nia

 1. Mwanamayu

  Hii ndio nia haswa ya wazungu kwa Mwafrika na Mtanzania - tuamke hasa kiakili!

  Huyo mama wa kizungu anaonesha mtazamo wa wazungu walio wengi dhidi ya Afrika, ingawaje hata huyo mtoa mada ni mzungu. Lakini, mtoa mada inaonekana anaongea hivyo baada ya nchi yake, Ugiriki, kupigika kiuchumi. Mama huyo anahofia maisha yao ya mbeleni endapo Afrika itaamka kiakili, kiuchumi, na...
 2. F

  RC Mtaka, una nia njema lakini...

  Najua unajua wazi kuwa Mkuu wa Mkoa yupo chini ya waziri, ama kwa lugha nyingine waziri yoyote yule ni boss wako wewe, kumtaja waziri wazi wazi kana kwamba si kitu, sio jambo jema. Unaposema waziri akiuliza kuhusu makambi "wamjibu kwa kumuuliza kuwa watoto wake yeye wanasoma wapi?" unajua fika...
 3. Sky Eclat

  Kuliko kuajiri mfanyakazi wa ndani tuwe na utaratibu wa kuchukua watoto wa ndugu kwa nia ya kuwaendeleza

  Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya. Akihitimu mafunzo...
 4. chinembe

  Ushauri: Vijana wanaochangishana kumsaidia Sabaya wafuatiliwe, wana nia ovu ya kuzuia haki isitendeke(obstruction of justice), pia wanatukana Serikali

  Hawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni, lina mambo ya hovyo sana. Hili kundi linachangishana pesa huku likitoa maneno ya kashfa kwa mkuu wetu. Nina wasiwasi wana lengo la kuzuia haki isitendeke. Vyombo vya kisheria na vya kidola viwakamate, viwahoji na ikibidi...
 5. Bata batani

  Warning: Epuka kuingia kwenye mahusiano yeyote kwa nia ya kupata ndoa utakuja kuumia

  Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
 6. Swizbe

  Niko tayari kujitolea katika taasisi yoyote ya maswala ya Bima/ insurance kwa kazi yoyote nia kujifunza zaidi kwa elimu niliyonayo Asanteni

  Habari Wana JF, Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa...
 7. Mtu Asiyejulikana

  Rais Samia, kana una nia ya dhati dhidi ya uovu, wengine hawa hapa wanaoshutumiwa kwa uhuni, ufisadi na dhulma

  INAMPASA MMOJA AFE KWA AJILI YA WENGI? HAPANA WAFE WOTE WENYE DHAMBI. (JE, OLE SABAYA AMETOLEWA SADAKA?) Tunashukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya Sa baya. Huyu alikuwa na makando kando mengi nyakati za utawala wa Hayati John Pombe Magufuli(Dhulma, Matumizi mabaya ya Uongozi, Ufisadi n.k)...
 8. 2019

  Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

  Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli? Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge...
 9. C

  Hivi viongozi wanaposema "Serikali ilikuwa na nia njema kabisa" huwa wanamaanisha nini hasa?

  Shalom kutoka Jerusalem, Mara nyingi kunapotokea sintofahamu inayohitaji uwajibikaji wa serikali viongozi wa juu wamekuwa wakiwaambia wananchi kuwa "serikali ilikuwa na nia njema kabisa". Hivi wewe mdau wa JamiiForums huwa unaelewa nini kuhusu kauli hii? MFANO: Hivi karibuni, Tanzania, Afrika...
 10. MK254

  Rais Samia nia yako ni njema lakini hao unaowaongoza akili zao wanazijua wenyewe

  Nimekua napitia nyuzi za Watanzania tangu ujio wa Mama Samia jana hapa nchini Kenya, hamna hata uzi mmoja unaojadili au kudadavua huu ujio kitaalam, kwa minajili ya kuelewa dhamira ya mama kwenye jitihada zake za kuifanya Tanzania iamke tena. Kila Mtanzania analalamika tu, watu wameingiwa na...
 11. Jack Wabukoba

  Nahitaji Mwanamke wa kuoa/kuishi naye mwenye nia ya dhati na mkweli

  KWA ALIYE SERIOUS 100% A: KUHUSU MIMI DINI: MKIRISTO KIMO: Mrefu wa kadri RANGI: Maji ya kunde ELIMU: Degree KAZI: Sijaajiriwa NDOA: Sijawahi kuoa MTOTO: Sina UMRI: 34 MAKAZI: Kagera Mengine tutaelezana NAHITAJI mwanamke aliye tayari kuanza kuishi na mwanaume hata sasa (ndani ya muda mfupi...
 12. LIKUD

  Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

  Kama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.
 13. Replica

  Rais Samia Suluhu: Kila mwenye nia 2025 aache mara moja

  Rais Samia Suluhu amewataka mawaziri na watendaji wote kuwajibika na kufanya kazi na rekodi zao zitawafata katika maisha yao. Rais amesema pamoja na macho yake kulegea, yanaona na atakuwa na jicho kubwa kuangalia rekodi zao. "Inapoingia kipindi cha pili cha Rais aliepo, watu kidogo mnakuwa na...
 14. B

  Naamini hakuna atakayehoji nia na dhamira ya Hayati Dkt. Magufuli kwa Tanzania,tutaishia kuhoji mkakati aliotumia tu

  Nia na dhamira ya JPM dhidi ya Tanzania haitaweza kuhojiwa popote, alidhamiria kutuondoa kwenye umaskini na alitumia mbinu zote kufanikisha lengo. Dhamira iliendana na matendo, Ni vigumu kupata watu kama Hawa Duniani. Watu wanaocha starehe za Dunia nakuwapigania wenzao usiku na mchana. Legacy...
 15. Utamuwayesu

  Natafuta mke wa kuoa mwenye nia thabiti, mwaminifu na mkweli

  Hi JF, Naitwa Zabroni nipo mkoa wa Pwani, umri wangu ni miaka 36, Kazi nimejiajiri na kuajiriwa, Elimu yangu na shahada ya kwanza, Najitokeza kutafuta mwenza wa maisha ambaye tutafuanga ndoa, Mke awe na vigezo vifuatavyo. Umri 23-30,Elimu kidato Cha nne nakuendelea, kazi yeyote ambayo ipo...
 16. Sky Eclat

  Wenye nia ya kumsaidia mtoto Charles Mbena wakumbuke bado ni mtoto anahitaji malezi ya wazazi wake

  Nimeangalia video za mtoto Charles Mbena, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia maarifa ya ziada. Mtoto wa miaka sita kumudu hesabu za kutoa na kujumlisha kwa kiwango cha Charles ni kusema Jina na Mungu lihimidiee. Kuna taasisi zilizojitokeza kumsaidia Charles, nimemuona mpaka RAS amefika...
 17. L

  Kutokomeza umaskini ni matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa

  Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo. Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
 18. Miss Zomboko

  Maalim Seif: SUK ya 2010 - 2015 haikuwa na nia njema na raia wa Zanzibar. CCM walikubali ili kutimiza matakwa ya Kikatiba ila mioyo yao haikupenda

  Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, Viongozi wa CCM ambao walishirikiana nao kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar iliyoanza 2010 mpaka 2015 walifanya hivyo ili tu kutimiza matakwa ya kikatiba...
 19. GUSSIE

  Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

  Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote. Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye...
 20. M

  Mwanaume ambaye anaonesha ana nia ya kuoa anakuaje?

  Ndugu, Naombeni mnitajie mienendo au tabia za mwanaume anaeonesha nia ya kuoa
Top Bottom