wabongo

Wabongo is a village in the Lobaye region in the Central African Republic southwest of the capital, Bangui and near the border with the Democratic Republic of the Congo.
Nearby towns and villages include Babassoua (2.2 nm), Bogboua (2.0 nm), Bohomandji (1.0 nm) and Bokanga (1.4 nm)
.

View More On Wikipedia.org
  1. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Wabongo hawana ubunifu kwenye biashara zao na maisha kwa ujumla

    Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality. Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi yuko Sehem sahihi? Unaingia kula chakula sehemu meza hazijapangiliwa, maji ya kuna wa mtu kaweka...
  2. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Kutoka 'Boss' Kwenda Kebehi: Mbona Heshima Hupungua?

    Moja ya kitu ambacho sisi wabongo tunajua vyema ni kumnafikiana.. Utakuwa kama mtu hakujui vyema, atakuita majina kama, boss, kiongozi, mkuu, kamanda.. And so forth.. Ila baada ya ku kujua au kuku friendzone utaanza kusikia inaitwa vitu vya ajabu, mara, yaani ukaribu ni kama kigezo cha ku...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Wabongo na michezo kwa afya zao, na mambo muhimu yanayoweza fanyika hodpital kuokoa jahazi la daz

    Kuna kitu tunahitaji kuelewana hapa. Mgonjwa anaingia maabara a.k.a hospital za kitaa, kabla hata hajamweleza vizuri Mpimaji aka daktari wa kitaa tatizo lake, tayari ameshajipangia: “Nipime mkojo.” “Nipime malaria.” “Nipime damu.” “Nipige X-ray.” 😂😂 Halafu unakuta anapima mkojo, majibu...
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

    Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala. Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
  5. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Jitoe Ufahamu: Njia ya Kuwashinda Wafilisti

    Baada ya kumsema mtu kwa mabaya akianza kung'ara wanaanza kukaa kimya Nimefatilia sana ile issue ya juma jux.. Ila nikajifunza kitu kimoja kikubwa sana, na hata mondi(japo simjubali) aliweza kujua kukitumia.. Ni kutumia maneno ya watu kama Kiki ya wewe kufanya makubwa... Jux katoa bonge la...
  6. min -me

    JamiiForums Tanzania Wabongo na uwajibikaji vs lawama

    Wabongo wengi tunapenda penda lawama sana , kuliko uwajibikaji, kwa mfano mfupi tu angalia hata humu JamiiForums . Kuna nyumbu kazi yao ni kulalamika nyuzi ya jf kwa sasa zimekua za kijinga, ila ukiangalia hawana mchango wowote wa maana wa kuleta nyuzi makini . Watu wa aina hii ndio...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kutusomea Password ya WiFi kwenye mabasi; wabongo tunapenda kujipa kazi

    Wabongo tunapenda sana kujipa vitengo na hekaheka zisizo na msingi. Imagine mwanadada anajipa kazi ya kutusomea password halafu abiria tunaacha kila kitu tunabaki kusikilizia kwa makani Password. Ya nini yote hayo?! Si angebandika tu hiyo password kwenye maeneo kadhaa kwenye kuta za basi...
  8. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Je tutegemee maajabu hapa au ndo janja janja za wabongo

    Nimekutana na hili tangazo kua hawa watu wa Uhuru Market wame partner na Posta kufanya delivery nchi nzima, vipi kuna aliyewai kutumia huduma zao.
  9. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania BSS 2026 grand finale wabongo wengi wame underperform round 1 ni vile tu mcheza kwao hutuzwa....

    Sherida ... Zacksoul... Wame UNDERPERFORM ila ni vile wabongo tunabebana.... The only good performer ni Samalerah this Round 1 na Comedian wa Mbeya kidogo na so fire.... Ila S2Kzy eti kingereza Chake Cha you are good perfom nyie....
  10. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watanzania wakiulizwa Swali hujibu kwa Swali?

    Nauliza tu...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Trend ya Wabongo kuiga maisha ya Movie za 70s na 80s na kufanya ndio maisha yao bora kwa sasa

    Nacheka na inashangaza kuona namna wabongo wengi kwa sasa badala ya kuiga maisha na megacy za machifu au wazee wa mila wao wanaiga maisha ya miaka ya 70s au 80s ya walami. Karibuni kwa mjadala
  12. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wabongo tunaamini kazi za kukaa ofisini ndio kazi zenye Pesa?

    Yani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza...
  13. haszu

    JamiiForums Tanzania Japo kisheria hairuhusiwi ila naomba niulize, Kwanini sasa hivi hakuna video za ngono za kawaida za wabongo?

    Nilipita twitter nikakuta mtu ame tweet kwa ku list account zinazotuma mauthui ya ngono, nikasema ngoja niangalie kidogo. Sasa cha ajabu, account zaidi ya nne, video ni nyingi sana na ni za watanzania ila zote, wanacheza mapenzi kinyume na maumbile, yani zote. na sio kua ni madangulo, wengine...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania BYD Shark 6: Wabongo hawataki Masihara, Mil 170+ kabla ya TRA sio poa!

    Walivyofungua dealership ya kuuza 0 km kuna watu wakajua watafeli. Ila naona vyuma vinatoka. Hii Shark 6 inakuja kupambana na kina Navara, Hilux au Ranger. Ila yenyewe ni PHEV, ina engine ya cc 1500 au 2000 kwa performance, zote turbo i4. Kwa umeme peke yake unaweza kwenda km 85 ila kwa...
  15. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Wabongo tunasumbuliwa na roho fulani

    Naam hii ni aina ya roho chafu. Nitajaribu kutoa mifano kidogo
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati wabongo walitaka kutuaminisha na hii kauli "hata hao wazungu wana uchawi wao"

    Acha uvivu, acha ushirikina. Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto. Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika. Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku. Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi. Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia...
  17. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Programmers wabongo tukutane hapa tubadilishane mawazo.

    Hello programmers, Tujuane kwa: • Skills zetu • Tech stack • Years of experience • Fursa zilizopo hasa hapa bongo. 🫴🫴Uwanja ni wetu.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wabongo Jengeni Tabia Ya Kusoma Vitabu Muongeze Maarifa, Maudhui na Uwezo wa Kufikiri

    Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wabongo hili la tamaa na wizi halitujengi, linatuchafua

    Binafsi ni mtumishi wa serikali, katika kupambana na kujiongeza nilijaaliwa kuwa na mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kwa sababu ya muda kuwa limited ikanibidi kuwa na mtu wa kuendesha mradi huu awali nilisimamia mwenyewe kwa takribani siku 18 baada ya kuwa likizo sasa siku za likizo zilipo...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabongo hawaweki wazi bei ya bidhaa zao mitandaoni?

    Nimeona huku Twitter watu wanalalamika. Hili pia nimeliona sana mtandaoni. Shida nini?
Back
Top Bottom