kinondoni

Kinondoni District is a district in north west of Dar es Salaam's central business district, Tanzania, others being Temeke (to the far Southeast) and Ilala (downtown Dar es Salaam). To the east is the Indian Ocean, to the north and west the Pwani Region of Tanzania. The area of Kinondoni is 531 km2 (205 sq mi).
The 2002 Tanzanian National Census showed that the population of Kinondoni was 1,083,913. The census of 2012 showed that the population of Kinondoni was 1,775,049: 914,247 female and 860,802 male. There are 446,504 households in Kinondoni with an average of 4 people per household.The original inhabitants of Kinondoni were the Zaramo and Ndengereko, but due to urbanization the district has become multi-ethnic.

View More On Wikipedia.org
 1. I

  Kongole Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule

  Nampongeza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule kwa utumishi wake uliotukuka. Tumpe mtu maua yake anapostahili sawa na tunavyowakosoa. Sifa kuu za DC Mtambule ni hizi: 1. Msikivu sana, katika kupokea mashauri, kero na malalamiko ya wanachi na watendaji 2. Ni mfuatiliaji mzuri wa mambo...
 2. Magomola

  Kiwanja cha NCCR MAGEUZI chauzwa Dar

  KIWANJA kinachomilikiwa na chama cha NCCR MAGEUZI, kilichopo eneo la Mbopo, kata ya mabwepande, wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam kimeuzwa na matapeli wiki chache zilizopita. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mbopo wamesema kuwa kiwanja hicho kimenunuliwa wiki chache zilizopita na mmiliki...
 3. Erythrocyte

  Stori ya Kusisimua ya Boniface Jackob aliyekuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo

  Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai au Mleta Taharuki, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza. Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako
 4. Comrade Ally Maftah

  Jumuiya ya wazazi CCM Kinondoni ni mfano wa kuigwa

  JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA KINONDONI NI MFANO WA KUIGWA, MR UK -PROFIL MASAWE KATIKA SIASA KAZI MAARIFA. Na Comrade Ally Maftah Nikiwa kama mpenzi na mkereketwa wa Chama cha Mapinduzi, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, mpenzi wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Mkutano Mkuu...
 5. diuretic

  Duka la nguo za kike linauzwa; location Kinondoni Vijana

  Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Duka la nguo za Kike(Magauni na Jeans) linauzwa. Nimepata scholarship inabidi nikasome sasa sina wa kumuachia naitaji kuliuza. Kuna magauni ya kike kama 70, Tshirt kama 15. Na jeans kama 150. kuna feni mbili, Kioo, Kabati la jeans, na...
 6. B

  Ni wakati sasa Makaburi ya Kinondoni yawe Makumbusho

  Habari waungwana! Sisi tuliowapumzisha wapendwa wetu hivi karibuni makaburi ya Kinondoni tumeona ni jinsi gani ilivyo ngumu hata kupita katikati ya makaburi mengine. Kiufupi eneo lile limejaa halipaswi kuendelea kuwa sehem ya kupumzisha wapendwa wetu. Ushauri wangu- 1. Serikali ifunge eneo...
 7. Bemendazole

  Battle: Ilala VS Kinondoni

  Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Ilala kipo hakipo Kinondoni na kipo Ilala hakipo Kinondoni. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Ilala wale wa Kinondoni wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema...
 8. Aliko Musa

  Kinondoni; Matumizi 4 Ya Vibali Vya Ujenzi Kwenye Uwekezaji Ardhi Na Majengo

  Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora fulani. Kibali cha ujenzi ni kiashiria cha kiuchumi kwenye maendeleo ya afya ya sekta ya ujenzi na...
 9. Hismastersvoice

  Kumbe timu ya KMC inayogharamiwa na manispaa ya Kinondoni si ya serikali!

  "Huku akisema CCM haikubaki nyuma kwenye michezo na ndio maana inamiliki timu kwenye ligi kuu, ambayo ni KMC ya Kinondoni, kiukweli sikuwahi kudhani timu ile ni mali ya CCM". Haya yalisemwa na Bananga kwenye uzinduzi wa Ramadhan Cup iliyoanzishwa na CCM. Kutokana na pande zote mbili za nchi...
 10. P

  Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

  Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipangp mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujemgwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi Hakuna anayekataa watu kuswali lakini wangeweza kutenga maeneo ambayo sio ya kudumu kama ilivyokua awali kuruhusu waislamu au wakristo wanaohitaji...
 11. chiembe

  Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

  Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane. Iwe bhojo!
 12. Erythrocyte

  Vigogo waanza kujitokeza kugombea uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kinondoni

  Aliyepuliza kipyenga huyu hapa , aliwahi kuwa Diwani , anaitwa Joel Mwakalebela , Diwani wa zamani wa Kata ya Wazo
 13. Pascal Mayalla

  Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

  Wana JF Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe. https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2 Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni. Kwa jinsi makaburi ya...
 14. Mwande na Mndewa

  Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, hakuna sukari, Umeme unakatika katika

  Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili ya Wananchi jee kwanini hawatoi majibu?
 15. Erythrocyte

  Unafiki: Aliyemdhalilisha Chongolo Kinondoni leo kawa Mtetezi wake!

  Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC. Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?
 16. MKATA KIU

  Manispaa ya Kinondoni imefanya jambo kubwa sana kuongeza English medium primary school za ada nafuu

  Habari wadau. Ukweli nampongeza sana mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni kwa kuamua kubadili shule za msingi zilizokuwa swahili medium na kwenda english medium. Hii inawaokoa wazazi kwa kuwapunguzia gharama za ada kubwa kulipa private schools wakati elimu ni hiyo hiyo. Na pia shule za olimpio...
 17. The dumb Professor

  Wazazi kuweni makini na watoto/vijana wadogo kutembea Usiku mitaa ya Sinza na Kinondoni

  Wasalaam Wataalam wa Darisalaam, Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku, kwanini? Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four. Ndevu Bado zinaota ota. ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka...
 18. Erythrocyte

  Yuko wapi Benjamin Sitta, Meya wa Zamani wa Kinondoni?

  Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania . Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa...
 19. Selemani Sele

  Wanawake ni hatari anayebisha nipo Kinondoni

  Kupita pita mitandaoni nikaiona hii story imeniuma sana,ogopa sana wanawake ukipata muda kaa chini na kuogopa Mwanamke. Mwanamke ni Andazi. Kuna Tukio limetokea kitaa hapa almost 2 weeks Kuna demu alikua anadate na men wawili mmoja ni broke and thug man almost kama 24yrs alafu Kuna men...
Back
Top Bottom