Habari wanajamii, naombeni connection za upatikanaji wa ajira za data clerk, data collection na zingine zinaxohusiana na maswala ya data. Ninauzoefu wa matumizi ya komputer na elimu ya diploma ya project management.
Asanteni
Habari wanajamii, naombeni connection za upatikanaji wa ajira za data clerk, data collection na zingine zinaxohusiana na maswala ya data. Ninauzoefu wa matumizi ya komputer na elimu ya diploma ya project management.
Asanteni
Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani yenye Mbunge wake Ridhiwani Kikwete, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, leo Ijumaa Novemba 24, 2023 imetunukiwa hati ya pongezi kwa ukusanyaji wa mapato ya ndani kimkoa.
Hati hiyo imetolewa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Asisitiza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Singida inapaswa kuwa na Mradi ambao utasaidia katika Ukusanyaji wa mapato ili kuinua Uchumi wa Halmashauri hiyo.
Pia, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe...
Teknolojia imezidi kukuwa kwa kasi kubwa sana, lakini ukuaji wake unasababishwa na uvumbuzi unaopelekea utatuzi wa matatizo na majanga yanayotokea katika jamii na ulimwengu kwa ujumla. Mabadiliko makubwa ya teknolojia yameletwa na wataalamu mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti, wamejitahidi...
Kwakuwa TRA imekuwa moja ya sehemu zenye ufanisi mdogo na utendaji mbovu kabisa serikalini, ni kwanii mamlaka hii isibinafsishwe hata kwa waarabu tu ili kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji mapato?
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA )kwa Kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunapenda toa ufafanuzi kuhusiana na Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki wa majengo ya Ghorofa kama kiambatanisho hapa
Katika miaka miwili ya uongozi wa awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Halmashauri nchini zimevuka malengo ya makusanyo ya mapato yaliyowekwa.
Mwaka 2021/22 halmashauri zilikusanya mapato ya ndani ya Sh bilioni 888.7 kati ya Sh bilioni 863.86...
Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
Mbinu za Taarifa za Haki ni seti ya miongozo ya ukusanyaji na matumizi ya data. Miongozo hii ilipendekezwa kwa mara ya kwanza na kamati ya ushauri kwa Idara ya Afya, Elimu, na Ustawi wa Marekani mwaka wa 1973. Baadaye ilipitishwa na Shirika la Kimataifa la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo...
Unaweza kujenga Imani Kwa wageni kuja kuwekeza nchini Kwa wingi; wageni wakafika Kwa wingi na kutumia fursa Ila usinufaike na kuwepo Kwa wageni hao.
Juhudi za Mhe. Rais zinaweza zisizaie matunda Kwa Sababu aliowaamini kwamba wanaweza kukusanya na kuhifadhi mapato yatokanayo na uwekezaji wa...
Jiji letu la Dar limendelea kuchangia mapato ya taifa kwa zaidi ya asilimia 90 ya makusanyo kama ambavyo imethibitishwa na taarifa ya makusanyo ya mapato kwa mwaka 2020/21
#ZILIZOTUFIKIA: Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Uledi Mussa amesema hakuna tena vikosi kazi katika ukusanyaji mapato nchini.
-
Musa amewaambia Wahariri jijini Dar es Salaam kuwa TRA inataka watu walipe kodi bila shuruti, na wamewaagiza maofisa wakusanye...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, Uledi Mussa amesema Vikosi hivyo vimeondolewa ili kuhakikisha kunakuwa na Haki katika ukusanyaji mapato nchini.
Amesema TRA inataka watu walipe Kodi bila Shuruti na hivyo Mamlaka hiyo imeagiza Maofisa wake wakusanye kodi bila...
Wakuu salamu.
Naomba niende kwenye point moja kwa moja.
Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga.
Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
Barua inayosemekana ya CHADEMA ikieleza malalamiko ya Baraza la vijana la Chadema (BAVICHA) kutoridhishwa kwao na maagizo yanayotolewa nje ya vikao rasmi vya katiba ya chama chao.
Barua inayodaiwa kutolewa na BAVICHA ikipingana na maelekezo ya baraza kuu la chama chao
Kiasi cha shilingi Trilioni 7.3, katika mwaka wa fedha 2022/2023, kimekusanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF) ambapo fedha hiyo inatokana na michango ya wanachama wa mfuko huo.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw.Masha Mshomba wakati akitoa...
Ma-Ded waanza kushushiwa moto,Sasa kuwapisha wenye uwezo wa kukusanya Mapato,
Wakati halmashauri 85 zikikusanya mapato chini ya kiwango zilichopangiwa, Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi ya wakurugenzi wake (DED), ikiwataka watoe maelezo ya kilichotokea.
Katika halmashauri hizo...
Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na (1/4) maisha ya watu.
Makusanyo ya Halmashauri yamezidi malengo kwa mara ya kwanza katika miaka 10 iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.