sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
 1. N

  Hili la ushuru wa mazao kwa mkulima wa mikoa ya kusini halipo sawa.

  Ndg wanaforum nmiona nlilete kwenu swala linalohusu mkulima kutozwa ushuru wa mazao hata ikiwa gunia moja wakat anapita geti la ushuru atokapo shamba kwenda kuhfadhi mazao yake, Ni Jambo lilonitia hasira Sana kutokana na matamko ya viongozi wakubwa wa nchi yetu kuwa ni marufuku kulipa ushuru kw...
 2. Nehemia Kilave

  Nadhani kuna kitu hakiko sawa huyu sio Ahmed Ally tunaemjua

  Kwa wale wataalamu wa body language na video analysts. Kwa namna UVCCM inavyotamkwa na muonekana wa uso na matamshi yanayotamkwa vinatia shaka sana kama ni maamuzi ya Ahmed . Tusifike huku , tuache vitendo na matokeo vijitangaze .
 3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

  Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

  Wakuu Bwana ni mwema!! Maandiko yanatuambia ya kuwa👇👇Mwanzo 11:1-7 (KJV) Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja. Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko. Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa...
 4. C

  Je ni sawa kuagiza cheti kipya Cha kuzaliwa kama Cha mara ya kwanza kimekosewa?

  Habari Wana JF cheti changu Cha kuzaliwa kimekosewa spelling tu kwenye jina la baba na ukoo sasa nauliza ni sawa nikiagiza cheti kipya au ni mpaka nifate taratibu za kubadili? Maana Niko mbali na nilipochukulia cheti na taratibu zinasema niende nilipochukulia
 5. Mlalamikaji daily

  Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

  Leo tena nimekuja kulalamika, Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini? Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake? Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science, Sawa. Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi? Shule ni zile zile, Wanafunzi wale wale, Tena wakifika...
 6. hermanthegreat

  Sio lazima uende Chadema ili kuwa mpinzani , jipenyeze kwenye mifumo yao kama Magufuli halafu badili uliyokuwa unaona si sawa

  Kwa nature ya watanzania ni ngumu sana kufanikisha lengo lako la kubadili mambo unayoona si sawa kwenye serikali Tofauti na Kenya ambapo wana umoja unaounganishwa na ukabila na factors zingine hivyo ukipinga ukiwa Kenya basi hauko peke yako. Work smart , jiunge na Chama tawala , chezesha...
 7. I

  KIKUU mnachofanya sio sawa, bahasha tupu halafu mmesepa na 28,000 yangu

  Nimeagiza mzigo mdogo tu ili nipate experience ya Kikuu na niwe naagiza mara kwa mara. Matokeo yake nimeletewa bahasha yenye kibahasha kidogo ndani na haina kitu. Aliyeleta anasema yeye anafikisha vifurushi tu na hausiki kwenye kupakia au kufunga mizigo hivyo n iwasiliane na hao Kikuu...
 8. J

  SoC04 Tutengeneze sheria ambazo zitaifanya mihimili mingine iwe na nguvu sawa na mhimili wa serikali

  Kama nchi tumekuwa na taratibu nyingi sana ambazo zinafanyika nje na taratibu hasa na mhimili mkuu wa serikali lakini mihimili mingine(bunge na mahakama) havina meno ya kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi ya kufanya vitu kulingana na makubaliano na muktadha wa sheria. Mfano tuwe na...
 9. KENZY

  Sawa na kutokuwa sawa inategemea upo wapi

  Ishi kwa kutumia akili usishupaze sana bichwa utaumiza shingo!.. Pima unapotakiwa ukae kimya na unapotakiwa uongee! Hata kama unachoongea/fanya kipo sawa kinaweza kisiwe sawa na ulionao au ulipo!. Ishi kwa kuzingatia sheria za asili/mazingira.
 10. GENTAMYCINE

  Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

  "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
 11. Kaka yake shetani

  Balozi za Tanzania kutakiwa kuwa na makazi ya kudumu na siyo kulipa kodi ni sawa?

  Kwa safu ya mama aliyopo nayo wengi wao wamekuwa wakilalamikiwa bungeni na wananchi kiujumla kuhusu ufisadi na utendaji wao kwenye wizara. Nilimsikia waziri January Makamba kuhusu balozi zetu zilizopo zimekuwa zikighalimu pesa kwa ajili ya kupangisha eneo kwa ajili ya balozi zetu. Wazo la...
 12. Webabu

  Alichosema Netanyahu ni sawa na anayosema Zelensky na ni kukiri kuwa Israel haiwezi tena kupigana na Hizbullah.

  Hapo jana Benjamin Netanyahu,waziri mkuu wa Israel amemlalamikia raisi Biden wa Marekani kwamba amezuia shehena ya silaha tangu mwezi Mei na hiyo ndiyo sababu ya kudorora kuipiga Rafah ili kufikia malengo. Kwenye video fupi ya malalamiko hayo Netanyahu amejipa moyo kwamba katika ziara ya karibu...
 13. GENTAMYCINE

  Hivi nyie Uongozi wa Simba SC mna Akili sawa sawa Kweli? Sasa Waziri Junior 'Shentemba' wa nini Simba SC yetu?

  Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa nimemuuza 'Kisela' klabu moja akaanze kucheza Timu yao ya Vijana ila najua kwa Kipaji chake Msimu ujao...
 14. Reuben Challe

  Samsung: Hii kampuni inachofanya ni sawa kweli?

  https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19 Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung Galaxy S24 series na collection ya AI features kwenye S24 series Samsung akaamua kuiita "Galaxy AI"...
 15. D

  Mtu kutokuwa na harufu ya jasho au mdomo ni sawa?

  Nimeona jambo Hilo kwa mtoto mwenye miaka kama nane hivi. Wataalamu wa miili ya watu embu mtusaidie, Hali hii hutokana na Nini? Na Je sawa? Kama si sawa ni Nini kifanyike?
 16. Kaka yake shetani

  Sawa ukifungwa mtandao X na viongozi wenu wa ccm na serikali wata kuwa wanapost wapi?

  Hii nchi bwana yani hawa ccm na watu wengine wanao shabikia kufungwa mtandao waulize kama raisi wao ana account JF. mtandao X ndio mtandao umebeba viongozi wengi wenye account kuliko mitandao mengine. Hivi nyie chawa wa ccm na uvccm mnajitafakari au mnataka kujiona mna akili
 17. Juma jaibu kuhanga

  SoC04 Elimu ni sawa na kushika kiwembe

  Elimu ni ufunguo wa maisha kama walivyosema wadau wa kale katika harakati za kuboresha na kushawishi upatikanaji wa maarifa na ujizi kwa njia ya shule. wazee wetu walipoambiwa elimu ni bora hawakusita waliuza hadi mashamba ili na sisi wanao tuweze angalau hata kuonja elimu bora iliyo na mfumo...
 18. Tiger B

  Kuna jambo haliko sawa mwilini mwangu, lakini madaktari wanalichukulia poa

  Umuofia kwenu Wakuu. Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo. Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells...
 19. Shuku_

  Je, Mungu wa waislamu na Mungu wa Wakristo ni sawa?

  Habari zenu wasaka tonge. Nimefungua uzi huu ili tujuzane ukweli juu ya jambo hili. Je! Mungu anayeabudiwa kati ya WAISLAMU na WAKRISTO ni mmoja? Yehova vs Allah = 1 ?
Back
Top Bottom