TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026.
Taarifa hiyo ilikuwa inasema pamoja na mambo mengine kuwa, Serikali imepanga kumuua Mhe. Lissu kwa risasi...
Napita mitandaoni nasikia wanasema kamanda n msaliti sasa kama n msaliti wala haina shida Basi aende yeye AKAFUNGWE had hapo haki itakapo patikana
Hiv LISU harakat hz ameanza Leo mmesahau Zile risasi alizopigwa akiipigania nchi Leo hamuoni haya
Mtu yupo kwake familia yake inafuraha anataka...
Nina mdogo wangu wa kiume kapata dvn 1.7 sasa hatujajua achague chuo gani. Yeye hataki kwenda advance..
Anapenda mambo ya computer ila sasa hatujui computer imegawanyika vipi na ipi ni nzuri zaidi.
Pia je mwanafunzi anayetokea o level anaweza pata mkopo?
ipi course nzuri ya computer...
Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu.
Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela
alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
Kwa kweli Mama mikumi tena. Dogo anasema Weekend kesho tutamtafute yeye kuanzia Biriani mpaka wale walevi Mkojo wa Shetani. Mimi allahamdulilah sinywi vitu kharamu ila najua kaka yake mjaa laana kesho atakunywa sana.
Naambiwa mapolisi walio mafunzo pia wamepewa nguo za kiraia na kuingiziwa...
Wakina ndugu Lissu aachiliwe aende zake nyumbani baada ya hapo maridhiano ya kitaifa tujadiliane na kuwa na muafaka wa pamoja, muafaka ndio inawekaga kusemana kweli na kisha tuambiane rekebisha hiki rekebisha kile na twende kwenye uchaguzi Amesema Polepole
Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi.
Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering
Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
Kwan wana ndoa wapya kwa siku mnaenda round ngap? 2 au 3?
Mbona mwenzenu amepata mke anataka round 20 kwa siku?
Afanyaje?
Mshaurini?
Ila binti wa kwa Yesu unataka round 20 aje sasa? Au alikuwa hajaokoka binti wa watu?
Huenda kuna Move inatengenezwa ndani ya CCM na sisi hatuna habari tuna shangilia tu bila tahadhari yoyote ile. Swala la Gwajima ni kulishangilia kwa tahadharu kubwa sana.
Swala la GWajima huenda ni systeam ndani ya CCM na Serikali wana itengeneza ila Gwajima atoke kwa kufukuzwa au kujidhulu na...
WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada.
Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI.
TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati...
Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya.
Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6,
Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki.
Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba
Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU.
NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO.
Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia, anapaswa kukutana na Samia kama atatia nia, maana ile siasa yake na siasa ya Chama chao ni CCM level ya...
Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election"
Katika...
Habari za majukumu ndugu zangu hapa JF,
Leo ninafuraha na amani tele kweny moyo wangu baada ya kuchukua maamuz ya kuachan na bint nipiyetaka kumuoa ila baada ya kujua madhaifu yake ni mengi kuliko uwezo Wang
NIlikuja kuomba ushaur humu na kunajambo jipya lilikuja kweny akili yang na nikachukua...
Wanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu.
Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara). Upande wa halmashauri Mshahara haufikii hata Gross ya 1M ila upande wa wakala anapata Gross ya 2M...
Habarini,
Nimewaza kwa mfano itokee system ya kugundua na kuthibitisha makosa yaliyofanywa na watu wote nchini walio above 18, ambayo adhabu zake zimeainishwa kwenye penal code k.v
1)Kufanya mapenzi na wanafunzi
2)Ulawiti/kulawitiwa/sexual indecency
3)Forgery
3)Kuzini na maharimu
4)Wizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.