kinara

The kinara is a seven-branched candleholder used in Kwanzaa celebrations in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Sir. Lewis Hamilton ameshinda Barcelona Grand Prix leo baada ya kupitisha races 45 bila kua kinara!

    Zimepita siku 708, au Grand Prix 45 tokea Sir Lewis Hamilton ashinde Grand Prix (P1). Ilikua ni Sikukuu ya 7, 7 2024 (British GP), akiwa na Mercedes Benz. Ila leo tarehe 14, June, 2026 amevunja mkosi kwa kushinda Barcelona GP. Hongereni team Ferrari.
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Yesu aliwezaje kuchukuliwa na shetani juu ya kinara cha hekalu kujaribiwa

    Yesu aliwezaje kuchukuliwa na shetani juu ya kinara cha hekalu kujaribiwa Wakati shetani anamjaribu Yesu, biblia inasema alimchukua na kumpandisha kwenye kinara cha hekalu. Swali ni je! alikuwa anachukuliwaje mahali pale, ni njia gani ilikuwa inatumika? Ni muhimu kufahamu kuwa Bwana Yesu...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Morocco Imefanikiwa Kufanya Kile Ambacho Nchi za Weusi Zimeshindwa.Yawa Nchi Kinara wa Kuuza Parachichi Afrika Baada ya Kupita Kenya & S.Africa.

    Aisee hii habari imenisikitisha na kufanya nifikirie mara 2 mbili kwamba hizi Nchi za watu weusi zinaweza kitu gani hasa Cha maana zaidi ya kuzaana? Yaani Afrika Kusini,Kenya na Tanzania ndio walikuwa wauzaji wakuu wa Parachichi Afrika lakini Kwa kuwa Serikali zetu hazielewi zinachofanya Wala...
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yaendelea kuwa kinara wa tiba ya mifupa Duniani

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba vya upasuaji wa mivunjiko ya mifupa kutoka shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani, Surgical...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu: Tanzania ni kinara kwenye uchumi Afrika, nawashangaa wanaosema tumefilisika

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Taasisi zinazopima Maendeleo Bora ya kiuchumi na huduma Bora za Jamii zimeielezea Tanzania kama moja ya nchi kinara Kwa Nchi zote za Bara la Afrika kwenye kutekeleza miradi ya maji...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania MangeKimambi, kinara wa maandamano ya Oktoba 29 huyu hapa

    Tanzania haina wajinga na watu wenye fikra fupi na wala hawatakaa wawepo. Kama kuna mtu anadhani anaweza kukaa ughaibuni huko na kuposti mtandaoni eti wenzake waingie mtaani siku na saa fulani kuandamana kisha yeye atumiwe klipu kuposti huku akiwa anapunga upepo na kunywa sharubati basi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kinara wa Biashara ya Bangi akutwa na Tani 6.5 mkoani Mara

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), mkoani Mara, imefanikiwa kumkamata mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa na tani 6.5 za bangi. Kwa muda mrefu, Muhabe amekuwa akijihusisha na uzalishaji na biashara ya bangi...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa mabilionea Afrika Mashariki - Ripoti

    Ripoti mpya ya Africa Wealth Report 2025, iliyotolewa na kampuni ya ushauri wa uwekezaji wa kimataifa Henley & Partners kwa kushirikiana na New World Wealth, inaonyesha sura mpya ya bara la Afrika katika ramani ya utajiri duniani. Tanzania imeendelea kufanya vyema kwa nchi za Afrika Mashariki...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elon Musk awa kinara wa kura za maoni za mtu aneyechukiwa zaidi Marekani

    According to Gallup's latest poll, several current and former Trump administration officials have also seen plunging favorability ratings, including secretary of state Marco Rubio, and president Trump himself, setting the stage for a whirlwind midterm election next year. Trump has since tried...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu Ameir aibuka kinara kwa kupata kura 1,356 - Jimbo la Makunduchi

    WANU AMEIR AIBUKA KINARA KWA KUPATA KURA 1,356 - JIMBO LA MAKUNDUCHI Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir ameongoza kwenye kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Makunduchi ambapo amepata kura 1,356. Wanu amewapita kwa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Facebook kinara wa Kauli za Chuki "Hate Speech" Mitandaoni

    Watu wawili kati ya watatu walisema wamekutana mara kwa mara na maneno ya chuki, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ipsos kati ya Agosti 2022 na Septemba 2023. Utafiti huo ulihusisha jumla ya watu 8,000 kutoka nchi 16 zilizochaguliwa kwa sababu zilikuwa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar yawa kinara makusanyo ya Maduhuli, makusanyo ya Tsh. Bilioni 23.02 kufikia Mei 2025

    Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, baada ya kufanikisha makusanyo ya Shilingi Bilioni 23.02 kufikia mwezi Mei, sawa na asilimia 125 ya lengo la mwaka. Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

    Wanabodi Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938 Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli...
  15. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Msitishike na kupanda au kushuka kwa shilling hata dola ya Marekani ni sarafu ya 10 lakini Marekani ndio kinara wa uchumi wa dunia

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege. Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyopiga simu kwa Kadogosa baada ya kupewa tuzo ya 'Mwanamke Kinara'

    Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo ya jumla ya uongozi ya mwanamke kinara jijini Mwanza huku akishukuru na kuahidi kuendelea kufanya kazi kwa masilahi ya Taifa. Tuzo hiyo ilitolewa usiku Aprili 5, 2025 mkoani Mwanza na taasisi ya Mwanamke kinara iliyoandaa tuzo za wanawake waliofanya...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DCEA yamnasa Kinara wa Mirungi, yateketeza Ekari 285.5 Same

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25 Machi 2025. Katika operesheni hiyo, ekari 285.5 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa na watuhumiwa saba...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania MUWSA kinara wa tuzo za EWURA kwa mwaka 2023/2024

    Ninayo furaha kubwa kuwataarifu kwamba, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi imefanikiwa kushinda Tuzo Mbili zinazotolewa na EWURA kwa mwaka 2023/24 1. Tumeshinda tuzo ya Mamlaka bora nayotoa huduma Bora za majisafi na Usafi wa Mazingira kati ya nyingine 19 zenye wateja zaidi ya...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga kinara wa uchumi Mkoa wa Tanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

    Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa. Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo...
Back
Top Bottom