ulawiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Ni nini hasa kinachochea ulawiti na ubakaji mtaani..

    Ni aibu na fedhea sana... Inakera, inachefua na kusikitisha sana.. Inaamsha hasira sana, kuona au kuskia mtoto, ndugu, jamaa au rafiki wa familia amekumbwa na uchafu, unyama au uharibifu huu.. uharibifu na uchafu huu unachochewa na mambo gani hasa ili kama miongoni mwa wanadamu humu JF...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

    UBAKAJI, ULAWITI, UFIRAJI NA USHOGA HAVINA UHUSIANO WOWOTE NA HORMONAL IMBALANCE Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Angalizo: Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Chini ya hapo awe chini ya uangalizi wa mzazi au mlezi Kuna majitu ambayo yameshindwa kitabia, kimalezi na sasa yamekubuhu kwenye...
  3. Bushmamy

    Nini kifanyike kukomesha ubakaji na ulawiti kwa watoto?

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka kila leo, vitendo hivyo vikihusisha ulawiti, na ubakaji. Ijapo kumekuwa na sheria ya vifungo vya miaka kadhaa hadi vifungo vya maisha gerezani lakini bado inaonekana adhabu hiyo haitoshi kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka siku...
  4. Nyendo

    Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa na polisi kwa kubaka na kulawiti watoto 2

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Mtoto mwenye umri wa miaka 14 ambaye ni Mkulima na Mkazi wa Kitongoji cha Chiano Kata ya Nalingu, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kubaka na kulawiti Watoto wawili ambao ni ndugu (watoto wa dada yake) ambao alikuwa anaachwa nao nyumbani...
  5. Boss la DP World

    DOKEZO Kilakala: Mwalimu Mkuu anashirikiana na Mwenyekiti kuficha taarifa za ulawiti kwa Mwanafunzi

    Vitendo vya unyanyasaji wa kingono vimeendelea kushamiri katika nchi yetu na tunategemea jamii iwe na ushirikiano katika kupinga na kutokomeza uovu huu ili kuokoa jamii yetu. Katika hali ya kushangaza, mwanafunzi mmoja (jina linahifadhiwa) (KE) wa shule ya msingi Kilakala katika manispaa ya...
  6. blogger

    USHAURI: Habari za Ulawiti na Ubakaji ziache kurushwa kwenye vyombo vya habari

    Si habari za kufurahisha. Ni habari za kukera, kukaraisha na zinaleta fedheha. Kwanza hazizingatii umri maana zinarushwa muda wowote mkiwa mmeketi pamoja na familia. Lakini mantiki ya kurusha uovu huu ni nini!?? Ni kuutarifu uma juu ya ukatili au kuwadhalilisha waliokutwa na masahibu hayo au...
  7. Poppy Hatonn

    Ulawiti adhabu yake ni miaka 30 jela bado Spika anasema anataka hiyo irekebishwe

    Eti irekebishwe iwe kali zaidi. Hayo sasa ni masihara. Ile sheria ni kali sana kwa vitendo vya ulawiti. Ile sheria inapinga hata mwanamke kulawitiwa. That is how mean that law is. Sasa unataka kuifanyia marekebisho gani? Kwa sababu ukianza kusema unataka sheria iwe taiti zaidi ndio utawaibua...
  8. M

    Sidhani kama watuhumiwa wanaofanya vitendo vya ulawiti kwa watoto wanachukuliwa hatua stahiki

    Vitendo vya ulawiti vimeendelea kujitokeza katika maeneo mengi hapa nchini Tanzania. Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kupiga kelele kuhusu vitendo hivi bado vimeendelea kushamiri kwenye maeneo yetu. Vitendo hivi vinapotokea wazazi/walezi wamekuwa na tabia ya kufumbia macho kwa kutokutoa...
  9. Lupweko

    Utafiti 2018: Unguja kinara katika ukahaba, ulawiti na madawa ya kulevya nchini

    Utafiti huu ulifanywa na Wizara ya Afya ya Zanzibar mwaka 2018 Chanzo: https://www.ippmedia.com/sw/habari/unguja-kinara-ukahaba-dawa-za-kulevya
  10. Roving Journalist

    Mbeya: Ndani ya Februari – Machi 2023 makosa 284 ya ubakaji yameripotiwa

    Makosa ya udhalilishaji na ukatili yaliyoripotiwa Februari hadi Machi 2023 Mkoani Mbeya jumla ni 284, yakiwemo ya 70 ya ubakaji na Ulawiti matukio 37. Mchanganuo wa takwimu hizo ndani ya kipindi hicho, Makosa ya Ubakaji; Mbeya Jiji ni 70, Mbalizi (37), Chunya (77), Rungwe (33), Kyera (34) na...
  11. BARD AI

