vijijini

Iringa Rural District (Wilaya ya Iringa Vijijini) is one of the four districts of the Iringa Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north by the Dodoma Region, to the east by Kilolo District and encircles Iringa Urban District, to the south by the Mufindi District, to the southwest by the Mbeya Region and to the northwest by the Singida Region.
As of 2002, the population of the Iringa Rural District was 245,623.

View More On Wikipedia.org
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Vijana waliochoka kukaa mjini na wanatamani kurudi vijijini, nyoosheni mikono juu

    Inawezekana umekaa mjini muda mrefu, lakini maisha bado yanakuchapa tu, mpaka kujikuta unafanya kazi ambazo zinapoteza uelekeo wako na utu. Kupitia uzi huu, kama unatamni kurudi kijijini ukaishi maisha ya edeni kwa kujituma kufanya kazi za mikono yako, mfano; kulima mashamba, kung'oa visiki...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli ya Dar es salaam mpaka Dutumi (Morogoro vijijini) kupitia Ngerengere ni TZS 20,000 Licha ya kuwa ni Kilometa zisizozidi 90. LATRA mpo wapi?

    Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na viwango rasmi vilivyowekwa? Wananchi wanastahili kupata maelezo ya wazi kuhusu namna nauli...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Elimu Secondary wilaya ya Bariadi DC hatujapewa hela ya kujikimu na tukiulizia tunatishiwa kupelekwa Shule za vijijini au tunasakiziwa kesi

    Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika kijiji cha Bonye tarafa ya Bwakila chini, Duthumi Morogoro vijijini wakulima tunasumbuliwa sana na mfugaji aitwae Lembile Sangara a.k.a DC

    Hapa kijijini kuna mfugaji yupo juu ya sheria na kijiji kinaonekana kimeshindwa kumdhibiti, sheria ya kijiji cha bonye inamtaka kila mmiliki wa ng’ombe asizidishe ng’ombe zaidi ya 10 , jambo la kushangaza huyu Lembile anaweka hadi ngombe zaidi ya 200 kwa msukuma mmoja. Na kijiji hakimchukulii...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Je mwenendo wa Chuo cha SUA kuipeleka nchi kwenye Vijishamba vya mjini badala ya kukuza mashamba ya vijijini upo sawa?

    Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara. Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi. Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza maoni ya waTZ wa vijijini

    https://youtube.com/shorts/vURWHFGE2so?si=13uLAsIYUO514FqJ
  7. gstar

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina.

    Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Sekondari Nsongwi Juu - Mbeya Vijijini imekuwa na changamoto ya utawala mbovu

    Shule ya Sekondari Nsongwi Juu (Mbeya Vijijini) imekuwa shule yenye utawala mbovu imefikia hatua mpaka Walimu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya utawala huo. Kesi zimekuwa nyingi zimefika mpaka kwa Afisa Elimu Kata na Afisa Elimu Wilaya lakini hazitatuliwi, sasa hatujui shida ni nini...
  9. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa kijaluo ni wazito wa kurudi vijijini ilipo asili yao na hata kama wakirudi wanaenda kwa kujificha jificha?

    Inasemekana kuwa maeneo deep ya ujaluoni kuna uchawi ulio kithiri sana. Inasemekana hata maendeleo yamedumaa maana anaeunuka anadondoshwa in no time. Je hii ndio inaweza kuwa sababu kuu ya vijana hawa kutorudi vijijini?
  10. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Hasara za Kufanya Kazi Vijijini Huku Ukiishi Mjini

    Kufanya kazi katika maeneo ya vijijini huku makazi yako yakiwa mjini kunaleta changamoto nyingi za kifedha na kijamii. Baadhi ya changamoto hizo ni: 1. Gharama kubwa za kununua usafiri Watumishi wengi wanaofanya kazi katika maeneo ya pembezoni hulazimika kumiliki usafiri binafsi, hasa pikipiki...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini. Hatua hiyo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya kutoka Babati Vijijini hatujalipwa fedha zetu za kujikimu

    Walimu tulioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Wilaya ya Babati Vijijini tunaomba kuwasilisha kero ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoanza kazi mwezi Februari. Tumekuwa tukifuatilia suala hili, lakini kila tunapouliza tunaelezwa kuwa fedha bado hazijaingia katika halmashauri. Hadi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya Babati hatujalipwa fedha za kujikimu kwa miezi mitano

    Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita. Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa. Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye ugonjwa wa Tezi dume vijijini wanakosa matibabu ya ugonjwa huo kutokana na umaskini

    Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye ugonjwa wa Tezi dume vijijini wanakosa matibabu ya ugonjwa huo kutokana na umaskini

    Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya kuwa wana tatizo Hilo Kwa muda mrefu ila ni kuwa hawana fedha Kwa ajili ya kwenda kufanya upasuaji...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania HOJA Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini

    Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini - Kwa nini? Kwa kifupi: Maafisa Maendeleo ya Jamii ndio "injini" ya mabadiliko vijijini. Ukiwawezesha wao, unawawezesha vijiji vyote. Kwa nini mada hii ina nguvu: 1. Wao ndio daraja kati ya serikali na wananchi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumetimiza vigezo vya kuhama lakini DED anagoma kutupa kibali Watumishi Halmashauri ya Korogwe Vijijini

    Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa. Wanaoweza kuongea nao vzuri wanapewa datasheet ila wengine hawapatiwi taarifa za datasheet ila wahame...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Afya Nachingwea – Lindi tukidai fedha za kujikimu tunatishiwa kuhamishiwa Zahanati za Vijijini

    Mimi ni mwijiriwa mpya upande wa afya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Nachingwea Mwaka 2026, kero yetu, mimi na wenzangu ni mpaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu ila Walimu ambao tumeajiriwa nao wote wamepewa. Kinachoumiza kila tukiulizia tunapewa majibu mabaya sana mbayo zaidi sisi ambao tumepangiwa...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Arif Premji, Mbunge wa Mtwara Vijijini, ameshauri serikali kuchakata gesi iwe Diesel na Jet Fuel

    Mbunge wa Mtwara Vijijini Mheshimiwa Arif Premji ameshauri serikali kuchakata gesi iwe Diesel na Jet Fuel, Akiwa anachangia Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu. Nini maoni yako? "Tunaongelea mradi wa LNG wa Tirilioni mia moja tril 100. Chombo cha habari cha Citizen na Reuters ya London...
Back
Top Bottom