ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

  2. aise

    JamiiForums Tanzania Mpaka Sasa nimezika ndugu zangu mia Moja (100)

    Habari ya asubuhi wakuu! Katika "tembea tembea" nimekutana na jamaa anadai kwamba mpaka Sasa amezika ndugu zake mia Moja. Hivi Kuna Binadamu ambaye Yuko hai na amewahi kushuhudia misiba / mazishi ya ndugu zake kuanzia wa kwanza mpaka idadi inafika 100 na yeye bado Yuko hai?
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nimekoma umaarufu na attention zimeniponza

    Nisameheni🙏 Hakika mtaka vyote hukosa vyote sasa najuta hata wale wako kuwa wananiona wa maana wamenitupa kwa trash Ndugu zangu, msipende kuchukiza watu, kuna watu ukimess up nao, utachukiwa na kila mtu. binti kiziwi ephen_ Lamomy Binti wa zamani Mallerina min -me Harmful ShesRise_1...
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Mod uliye kazini: Una uhasama nami au ni shida gani?

    Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea? Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi? Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama unashida ya pesa uniambie tu mkuu, Kila Nyuzi nayo anzisha unapita nayo mkuu daah Wanabodi huyu mod...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waafrika turejeee kwenye matambiko yetu ndugu zangu. Tukio la mlinzi wa Morogoro kuua kwa risasi leo limenitafakarisha sana

    Taarifa inasema, marehemu alikuwa anatoka Dar kwenda Mwanza kwa gari lake binafsi. Alipofika Morogoro tayari ulikuwa umefika muda wa swala, so akapaki gari karibu na petrol station akaenda msikitini kuswali. Aliporejea akiwa ndani ya gari lake mlinzi akamfuata na kumtaka alipe sh elfu 15 kama...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu historia itamkumbuka mshindi tu, haijalishi alifanya vigisu kiasi gani kukushinda au kukudidimiza wewe, kwa hio jitahidi usife kikondoo

    Muachie mark awe anaikumbuka. Wanyanyasaji wa ndani huwa wana invest sana nje ili ku-modify heshima yao. Ila wewe mnyanyaswaji utaonekana boya na mdhaifu.
  7. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu mkaribisheni Mungu katika maisha yenu

    We dwell here not according to our will, but according to his divine plans. Baada ya tafakuri ya kina, nimepata jawabu ya kuwa sisi ni kama matawi na yeye ndiye mti wa uzima. Binadamu tunapenda sana, kusahau na kutumia akili zetu, bila kumshirikisha anayetupa huo uwezo.. Umezaliwa, unapumua...
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Je, Hatima (Destiny) Ni Kweli Ipo? Tujadili!

    Tukijipumzisha kidogo na haya yanayo tokea nchini hebu tujadili hii issue kama kutafsiri kile kinacho endelea. Katika kukuwa nilikuwa naskia huyu kijana, au huyu mtoto lazima aje aibadilishe hii familia, au huyu mtoto atakuja kuukomboa huu ukoo kutoka umaskini. Au mzazi ana amua kuzaa watoto...
  9. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Wakuu, huyu mwanamke nimeamua kumtolea uvivu... au nimekosea ndugu zangu??

    Baada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo..... Yeye: Wazo gani mpenzi..?? Mimi: Nimepata wazo la kukuoa Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe, uache kutoka na marafiki.... Yeye: Wazo gani liningine unahisi ukiliacha utaipata furaha? Mimi...
  10. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

    Naitaji msaada wa haraka Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano. Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani. Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu...
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Babati kila MWANAMKE ni mzuri ndugu zangu njooni muoe huku

    Mabinti weupe sana Wana mashape hatari Wembamba hawana vitambi kama wale wa mbeya na Dar es salaam Wachapakazi wapole nk Hapa ni babati mjini naimani vijijini huko kuna mabinti warembo na bikra za kutosha
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waha "Maana ya Ndimugwanko" ni nini

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, maana ya Ndimugwanko ni nini? Ningependa kujua maana ya hili neno kutoka Kigoma.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Kakonko tulisainishwa fedha za kujikimu TZS 80,000 kwa siku ila tunaambiwa tutalipwa TZS 60,000

    Mimi ni mwajiriwa mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma. Wakati wa kusaini nyaraka za malipo ya fedha za kujikimu, kila mmoja wetu alisaini kiasi cha TSh 80,000 kwa siku kwa muda wa siku saba. Hata hivyo, baadaye tulipigiwa simu na kuambiwa kuwa kiwango hicho kimepunguzwa...
  14. Fene

    JamiiForums Tanzania Ukumbusho kwa ndugu zangu Waislamu

    Ukumbusho kwa nafsi yangu kwanza, kisha kwa ndugu zangu vijana. Ewe kijana, dunia inatupumbaza kwa starehe zake. Leo tunaona muda ni mrefu, kesho tunasikia habari za aliyekuwa anacheka jana, leo yuko kaburini. Tunahangaika kutafuta raha za muda mfupi; pombe, uzinzi, mahusiano ya haramu, na...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kwani ndugu zangu Ccm ni LAZIMA mridhiane na Chadema si Bora mridhiane na Chaumma iliyokuwa na mgombea wa Urais au Act

    Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi. Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu wako tayari kina Yeriko na Zito . Nyie si mnataka TU ionekane mmeridhiana kama kule Zanzibar ingawa...
  16. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Watanzania huku tunaenda wapi? Hawa watu ni Watanzania au ni AI?

    Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua. Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita. Ebu msikilizeni huyu mtu maneno...
  17. H r n

    JamiiForums Tanzania Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

    Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu si haba. Kinachashangaza kuhusu mume wangu hapendi kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo, either kwa...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania ISIS walivyofanya mauaji ya wakristo nchini Congo na, 2025

    === Islamic State massacres Christians in front of their families At least 60 people killed in...
  19. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tanzania wakiona mtu anaongea sana kwenye mikutano wanaona kama ni kiongozi bora, ndugu zangu kuongea sana siyo akili ni uchaa baridi

    Uongozi ni busara na hekima, ni kupanga na kuongoza, uongozi ni ulezi (guiding) uongozi ni taswira ya sehemu unayoiongoza. Uongozi ni ku-control hisia, uongozi ni utulivu wa mwili na akili, uongozi ni kuongea kidogo vitendo vingi. Nchini Kuna taasisi kibao zimepoteza direction sababu ya...
  20. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa Nchi kwa sasa haipo kwenye mikono salama

    Kwa masikitiko makubwa sana Viongozi tuliokuwa nao kwa sasa wamekosa TIJA. Nadhani kwa mara ya kwanza kwenye Taifa letu tumeweza kuwa na rais mwenye uwezo mdogo sana Natambua wapo wanaonufaika na incompetence ya Samia , to them , ni stepping stone kufikia malengo yao : Kwenu CCM wenye akili...
Back
Top Bottom