vodacom

  1. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yasisitiza Uhusiano wa Kibinadamu katika huduma kwa wateja katika enzi ya AI

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto), akikabidhi tuzo ya pongezi kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wake katika utoaji wa huduma kwa wateja. Hafla hiyo ilifanyika wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma...
  2. Enthusiastic

    JamiiForums Tanzania Vodacom mtandao wenu unasumbua tangu jana, kuweni serious!!

    Tangu jana napata shida ya mtandao, si normal call si internet, kote mtandao unasuasua. Vodacom nitawahama soon, wapuuzi nyie
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kuna namna Vodacom speed yao ya internet umepungua ukilinganisha na YAS

    Wakuu mimi nilikua user wa vodacom taangu 2008 lakini hivi karibuni nilikua nikipata usumbufu wa internet kuwa slow nikawa nafanya trial leo nimejiunga na internet ya YAS naona iko faster nimeiwasha Vodacom kwa sababu ni line yangu basic na itakua kwa ajili ya kupiga na kupokea simu tuu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naunga mabando ya Vodacom unlimited popote ulipo

    Habari wakuu naunga bando za Vodacom unlimited popote ulipo VIGEZO 1. Pesa ya kifurushi chako 2. Laini ya Vodacom ya kuwezesha kifurushi 3.Namba ya mawasiliano ya Vodacom 4.Imei ya kifaa chako(Router) Huduma hii nakuhudumia ukiwa popote 0765 991 551
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania High Court Yabatilisha Mauzo ya 15% ya Safaricom kwa Vodacom: Shares Ziamriwa Kurudishwa Serikalini

    Mahakama Kuu imebatilisha mauzo ya asilimia 15 ya hisa za Serikali katika Safaricom kwa Vodacom, ikisema mchakato wa divestiture ulifanywa kinyume na Katiba na sheria. Uamuzi huo una maana kuwa hisa hizo, ambazo zilikuwa tayari zimehamishwa kwa Vodacom, zinapaswa kurejeshwa kwa Serikali ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania FY2026 ESG Report

    Mkurugenzi wa Miundombinu wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa ripoti ya ESG ya mwaka 2026. Vodacom Tanzania has released its FY2026 ESG Report, where by emissions are down 24%, with two million litres less diesel burned after 1,808...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom wamefungia laini yangu ya uwakala ikiwa na fedha kisa miamala batili ambayo siijui na sina elimu nayo

    Nimekuwa mhanga wa kufungiwa laini yangu ya uwakala kwa sababu ya kufanya miamala batili ambayo mimi sijui kama ni batili kwani tangu nipate laini hiyo sijawahi kupata semina au mafunzo yoyote juu ya miamala batili. Tukio hili limetokea mwaka huu mwezi wa 6 baada ya kupiga menu ya voda...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom mnaiba kupitia songesha

    Kuiba ni kuchukua kitu cha mtu bila ridhaa yake. Kampuni ya Vodacom mnaiba kupitia songesha. Mtu anakuwa hajaomba kusongesha lakini anashtukia anapata ujumbe kuwa kiasi fulani kimekatwa kwa ajili ya songesha. Rejea mlio wakata leo bila kuomba hiyo huduma na mimi ni miongoni mwao.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Huyu tapeli mwenye namba +255799102280 tangu jana ananisumbua eti yeye ni vodacom customer care!

    Amenipigia jana nikamwambia nipigie kwa namba 100 akasema kuna tatizo la kimtandao ndiyo maana anatumia private number!! Anasema kuna mteja amekosea namba amenitumia milioni moja na laki sita kwahiyo ametuma malalamiko vodacom nimrudishie pesa zake!!!! Nimemuambia magereza inamhusu maana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi , Mkuu wa Kanda ya Mauzo Vodacom Dodoma kanda ya Mvumi (Css) Anayofuraha kutangaza nafasi za kazi ya Team Leaders na Freelancers.

