara. Bashungwa aliyasema hayo wakati wa ziara...
  6. GENTAMYCINE

    Kipindi chote Wapendwa Wetu Wanazikwa hapo Mamlaka haikujua kuwa mbeleni kutakuwa na Upanuzi wa JNIA?

    Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo Kata ya Kipawa Dar es Salaam yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kwa sasa, usajili wa ndugu unaendelea ili kufanikisha shughuli ya kuyahamisha. Chanzo: azamtvtz Kwa tuliowahi kuishi Ilala na wale ambao...
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA). Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
  8. T

    Kwa ufaulu huu kidato 6, 2023. Bila upanuzi vyuo vikuu ni Div one tu wataingia vyuo vikuu

    Matokeo ya kidato cha sita 2023. Karibu shule zote daraja lenye idadi kubwa ya waliofanya vizuri ni daraja la kwanza ( Division one). Kwa matiki hiyo mambo yafuatayo yanaweza kujitokeza; 1. Kama vyuo vikuu vitachukua wanafunzi kulingana na uwezo wake kama miaka ya nyuma ni dhahili kuwa...
  9. Dr. Zaganza

    Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Ya Nywele

    NATURAL SKIN SOLUTION IMANI YETU Tunaamini kazi kubwa ya msimamizi wa biashara (CEO) ni kuunganisha sera, mipango , rasilimali pamoja na miundombinu kuhakikisha biashara inapata faida kubwa kwa kadri inavyowezekana Katika kufikia lengo hili , CEO atajikita kufanya maamuzi ya aina mbili; Moja...
  10. BARD AI

    Mbunge acharuka Tsh. Bilioni. 64 kutafunwa ndani ya siku 1

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Judith Kapinga, ameliibua bungeni sakata la kutafunwa Sh. bilioni 64.3 kwenye Bandari ya Tanga baada ya kutolewa kwa zabuni iliyogubikwa na utata, akitaka hatua zichukuliwe dhidi ya wahusika ili kuongeza uwajibikaji. Judith aliibua hoja hiyo jana alipochangia...
  11. kimsboy

    Upanuzi wa Barabara ya Mwenge haukuwa na faida yoyote ile, foleni iko palepale

    Kiukweli, upanuzi wa barabara ya Mwenge haukua na maana yoyote ile foleni iko palepale. Nashindwa kuelewa hii nchi yetu inaongozwa na watu wenye utimamu wa maamuzi. Pale Mwenge kungejengwa roundabout labda ingesaidia kupunguza foleni lakini yale mataa ni bure kabisa Gharama zilizotumika pale...
Back
Top Bottom