    Shule zaripotiwa kugomea uchunguzi wa matukio ya ulawiti

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Wilaya ya Moshi Vijini, Ramadhan Mahanyu amesema amesema baadhi ya shule zimekuwa zikigomea kutoa ushirikiano kwa na timu za ukaguzi zilizotumwa na mamlaka za juu. Katibu Mahanyu ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kikao cha walimu wakuu wa shule za...
  12. BARD AI

    Mkoa wa Iringa wageuka Kuzimu kwa matukio ya Watoto kubakwa na kulawitiwa

    Ripoti kutoka kwa Mganda Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Alfred Mwakalebela imeeleza kuwa idadi hiyo ni wastani wa Watoto 2 hadi 3 kwa wiki ambao hufanyiwa ukatili wa Kubakwa na Kulawitiwa. Mwenyekiti wa Mtaa wa Kihesa Kilolo, Omary Juma, amesema Watoto 30 walibakwa na Kesi ziko...
  13. S

    Niseme nisiseme? Watoto kufundishwa ulawiti huko Kilimanjaro kosa ni la Serikali

    Shule zinazotumia mitaala ya nje lkn zinasajiliwa hapa nchini na serikali yetu zinaongezeka kila uchwao. Lakini cha kushangaza ni kwamba waliopewa dhamana ya kutoa usajil kwa shule hizo (wizara ya elimu) hawajisumbui kukagua kwa undani kilichomo ndani ya mitaala hiyo. Kilichotokea Kilimanjaro...
  14. BARD AI

    Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti katika shule mkoani humo. Uamuzi wa Serikali unatokana na gazeti moja nchini kuripoti uwepo wa shule inayofundisha masuala hayo mkoani humo kitendo...
  15. IamBrianLeeSnr

    RPC Rukwa: Vitendo vya ulawiti vinashamiri, vikemewe

    Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa limewataka wananachi kukemea na kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya Ulawaiti ambavyo vimekuwa vikiongezeka siku hadi siku na kuwasababishia watoto madhara makubwa ya kiafya hali itakayosaidia kulinda Afya za watoto na kukuza maadili kwa jamii. Baadhi ya waumini...
  16. Black Butterfly

    Wazazi zungumzeni na watoto wenu kuhusu Ubakaji na Ulawiti

    Nimekuwa nikisikia hili suala la wazazi kuzungumza na watoto wao, lakini sikuwahi kulifuatilia kwa kuwa mtoto wangu ndiyo kwanza ana miaka sita. Sikuwahi kuona kama kuna kitu cha maana kinachoweza kutuweka chini kuzungumza zaidi ya kumtuma lete hiki na kile na kumsaidia kazi zake za shule. “Ila...
  17. Phobia

    Tatizo nini matukio ya Ulawiti kuongezeka kwa kasi?

    Tanzania kila kukicha ni matukio ya ulawiti tu shida nini? Ushirikina, tamaa ya ngono, malezi ya hovyo au maadili? Irina mnafeli wapi? ---- Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha Ayubu Kiyanza (22) Mkazi wa Don Bosco Manispaa ya Iringa kwa kosa la kumlawiti Mtoto mwenye...
  18. Roving Journalist

    Daktari wa Hospitali ya Amana asomewa mashtaka ya ubakaji, ulawiti

    Dkt. Joseph Mwaipola ambaye ni mtumishi wa Hospitali ya Amana Mkoani Dar es Salaam, leo Septemba 9, 2022 amefikishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka matatu yakiwemo kumbaka mtoto wa miaka 17. Shitaka hilo limesikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Yusto...
  19. mama D

    SoC02 Wanaume simameni kwenye nafasi zenu kuokoa hiki kizazi toka kwenye laana ya UZINZI, ULAWITI, USAGAJI na UFIRAJI; mambo yanayoendelea mtaani yanatisha

    Habari ya asubuhi wanajamii Nimekua nafuatilia baadhi ya mambo yanayofanyika katika jamii ya Tanzania leo kwakweli yanasikitisha na kukatisha tamaa. Wakati tunaendelea kulia kuhusu ugumu wa kudumu kwenye mahusiano kwa wanandoa au wapenzi tusisahau kuangaliza chanzo cha ugumu huo. Leo...
  20. Lady Whistledown

    Watuhumiwa wa Ubakaji na Ulawiti mbioni kukosa dhamana

    Makosa ya ubakaji na ulawiti yapo mbioni kuondolewa dhamana kutokana na Serikali kuanza mchakato wa kufanyia marekebisho Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai. Hatua hiyo imetokana na utafiti mdogo uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kuonesha kuwa baadhi ya watuhumiwa wa makosa hayo wakiwa...
Back
Top Bottom