afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TANGA VS LAMU: VITA YA REFINERY NI VITA YA CORRIDOR YA AFRIKA MASHARIKI

    Na: Dr. Zack, Mtaalam wa Masuala ya Uchumi Duniani 01.10.2026 Kuzinduliwa kwa mradi wa Dangote wa US$16 bilioni huko Lamu, Kenya, jana si habari ndogo kwa Afrika Mashariki. Refinery hiyo imepangwa kuwa na uwezo wa kuchakata mapipa 700,000 ya mafuta kwa siku, ikiambatana na mtambo wa umeme wa MW...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam Kinara Afrika Mashariki Yaipiku Mombasa kwa Ufanisi Duniani!

    Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani. Kulingana na ripoti mpya ya Benki ya Dunia (Container Port Performance Index), lango hili kuu la bahari la Tanzania limepiga...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asisitiza ushiriki wa wanawake katika amani ya maziwa makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesema ushiriki wa wanawake katika michakato ya amani ni muhimu katika kupata suluhisho endelevu kwa changamoto za usalama katika eneo la Maziwa Makuu, hususan Mashariki mwa Jamhuri ya...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kilimo: Tanzania Yalenga Kuwa Ghala la Afrika Mashariki

    Tanzania inaendelea kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara, ikiwemo mbaazi, pamoja na kuendeleza ufugaji wa nyuki na matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika kilimo. Hatua hizi zinalenga kuongeza tija kwa wakulima, kuboresha upatikanaji wa masoko, kuongeza...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kw

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, pamoja na Wawakilishi wa Mashiriki na Taasisi za Kimataifa nchini...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Raia 134 wa Burundi wamekamatwa Tanzania huku mvutano wa uhamiaji ukizidi kushika kasi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
  7. bless on

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Musk: Miaka 14 ya Bajeti za Afrika Mashariki

    Takwimu mpya zinashtua na kuumiza kichwa kwa pamoja: Utajiri wa Dola Trilioni 1 ($1,000,000,000,000) wa Elon Musk unaweza kuendesha bajeti zote za Tanzania, Kenya, na Uganda kwa miaka 14 mfululizo! Yaani mtu mmoja ana hela ya kulisha, kuhudumia, na kuendesha nchi tatu nzima za Afrika Mashariki...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Mradi wa Usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka umefikia Asilimia 88

    Mradi wa kwanza wa kisasa na usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka Mbezi Beach unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) umefikia asilimia 88 ya utekelezaji wake huku ukitajwa kunufaisha kaya takribani 11,000 katika Wilaya ya Kinondoni...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania EACOP: Bomba la mafuta la Afrika Mashariki

    Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443 Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
  10. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Narudia tena, Kuna Rais Afrika Mashariki atajiudhuru na sio Makamu wake.

  11. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Kuna Rais atajiudhuru Urais hapa Afrika Mashariki.

    Si maneno yangu Bali ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu (CIVILIAN-COIN). NANI KUJIUDHURU Urais? Kuna nchi Fulani Afrika Mashariki, Rais atajiudhuru kwa ujinga wake wa kumuona Civilian-Coin hafai Kila eneo. Tega sikio na macho.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kiswahili ni urithi na nguzo ya umoja Afrika Mashariki, viongozi watoa wito wa hatua za vitendo

    KISWAHILI NI URITHI NA NGUZO YA UMOJA AFRIKA MASHARIKI, VIONGOZI WATOA WITO WA HATUA ZA VITENDO. Maadhimisho ya 5 ya Siku ya Kiswahili Duniani yamefikia kilele jijini Bujumbura, Burundi, huku viongozi wa Afrika Mashariki wakitoa wito wa kuongeza jitihada za kukuza na kuimarisha matumizi ya...
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania JE , ni nchi gani inajaribu kusambaza agenda zake Afrika Mashariki, maandamano ya 7/7 Kenya na Tanzania ni kiashiria

    Wakuu kuna agenda gani ya siri nyuma ya maandamano ya 7/7. Kote Kenya na Tanzania pia wanaharakati walijaribu kupeleka agenda ya vijana kuandamana tarehe hiyo. Kote hakukuwa na impact. Ila hii sio bahati mbaya , kwa baadhi ya wanaharakati toka Tanzania kufanya makazi yao Kenya, Na kupush...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki: Katambi na Vyama vya Siasa Kainerugaba na Vyombo vya habari. Tunaelekea wapi?

    Huku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari. Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai. Mnamo Machi 21, 2026. Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya...
  15. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM na IUCEA zaimarisha ushirikiano katika mpango wa kimkakati wa ufadhili wa masomo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo tarehe 17 Juni 2026, kimepokea ujumbe kutoka Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki (IUCEA) uliolenga kujadili ushirikiano katika utekelezaji wa Mpango wa Ufadhili wa Masomo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Scholarship Programme). Ujumbe huo uliongozwa na...
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Ukoloni na uvamizi wa kiarabu Pwani ya Afrika Mashariki ulileta madhira sio tu ya kuchukuliwa ardhi na utumwa ila pia ubakaji, ulawiti na castration

    Je hii ndio imekuwa sababu ya kuu ya wanawake na wanaume wa pwani kupenda michezo ya kuingiliana kinyume na maumbile?
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Strait of Hormuz ya Afrika Mashariki ni Tanzania

    Tanzania inaweza kuhusishwa na mfano wa Strait of Hormuz kwa sababu ya umuhimu wake wa kiuchumi na kijeshi kama njia kuu ya usafirishaji wa mafuta na bidhaa nyingine muhimu. Strait of Hormuz ni ghuba nyembamba inayounganisha Bahari ya Hormuz na Ghuba ya Uajemi, na ni muhimu kwa usafiri wa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kambarage, Fatma Na Chumi Waapa Rasmi Kuwa Wabunge Wa Bunge La Jumuiya Ya Afrika Mashariki

    Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu Kambarage Wasira, Fatma Kange na Cosato Chumi, wameapa leo 01 Juni 2026 wakati wa kikao cha Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuanza shughuli...
  19. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Vyama vya Upinzani Afrika ya Mashariki

  20. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Afrika Mashariki na Mzigo wa Bei za Mafuta – Mei 2026

    Wakuu leo nimeona huo Mjadala wa nchi kumi zenye bei kubwa zaidi ya mafuta umeibua hoja nyingi, lakini jambo moja lililokosekana ni ulinganisho wa mzigo halisi kwa wananchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Nimekutana na Takwimu mpya za Mei 2026 zinaonyesha kila nchi inatoboka tofauti kulingana na...
Back
Top Bottom