    Nafasi hizo ni kwaajili ya kukuza mauzo katika kanda ya Mvumi Territory ya Dodoma Vigezo 1. Ajuwe kusoma na kuandika 2. Awe na smartphone 3. Awe na akili timamu 4. Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea 5. Upande wa Tl Awe na uwezo wa kusimamia timu Elimu zaidi ya kidato cha 4 ama sawa na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Yagusa Maisha ya Wanafunzi Ihowanja wilayani Malinyi kwa Kuboresha Mazingira ya Usomaji.

    Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (kulia), akikabidhi dawati kwa Diwani wa Kata ya Kilosampepo, Boniventure Killian Mwanga (kushoto), dawati hilo ni mojawapo ya madawati 30 yaliyokabidhiwa katika Shule ya Msingi Ihowanja, Malinyi mkoani Morogoro, kupitia mpango wa...
  12. Slim

    JamiiForums Tanzania VODACOM Arusha Njiro Bendera Saba, mtandao haupatikani

    Mtandao Vodacom una shida huku unasoma emergency shida ni Mimi au?
  13. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Kongole Yas, Vodacom Fanya ivi na nyie

    Yas wanajitahidi Sana Upande wa renovation yani Wana service Fulani nzuri nzuri hata Lipa namba yako na App pia ni nzuri Saivi naona wamekuja na huduma ya Kujua aliyekupigia wakati upo offline ila pia uliyempigia akiwasha simu unaletewa pia ujumbe kuwa mteja uliye karibu kumtafuta kwa sasa yupo...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania NMB wakwamisha Mpango wa Tonetone ya CHADEMA. Bado Vodacom

    Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wizi kimtandao mchana kweupe VODACOM

    VODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..! Hebu ona ujumbe nimetumiwa.. "Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460" Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100...
  16. Rais Wa Malofa

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ubora wa huduma za Voice Calls za Vodacom Tanzania – Tarime

    Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa ya huduma ya kupiga na kupokea simu (voice calls) kwenye mtandao wa Vodacom Tanzania katika eneo la Tarime, Mkoa wa Mara. Kwa muda sasa, wateja wengi wamekuwa wakikumbana na matatizo kama simu kukatika katikati ya mazungumzo, kushindwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 50 ya SABASABA: Vodacom yadhihirisha inavyochochea Mageuzi ya kidigitali nchini Tanzania

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Uwezeshaji, Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (kulia) na Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa kampuni hiyo Happiness Shuma (kushoto), wakiwa wameshika tuzo zilizotolewa kwa Vodacom Tanzania kutambua mchango wake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara Dar...
  18. Crimea

    JamiiForums Tanzania Vodacom ina shida gani?

    Au nayo wameshaibaka kama media? Mtu unapiga simu haiiti ukikata unaambiwa umetumia sekunde kadhaa, kwenye internet ndio hovyo kabisa.
  19. Vien

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali Vodacom na Airtel waige mfumo wa Yas kwenye Merchant Account

    Kuna wakati ushindani unatakiwa ukubali ukweli. Sio kila kitu unachotengeneza lazima kiwe tofauti. Kuna muda unatakiwa ujifunze kutoka kwa aliyefanya vizuri zaidi. Nimekuwa nikitumia Merchant Account za Yas, Vodacom na Airtel kwa biashara zangu, na kwa uzoefu wangu, upande wa Merchant Account...
  20. Jchris14

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom tatueni changamoto ya kimtandao mbona mnatutesa?

    Ndugu zangu kwema? Hivi na nyie mnapata changamoto ya kimtandao hususani kwa watumiaji wa Vodacom kama mimi? Ukituma meseji haziendi, ukijaribu kupiga simu muda mwingine simu inabaki kwenye connecting mode tu hata kwa dakika mbili bila hata kuita. Ukijaribu kutumia M-Pesa Menu ya kawaida...
Back
Top Bottom