upatikanaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya aagiza kasi upatikanaji wa hati za ardhi sasa kupatikana ndani ya saa 48

    ★ Aelekeza kuanzishwa Kliniki ya Upimaji wa Mashamba ★ Awasisitiza wawekezaji kuendeleza maeneo yao kuepuka migogoro Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema kipaumbele cha Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi ya utoaji wa hati za miliki za ardhi ili...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya ardhi kahama yarahisisha upatikanaji wa hati

    • Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijitali wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi. Wito huo umetolewa na Afisa...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya ardhi Kahama yarahisisha upatikanaji wa hati

    • Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijiti wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi. Wito huo umetolewa na Afisa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, 28/09/2026

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, fuatilia mijadala mbalimbali katika kuadhimisha siku hiyo... Ernest Sungura Pia soma ~ Kuelekea Maadhimisho ya IDUAI 2026: Unapataje Taarifa Sahihi katika enzi hizi za Kidijitali? “Changamoto yetu si uhaba wa taarifa, kwani...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo

    Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni. Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi Daraja hilo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Lindi yatakiwa kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa hati ya ardhi Kampasi ya UDSM - Lindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi kwa ajili ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
  7. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Huu sasa ni wakati wa Baraza la Mitihani(NECTA)kuanzisha huduma za online za upatikanaji wa vyeti.

    Kutokana na kukua kwa Teknolojia ni vyema pia hata baraza letu la mitihani(NECTA) likaanzisha huduma za online hasa kwa wahitimu wa miaka ya nyuma kuweza kujipatia vyeti vyao. Hapa kuna makundi mengine ya waliopoteza vyeti, kuharibikiwa n.k. Baraza lianzishe utaratibu huo kwa kuwa utaratibu...
  8. Mmole Mix Shop

    JamiiForums Tanzania CHWs wa Ruangwa Tunaomba Ufafanuzi Kuhusu Malipo ya Posho na Upatikanaji wa Vifaa vya Kazi

    Ndugu wanajukwaa, Naandika ujumbe huu kwa niaba ya baadhi ya Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, ili kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto zinazotukabili katika utekelezaji wa majukumu yetu. CHWs tumekuwa tukifanya kazi kubwa ya kuelimisha jamii kuhusu afya...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Nchi yetu imeendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa Mafuta

    Akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2026/2027 Bungeni Dododma leo Aprili 22, 2026, Waziri wa Nishati nchini, Deogratius John Ndejembi amesema; "Nchi yetu pia imeendelea kuwa na uhakika wa upatikanaji wa bidhaa ya mafuta ya petroli; yaani petroli, dizeli, mafuta ya...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Kituo cha Umeme Mkata kuboresha upatikanaji wa Nishati

    Mradi wa Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mkata wenye thamani ya shilingi bilioni 50 unalenga kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika, kuboresha huduma za nishati kwa wananchi na kuchochea maendeleo ya shughuli za kiuchumi mara utakapokamilika.
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia changamoto ya upatikanaji wa mafuta duniani kama fursa muhimu ya kuelekea kwenye uzalishaji na matumizi ya gesi asilia

    Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji. Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima kama hii ya chanagamoto ya uhaba wa nishati ya mafuta kama ambavyo imeiathiri na kuihangaisha dunia...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aagiza uchunguzi wa mfumo wa upatikanaji wa dawa hospitalini

    WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI ▪️Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali ▪️Aonya utapeli wa ardhi za vijiji ▪️Akemea wakandarasi wanaolipwa fedha za miradi lakini hawawalipi mafundi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tujali kuhusu upatikanaji na uwezo shuleni na maishani?

    I am Kisaka Kyande, and this is my very long report on accessibility and ableism. Accessibility is one of the most important issues in the history of Canada. According to Municipal World, they say that the population of disabled people in Canada is increasing. The article says, “Statistics...
  14. Pakome

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Njoo tupate elimu juu ya uhalisia wa hatua za mchakato wa upatikanaji wa mgombea ubunge na udiwani ndani ya CCM

    Salaam Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani. Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA mjifunze demokrasia hii ya CCM upatikanaji wa wagombea

    Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote. Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani...
  17. Outsiders

    JamiiForums Tanzania Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Mfumo wa anwani za makazi umekua changamoto kwenye kufanya application za HESLB, changamoto tunayokutana nayo nikama ifuatavyoo; 1. Mfumo unataka taarifa za mmiliki wa eneo(Nyumba) husika,, hii imekua kikwanza kwa wazazi wanaoishi kwenye nyumba za kupanga. 2. Watendaji wa Kata hawapo oriented...
  18. princeNathan

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa volunteer au kazi

    Rejea na kichwa cha habari hapo juu mimi kijana wa miaka 28 nina level ya masters degree ya computer science nikiwa nimemaliza mwaka 2025 nipo hapa kuleta jukwaa langu sina expirience ya kazi ila nina jua vitu kama vile mobile application , Machine Learning , Data analyst , DeepLearning nk...
  19. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ukataji wa miti sasa basi, REA yarahisisha upatikanaji wa gesi vijijini

    UKATAJI WA MITI SASA BASI, REA YARAHISISHA UPATIKANAJI WA GESI VIJIJINI Imeelezwa kuwa, mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku katika maeneo ya vijijini na pembezoni imelenga kuchochea, kuwezesha na kuboresha upatikanaji wa huduma za nishati safi ya kupikia ili kuchochea...
  20. S

    JamiiForums Tanzania VIBALI VYA BIASHARA YA TUMBAKU TANZANIA, na upatikanaji wake.

    habari ndugu zangu. naomba kujua vibali vinavyohitajika hapa Tanzania ili kuniwezesha kufanya biashara ya TUmbaku ndani na nje ya Tanzania. ( kununua na kuuza nje ya Tanzania)
Back
Top Bottom