Ni vipi vyuo bora kwa diploma ya pharmacy Dar es salaam

Surveyor_1

Member
Jan 2, 2022
48
29
Wakuu habari za jioni.

Miezi kama mitano iliyopita nilikuja kuomba ushauri wa kozi ya kusoma nikapata michango mingi ya wana JF niwashukuru sana kwa hilo.

Kiujumla nimedhamiria kusoma diploma ya pharmacy na nilikuwa nataka kusoma MUHIMBILI.

Leo nimeingia website ya NACTE kufanya maombi lakini kwenye kuchagua chuo Muhimbili hakikuepo ikabidi nistop hapo.

Nimedhamiria kuwapigia NACTE kesho kuwauliza ndio likanijia wazo la kupita nyuzi za JF za nyuma.

Kwa niliyoyasoma nadhania itakuwa round ya kwanza ishajaa.

Sasa nina mashaka kama round zilizobaki ntapata. (Bila kusahau alama zangu PCB ni AAA - japokuwa nilihitimu form 4 muda kidogo)

Ndio maana nahitaji msaada wenu wana JF juu ya vyuo vingine vizuri vya AFYA kwa DAR kama plan B.

NA PIA KAMA KUNA MWENYE MAELEKEZO YA ZIADA PIA KIUJUMLA NITASHUKURU SANA.
 
Wana JF mpo kimya sana,wenye kufahamu mchango wenu unahitajika
 
Mbna kama umechelewa Diploma ya Famasi muhimbili Maana nafasi zimejaaa , aplai kwa kufata link hii hapa
 
Shukran kwa maelekezo

Hii website ya Muhimbili nilishajaribu lakini hakukuwa na option ya pharmacy kulikuwa na optional tatu tu.

Nilipowapigia wakaniambia natakiwa kufanya maombi kupitia Nactevet,lakini nako kwenyewe nilipofika hatua ya kuchagua chuo sikuona Muhimbili nilipowapigia kuwauliza wakasema kimejaa.

Nikawauliza kama round zinazofata (3,4,5) kutakuwa na nafasi Muhimbili sikupata majibu
 
Attachments

  • Screenshot_20230724_111459_Chrome.jpg
    Screenshot_20230724_111459_Chrome.jpg
    45.5 KB · Views: 19
Wakuu habari za jioni.

Miezi kama mitano iliyopita nilikuja kuomba ushauri wa kozi ya kusoma nikapata michango mingi ya wana JF niwashukuru sana kwa hilo.

Kiujumla nimedhamiria kusoma diploma ya pharmacy na nilikuwa nataka kusoma MUHIMBILI.

Leo nimeingia website ya NACTE kufanya maombi lakini kwenye kuchagua chuo Muhimbili hakikuepo ikabidi nistop hapo.

Nimedhamiria kuwapigia NACTE kesho kuwauliza ndio likanijia wazo la kupita nyuzi za JF za nyuma.

Kwa niliyoyasoma nadhania itakuwa round ya kwanza ishajaa.

Sasa nina mashaka kama round zilizobaki ntapata. (Bila kusahau alama zangu PCB ni AAA - japokuwa nilihitimu form 4 muda kidogo)

Ndio maana nahitaji msaada wenu wana JF juu ya vyuo vingine vizuri vya AFYA kwa DAR kama plan B.

NA PIA KAMA KUNA MWENYE MAELEKEZO YA ZIADA PIA KIUJUMLA NITASHUKURU SANA.
Diploma ya pharmacy (nursing&lab) kwa MUHAS siku hizi haiko chini yao, iko chini ya wizara..so unaomba wizarani wao ndio wanakupangia.
 
Back
Top Bottom