mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Naulizia wapi naweza kupata mashine ya mazoezi ya kukimbia au kutembea

    Wadau wa michezo habari zenu. Nauliza kwa hapa Dar ni wapi naweza kupata mashine ya kumfanyia mazoezi ya kukimbia au kutembea kama zile zinazopatikana gym. Naomba kuelekezwa mahali na duka lilipo.nahitaji kua nafanyia mazoezi nyumbani badala ya kwenda gym. Msaada tafadhari. Mtu akiniambia bei na...
  2. Street brain

    Arusha Walking Fitness route Tuanze Mazoezi ya Kutembea Kila Weekend Ili Kuweka Mwili Sawa!.. waliopo Arusha tu

    Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday). Lengo letu kuu ni kuweka mwili sawa, kuongeza stamina, kupunguza uzito, kuimarisha afya ya moyo na kuondoa stress ya maisha ya kila siku, kwa wale wote waliopo...
  3. Burn the bridge _Tz

    Leo Nimetembea kilometa 25 nimefikisia mwezi kwenye mazoezi.

    Kila siku nilikuwa nakimbia 10km Mpaka leo nimetimiza mwezi kwa kutembea km 25 Sasa mwezi ujao nataka kuhamia Gym Ndugu msomaji una ushauri gani kwangu?? Karibuni
  4. Burn the bridge _Tz

    Ni kawaida mwili kuchoka, kuhisi homa na mafua baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia?

    Nauliza tu wakuu nisijekufa bure
  5. K

    Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za Nyuklia

    Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na kujiandaa kumshambulia Adui yao atakayeivamia nchi yao lakini haijawekwa wazi Adui huyo ni nani...
  6. Traxtion

    Jinsi mazoezi yanavyoweza kumfanya mtu kuonekana younger

    Watu wengi wakiona picha za “before and after” za watu walioanza kufanya mazoezi, mara nyingi hushangazwa na jambo moja, mtu anaonekana mdogo kuliko zamani. Wengine huonekana kama wamerudisha miaka yao nyuma kabisa. Swali ni, hii hutokeaje? Ukweli ni kwamba mazoezi yana mchango mkubwa sana...
  7. Arsenal Gunner

    Tangia nianze mazoezi na kupiga pamba Kali nguo zinanikaa naona mademu wananishobokea sana

    Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi...
  8. Dalton elijah

    POTOSHI Ni kweli kuwa Wanaume wanatakiwa kutofanya mazoezi ili kulinda afya

    Kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, kumekuwepo na ukurasa uliochapisha video inayowahamasisha wanaume kutofanya mazoezi, ikidai kuwa kufanya mazoezi husababisha watu kutokuwa na afya njema. Katika video hiyo, mhusika anarejelea zamani akisema kuwa watu wa kale hawakufanya mazoezi, na...
  9. A

    DOKEZO Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga azuia uwanja wa mpira wa Halmashauri kutumika kwa mazoezi ili achungie mifugo yake

    Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
  10. Think2

    Wanawake wenye vitambi mnakera, fanyeni mazoezi

    Mwanamke kitambi kikubwa mnakera kuwatizama ila hamjui tu. Hakuna mwanaume anaependa mkewe awe na kitambi utazani ujauzito kumbe kitambi , kama ndo hivi vitambi vyenu wacha tuchepuke tu. Shape namba 9 aweee mtabaki kuwa single maza tu
  11. O

    Tukiwaambia fanyeni mazoezi mnabisha cheki huyu bibi dada., ukipewa unaoa

    Mshana Jr Kuna viumbe vitamu hadi uzeeni shauri yako. UNAWEZA zeeka ukiwa na umbo lako Binti wa zamani uongo Mbaga Jr dronedrake Wazee WA kubeti nyetukeni
  12. stakehigh

    NGAO YA NDANI: Jinsi mazoezi yanavyolinda viungo vyako dhidi ya majeraha

    Mazoezi si tu kwa ajili ya kuonekana vizuri, bali ni uwekezaji katika usalama wa ndani wa mwili wako. Kwa kujenga misuli imara na mifupa migumu, unatengeneza ngao ya asili inayoweza kukuokoa dhidi ya madhara makubwa ya ajali au mapigo ya ghafla. Katika ulimwengu wa afya, mazoezi mara nyingi...
  13. Superbug

    Wakati tunachukuà mazoezi ya kikomandoo kuruka toka kwenye ndege mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka akafa

    Kozi ya paratruping Zimbabwe iligharimu maisha ya mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka na ya emergency ilikuwa na hitilafu alidondoka umbali wa futi kama 500 akafa. Leo ni kumbukumbu. Miaka kadhaa nyuma.
  14. stakehigh

    Moja ya faida kubwa ya mazoezi ukiachana na kujikinga na magonjwa ni, Kukinga viungo vya ndan kupata madhara

    Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine mengi basi faida ingine kuu ni misuli kukakamaa: faida yake niviungo ya ndan vinapata ulinzi wa...
  15. stakehigh

    Ni nadra sana mtoto anaefanya mazoezi kupata magonjwa yasioambukizwa

    Watoto ama vijana walio chini ya miaka 30, wana advantage moja kubwa sana katika afya! KUPONA MAPEMA mtoto akiumia kama ni wa mazoezi basi haihitaji hospitali hua anapona mwenyewe hata kama ni tatizo kubwa kama kuvunjika hua matibabu yao ni haraka na wanapona mapema, hivo basi wewe kama mzazi...
  16. M

    Picha: Jeshi bora Afrika ya mashariki, JWTZ likiwa linajiimarisha katika mazoezi ya kijeshi,

  17. D

    Mazoezi ya pamoja ni ushahidi tosha vyombo vilijipanga kuua: Ni mazoezi kama ya Intarahamwe na vikosi vya ulinzi Rwanda 1993-1994

    Kutangulia mauaji ya halaiki nchini Rwanda mwaka 1994, katika mitaa yote ya Rwanda kila mara kulikuwa kukifanyika mazoezi ya pamoja na utayari yaliyojumuisha vikosi vya majeshi ya serikali ya Rwanda na wanamgambo wa Kihutu, walioitwa Intarahamwe (kama green guards wa CCM). Baada ya kupita...
  18. M

    GE2025 Kufanyike nini wapiga kura tutoke? Hayo mazoezi ya majeshi yanatutisha, waandamanaji nao vilevile!

    Mwaka huu huwenda ukawa ni mwaka mgumu sana kutekeleza haki zetu za kikatiba za mwananchi kwenda kupiga kura Nchi nzima imetaharuki, sijawahi kuona wanajeshi na majeshi mengine kufanya mazoezi kama ilivyo sasa tena tu ni kwa ajili ya uchaguzi Ukweli ni kuwa, magwanda ya wenzetu hawa...
  19. technically

    Vijana fanyeni mazoezi

    Vijana Mimi Nina mwezi Sasa nafanya mazoezi ya hatari maana toka nimetoka jkt sijawai kufanya mazoezi Kama mwezi huu. Najiweka fit mno na nipo fit Sana kiasi kwamba atakayejichanga tarehe 29 kitampata kitu. Nimefanikiwa kununua Lita 5 za petrol, Bunda la viberiti, Elementi, na vifaa vingine...
  20. tonicimmobility

    GE2025 Askari wa majeshi mbalimbami wafanya mazoezi ya kujiimarisha barabarani

    Askari wa Majeshi mbalimbali mkoani Morogoro wamefanya mazoezi ya pamoja ikiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Uhamiaji pamoja na Jeshi la Uhifadhi. Mazoezi hayo yamelenga kuimarisha umoja katika majeshi...
Back
Top Bottom